pili

The arrector pili muscles, also knows as hair erector muscles, are small muscles attached to hair follicles in mammals. Contraction of these muscles causes the hairs to stand on end, known colloquially as goose bumps (piloerection).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nje ya box: Verse 1 (Nikki wa Pili)

    Mungu nijalie demu mpenda pesa Kila siku nipigane kuwa Bakhresa asinipende mimi apende Verosa Wanaomegewa wengi ndio kitu wamekosa Malighafi ya suruali si boxer Siri nyingi mahali dingi alikosa Demu wa shida na raha na misoto sana, Huyo demu hanifai changamoto hana, ikiwa demu wako anapenda...
  2. JamiiForums Tanzania Taarifa ya kikao cha mbunge wa jimbo na wakuu wa shule za Musoma vijijini - 2

    SEHEMU YA PILI YA TAARIFA YA KIKAO CHA MBUNGE WA JIMBO NA WAKUU WA SHULE ZA MUSOMA VIJIJINI Sehemu ya Kwanza ya Taarifa ya Kikao hicho: Sehemu hii ilitolewa na Ofisi ya Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo. *Mahali inapopatikana ni kwenye TOVUTI ya Jimbo letu ambayo ni...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ni maswali gani huulizwa kwa nafasi ya Msaidizi wa Hesabu II?

    Wakuu naomba kujua aina ya maswali ambayo uwa yanaulizwa na utumishi kwa kada ya msaidizi wa hesabu daraja la pili both writen and oral.
  4. JamiiForums Tanzania Hatimaye Arsenal yashuka mpaka nafasi ya pili msimamo EPL

    Baada ya kipindi kireeeefuuuuu cha kukalia usukani hatimae Arsenal wameshushwa leo na Man City. Je, ndio basi tena au watarudi?
  5. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Baada ya uchaguzi nilitakiwa kushughulikiwa, amri ilisema wasikosee shabaha

    Kama mikutano ya hadhara ni fursa ya kufitinisha na kuchafua watu tunahaja ya kuangalia. Ila pia ni vizuri kuwapa fursa watu kutema sumu ====== Tundu Lissu amesema alirejea Tanzania mwaka 2020 kwa ajili ya uchaguzi na alilazimika kuondoka tena mwaka huo kwa sababu mtesi wake alitoa amri...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Hatua ya Pili ya Mchakato wa Ajira ni Kuandaa Tangazo la Kazi

    - Tangazo la kazi huandaliwa kwa kuzingatia sifa kwa mujibu wa Muundo wa kada husika uliowasilishwa na Mamlaka ya ajira husika. - Tangazo pia huzingatia masharti ya jumla yanayotolewa na Sekretarieti ya Ajira ambayo yanatafsiri Sera, Sheria Kanuni na Miongozi mbalimbali inayohusu michakato ya...
  7. JamiiForums Tanzania Prof. Mkenda: Tunaangalia namna mpya ya kutathimini shule bora nchini

    Fuatilia yanayojiri Bungeni leo, Februari 1, 2023 kwenye Mkutano wa 10, Kikao cha 2 RATIBA YA LEO Dua Hati za kuwasilisha mezani Taarifa za kamati Kamati ya Ardhi, Maliasili na Utalii Kamati ya Viwanda, Biashara na Mazingira MWONGOZO Kuhusu uamzi wa NECTA kutokutangaza orodha ya Shule 10...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Simba mwezi wa pili, tatu na nne ni mwezi wa kupambana

    Ukiangalia Ratiba ya SIMBA kwa mwezi wa pili, mwezi wa tatu na wa nne ni mwezi ambao SImba inahitaji kila mchezaj wa Simba awe imara sana. Ratiba hii kwa staili yetu hamna muda wa kujaribu tena wachezaj we need to play football. Kuanza kujaribu wachezaji kipindi hiki kitatugharimu sana...
  9. JamiiForums Tanzania TATHMINI: Je, hatma ya masomo ya Sayansi ni ipi? Ukizingatia matokeo ya kidato cha Pili na kidato cha nne 2023

    Nawapa salamu wanajukwaa, wala tusitumie muda mwingi sana tuingie moja kwa moja kwenye mada tajwa. Baada ya Baraza la mitihani la Taifa-NECTA kutangaza matokeo ya kidato cha nne ambayo yametoka siku ya leo-29 Jan 2023, nimeona niunganishe na yale matokeo ya kidato cha Pili ambayo yaliwahi...
  10. JamiiForums Tanzania Jinsi Ninavyoanza Kutoa Huduma Za Udalali Wa Viwanja, Mashamba Na Nyumba Mwaka 2023

