picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Picha chini ni mchoro wa ghorofa 7 unaozuia watu kujitupa ghorofani kwa kuwa na vikorido vilivyo kama karata zinazochangwa

    Ninalenga kuonyesha kuwa kutoka ghorofa moja mpaka jingine kunakuwa na kakibaraza karefu kidogo ili MTU anapoanguka asiende chini moja kwa moja aweze kukwama japo naweza kuwa nimevichora virefu sana. Mfano maghorofa huwa na vibaraza sasa kibaraza cha ghorofa inayofuata chini kiwe kirefu kuliko...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mgonjwa wa 1 wa Corona apanga kuishtaki Serikali akidai fidia kwa picha yake kuwekwa kwenye mitandao ya kijamii

    Osma Shariff, mtu wa kwanza kuthibitika kuwa na maambukizi ya virusi vya corona (covid-19) nchini Kenya katika Kaunti ya Isiolo, amepanga kuiburuza Mahakamani Serikali ya Kaunti hiyo akiidai fidia ya Sh.25 milioni za Kenya. Shariff mwenye umri wa miaka 62, amesema kuwa alipata matatizo makubwa...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Amani na picha ya amani

    Habari wakuu Me naamni ya kwamba Moja kati ya mahitaji muhimu sana ya binadamu katika maisha yake ya kila siku ni amani.katika kitabu cha George Kaithori cha Make Peace Your Target ,amani ya kwanza kabisa anayoihitaji mtu siyo ile inayotokana na kutokuwepo kwa vita.Amani ni ile hali ya utulivu...
  4. JamiiForums Tanzania Picha: Benard Membe akiwa na viongozi wakuu wa ACT-Wazalendo

    Muda wowote kutokea sasa Membe atatangaza kujiunga na ACT Wazalendo. Huu utakuwa ni ushindi kwa Zitto Kabwe maana amekuwa akimuomba sana Membe kujiunga ACT.
  5. JamiiForums Tanzania Daily News, itendeeni haki hii picha

    Hii picha imetoka katika Gazeti la Serikali katika ile safu ya "Down Memmory lane" mara nyingi sana. Kama sikosei karibia mara 10! Sijui Daily News wanataka kutuambia nini lakini jina la Katibu Mkuu Ujenzi siyo Mr David Mlingwa bali Dr George Mlingwa. Kosa hili limekuwa likirudiwa rudiwa sijui...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Picha: Gari la serikali na mafuta ya serikali mtu anatumia shangingi hilo kwenda kulewa na kubebea malaya kwa Kodi za walala hoi

    Kuna watu wamepinda nyie acheni. Pamoja na mkwara wa waziri mkuu lakini wapi! SHANGINGI hilo, jana usiku mtu kalewa nalo chakali!
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Picha: Nairobi panazidi kunoga, tukuone ukitupa taka na kutuchafulia mji

    Halafu omba omba wale wa kutoka kwa nchi jirani hivi wamepelekwa wapi maana sidhani kwa hali kama hii watapata nafasi. As the Nairobi Metropolitan Services (NMS) under Director-General Mohamed Badi embarked to rehabilitate Nairobi streets, certain improvements are visible in the Central...
  8. JamiiForums Tanzania Nijuzeni, Kwanini zisiwepo noti na sarafu zenye picha ya Jakaya Kikwete, Benjamin Mkapa na rais Magufuli? Ianzishwe na noti ya elfu hamsini

    Kuwa rais si jambo dogo,kwani rais humwakilisha muumba hapa duniani,sasa inakuwaje tusiwaone kwenye hela?kwani wakionekana ktk hela huwa ni kumbukumbu ya kizazi cha Taifa kilichopiga kura kwa wakati huo. Hata kama ilikuwa azimio la nchi nyingi kutokuwekwa picha ila tunaweza kuamua sisi kama...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Picha hii inaonesha CHADEMA ipo kwenye mioyo ya watu ilhali CCM wapo migongoni

