Matokeo ya Necta kidato cha pili ya mwaka 2022 yanatoka lini?

BakalemwaTz

Senior Member
Jul 14, 2017
119
119
matokeo form two.png

Kumekua na maswali Mengi juu ya kutoka kwa matokeo ya mtihani wa kidato cha pili mwaka huu 2022. Kidato cha nne walifanya mtihani wao mapema mno mwanzoni mwa mwezi November.

Kwa mwaka jana matokeo yalitoka tarehe 15 mwezi January kitu kilichofanya tuone yametoka mapema. Kwa mwaka huu yawezekana yakaja kwa kuchelewa though kama yatakua yametoka ni imani yangu tutaweza kuyapata kupitia uzi huu wa JF

Link yenye dondoo za matokeo ya form two hii hapa
 
Msonde aliiharibu Sana Necta.

Haiwezekani wasaidiz aliowaacha washindwe kutoa matokeo.

Hapo ndio pa kumpima kiongoz.

Na ninawahakikishia huko Tamisemi mpaka aje kutoka patakuwa pameharibika.


Kwa Sasa Tamisemi Kuna kazi Moja kubadili watu vyeo vyao na kuwassimika sehemu zingine.

Kuwaondoa watu kwenye nafasi zao na kuwatia presha za maisha.

Kama atasima hii ajue tu kuwa ataachiwa laana nyingi Kwa sabab anasababisha maumivu makubwa Kwa kukosa busara kufanya mabadiliko
 
Back
Top Bottom