Msaada: TV yangu haioneshi picha ila inatoa sauti

diesel engine

Member
Mar 10, 2020
16
32
Msaada kidogo ndugu tv yangu tokea jana haioneshi picha ila inatoa sauti inaweza kua ni tatizo gani? Nimejaribu kugusa gusa nyaya lakini wapi.

Msaada pls
 
Hizo ni taa tu mzee peleka kwa Agent km ni LG pale posta. Gharama ya taa ni 80,000 halafu ufundi 50,000 yangu ilipata tatizo km hilo pia
 
Msaaada kidogo ndugu tv yangu tokea jana haioneshi picha ila inatoa sauti inaweza kua ni tatizo gani?? Nimejaribu kugusa gusa nyaya lakini wapi,,,, msaaada pls
Mkuu hiyo itakuwa imeungua taa za ndani, hata mimi nilikuwa na tatizo Hilo mwakajuzi nilipeleka kwa fundi riverside hapa dar akaweka mpya Mambo Safi kabisa
 
Duuu mbona Bei iko juu Sana, Mimi nilipeleka kwa mafundi wa kawaida nilitoa 20000 ufundi na gharama ya taa ni 50000
Kwa fundi wa kawaida bei ni ndogo ila ukipeleka kwa official agent bei inakua juu sababu sababu chochote kikiharibika yeue anawajibika....ukipeleka kwa official authorized agent lazima usain mkataba na wewe lazima akupe TV ikiwa nzima.
 
Back
Top Bottom