    PILI; Jinsi Ninavyoanza Kutoa Huduma Za Udalali Wa Viwanja, Mashamba Na Majengo Makala iliyopita nilikushirikisha jinsi nitavyofanya endapo nitakosa fedha kwa ajili ya kununulia nyumba ya kupangisha. Nilitaja mambo ambayo ninaanza nayo. Mambo hayo ni;- ✓ Kumiliki mtandao wa mauzo ya viwanja...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Kakibunda ka wapendanao day

    Tuepane mishe wadau wapi niweke ka pesa chap nipate kakibunda ka kumtutumua mtoto wa ma mkwee?
  12. JamiiForums Tanzania NBC: Yanga SC 1-0 Ihefu FC: Uwanja Benjamin Mkapa

    Machampioni watetezi wa ligi kuu nchini Tanzania Young Africans S.C almaarufu Yanga leo wanashuka dimbani kukabilia na Ihefu katika mwendelezo wa ligi kuu ya Nbc... Mchezo huo utakuwa mgumu kwa timu zote kwani Yanga wanataka kushinda ili kulipa kisasi cha kuvunjiwa rekodi yao ya unbeaten na...
  13. JamiiForums Tanzania Senegal: Ajali nyingine ya Basi yaua watu 19, ni ya pili ndani ya Januari

    Watu 19 wamefariki na 24 kujeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyotokea leo Januari 16, 2023, Rais Macky Sall amesema, ajali hiyo ya pili ni kubwa na kuwataka Madereva kuwa makini Barabarani. Kwa mujibu wa taarifa ya Rais kuptitia Twitter, ajali hiyo ilitokea kati ya miji ya kaskazini ya...
  14. JamiiForums Tanzania Hii ni mara ya pili polisi wanashambuliwa mtaa wa Narung'ombe na Ndanda, Kariakoo

    Siungi mkono polisi kupigwa , wala polisi kuonea watu, lakini inafikirisha kidogo, haiwezekani eneo moja hilo hilo mpigwe na kuzomewa mara mbili na mshindwe kufanya kazi iliyowapeleka pale isipokuwa operation mfanyayo ni batili Wakiwa kwenye msako wa kukamata bodaboda wakorofi kila wakifika...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Tukutane hapa, Tunaotarajia kufanya usaili wa kuandika kada ya MTAKWIMU DARAJA LA PILI, mwajiri MDA's & LGA's.

    Msaada wa aina ya maswali ya usaili kada ya takwimu. Tusaidiane hapa material ya kusoma na topics za kujiandaa.
  16. JamiiForums Tanzania Msaada wa maswali ya usaili kwa kada ya Afisa Mazingira daraja la pili

    Naomba kwa anaefahamu mfano wa maswali ya kwenye usaili kada ya afisa mazingira daraja la pili.
  17. JamiiForums Tanzania Jinsi viwango vya Ufaulu Kidato cha Pili vinavyozidi kushuka

    Idadi hiyo sawa na 14.72% ya waliofanya Mtihani Nov 2022, watalazimika kukariri Masomo ya Kidato cha 2 kutokana na kufanya vibaya kwenye Mtihani wa Upimaji na kupata Daraja 0 (#Division0) Pia, Wanafunzi 372,113 (58.74%) licha ya kufaulu, wamevuka Darasa kwa kupata kiwango cha chini ambacho ni...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wa pili

    Karibu mwezi na kitu baada ya mke wangu kuwa na homework ya kutafakari umiliki wa nyumba niliyojenga kwenye kiwanja chake sasa amefunguka na kusema atapendelea tuandike Majina yetu wote (Mimi na yeye) kwenye umiliki wa hii nyumba. Hata Mimi nimejipa muda wa kutafakari kwanza
  19. JamiiForums Tanzania Matokeo ya Necta kidato cha pili ya mwaka 2022 yanatoka lini?

    Kumekua na maswali Mengi juu ya kutoka kwa matokeo ya mtihani wa kidato cha pili mwaka huu 2022. Kidato cha nne walifanya mtihani wao mapema mno mwanzoni mwa mwezi November. Kwa mwaka jana matokeo yalitoka tarehe 15 mwezi January kitu kilichofanya tuone yametoka mapema. Kwa mwaka huu yawezekana...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Azam animalistic kuwavuruga Yanga, atahamia upande wa pili na ndio tutaheshimiana

    Kwa sasa Makolo wanafurahia haya yanayoendelea Yanga ila nawashauri wafurahie pia pale jeuei ya pesa za Azam zitapotumikia dhidi yao. Tetesi ni zaidi ya mchezaji mmoja wa Yanga kwenda Azam na hapa ndio utajua nguvu ya pesa inataka kutumika kuwavuruga Yanga. Ubora wa Yanga unawatesa sana watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…