  10. JamiiForums Tanzania Usijivune: Kassim Majaliwa, Prof Mark Mwandosya na marehemu Prof Idris Mtulia, Wakiwa ndani ya Mtumbwi

    Picha hii ni ya mwaka 2010, Wa tatu kwa waliokaa kutoka nyuma ni Kassim Majaliwa ambaye wakati huo alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Rufiji. Majaliwa hakuwa hata mbunge wakati huo. Nyuma ya Majaliwa ni Prof Mark Mwandosya ambaye wakati huo alikuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, asiye na Wizara Maalum...
  11. 5

    JamiiForums Tanzania Picha: Wajue wabunge wa CUF waliokataa katakata kununuliwa na sasa kujiunga rasmi na ACT Wazalendo

    Wamekataa kununuliwa na kuuza utu wao. Hakika hawa ni watu wenye dhamira ya kweli wanastahili kuheshimiwa...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Jicho la tatu: Kama picha za kampeni za Lissu sokoni Kariakoo ni za kweli, hii inaweza kuwa ni hujuma ili CHADEMA ionekane inavunja sheria za uchaguzi

    Naomba nitoe mtazamo wangu kuhusu hizo picha iwapo ni kweli picha hizo za Lissu zipo sokoni Kariakoo kama zinavyoonekana mitandaoni. Ni hivi:kampeni za uraisi zina muda wake na kuanza kampeni kabla ya wakati bila shaka ni kosa(kwa ufahamu wangu), hivyo, kwa kuweka picha hizo za Lissu zikimnadi...
  13. JamiiForums Tanzania Demokrasia ya CCM Bara katika picha

  14. JamiiForums Tanzania Mrisho Gambo atenguliwa Ukuu wa Mkoa wa Arusha

    UTEUZI WA RC ARUSHA NA DC ARUSHA WATENGULIA Rais Magufuli, leo ametengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo na nafasi yake imechukuliwa na aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Monduli, Idd Kimanta Pia ametengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Gabriel Daqarro na nafasi yake imechukuliwa...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo picha Zanzibar CCM Urais itachezwa

    Igweee! CCM ndio chama lao full jasusi kukitetea chama na kamwe hawajashindwa. Hii Ramani ndio ya mchezo mzima plz do not ask me more question. Baada watoto wa vigogo kuingia ulingoni na kuusaka urais CCM, kama kawa wanatengeneza mpango wa kufanya kazi kuwa rahisi kama sio lahisi. Watoto wa...
  16. JamiiForums Tanzania Chato: Bendera za CHADEMA zashushwa na wanaodaiwa kuwa makada wa CCM. Mwanamama Husna Amri Said acharuka!

    Husna Amri Said na makada wengine wa CHADEMA wameendelea na zoezi la kupandisha bendera za Chama katika Jimbo lote la Chato ambako CCM waliamua kuzishusha. Mtia nia Ubunge jimbo la Chato bi. Husna aliyelalamika bendera za CHADEMA kushushwa anashikiliwa na Jeshi la Polisi
  17. JamiiForums Tanzania Picha: Wajue baadhi Wabunge Mashujaa wa CHADEMA waliokataa kuuza utu wao, wamo walioahidiwa hadi Tsh bil 1

    Kumbuka kwamba hawa ndio wabunge waliobambikiwa kila aina ya kesi za kutunga, wametukanwa matusi ya kila aina na wamedhalilishwa ndani ya bunge huku Spika akichekelea lakini wamesimamia kile kilichowapeleka hadi mwisho wa safari , heshima waliyojijengea itaendelea kudumu milele. Tunamuomba...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Msaada: TV yangu haioneshi picha ila inatoa sauti

    Msaada kidogo ndugu tv yangu tokea jana haioneshi picha ila inatoa sauti inaweza kua ni tatizo gani? Nimejaribu kugusa gusa nyaya lakini wapi. Msaada pls
  19. JamiiForums Tanzania Tanzania ya viwanda katika picha

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…