picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. Deja vu27

    JamiiForums Tanzania DROP YOUR FARITE PICS, Ulizopiga kwa kutumia camera ya simu yako...!!

    Habari wana JF! Hizo ni baadhi ya picha nilizopiga mimi mwenyewe katika mikoa mbali mbali hapa Tanzania na ninazozipenda wakati wote na zinafaa kwa wallpepar nasuburi uzi wenu wana JF Thank you🙏 photography17
  2. Basi Nenda

    JamiiForums Tanzania vituko vya viongozi wa Africa katika picha

    picha ya kwanza ni waziri wa fedha wa zimbabwe akizindua dampo na picha ya pili ni viongozi wa serikali huko Namibia wakiwa kwenye mkutano ambapo ndani ya ukumbi walifuata taratibu za kujikinga na covid ila badae walitoka nje na kupiga picha ya pamoja
  3. Faana

    JamiiForums Tanzania Picha Elimishi na Kumbukwa

    Kuna picha ukizitama zinahubiri hata bila kuzungumza au kuandika chochote, Mwenyezi Mungu atawalipa
  4. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Picha: Rais wa JMT na rais wa kenya wakiwa mbele ya picha ya waasisi wa mataifa haya mawili

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, na mgeni wake Mhe. Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya wakiwa katika picha yenye waasisi wa Mataifa mawili Tanzania na Kenya Hayati Mwalim Julius Nyerere wa Tanzania na Hayati Jomo Kenyatta wa Kenyatta. https://t.co/rnxH9Fxvfl
  5. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Picha ilipigwa mwaka 1950 mjini Karachi, traffic police akiongoza magari

  6. J_Okay

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi mke kudai mume afute kumbukumbu za picha za mkewe wa zamani?

    Jamaa yangu mmoja alioa akapata watoto watatu katika ndoa ya kwanza kisha wakatalikiana na mkewe kwa sababu zisizoweza kuzuilika. Baada ya muda, jamaa akaoa tena. Mke mpya ana wivu balaa. Sasa imefika wakati mke anataka mume afute kumbukumbu zote za picha za familia yake ya kwanza kwenye laptop...
  7. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Picha ya Mpigania Uhuru Bi. Zarula Bint Abdulrahman imepatikana baada ya miaka 60 ya uhuru na yeye kufahamika

    "Mimi Bi. Zarula ni shangazi yangu aliyezaliwa tumbo moja na baba yangu. Amenilea toka nimeacha ziwa mpaka nakuwa na akili najua yeye ndio mama yangu. Pia nilikuwa ninafahamu wapi alikuwa akificha kadi, akija mtu wanafunga milango yote ndio anamuandikia na zilizobaki anazificha uvunguni mwa...
  8. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Issa Michuzi aliyekuwa mpiga picha wa Marais waliopita?

    Huyu bwana alikuwa ni mpiga picha mwandamizi katika awamu za 4&5 mtawalia. Ila kwasasa kwenye awamu hii ya 6 haonekani katika majukumu ya kumpiga picha Rais wa awamu ya 6, ndio kusema ameshastaafu au amepangiwa majukumu mengine? Njooni mtujuze, afu naskia jamaa ni kipepeo mweusi?
  9. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Picha: Miaka 60 ya uhuru viongozi wa CCM wakikagua shule iliyojengwa kwa nyasi mkoani Morogoro

    Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Morogoro Bi. Dorothy Mwamsiku akiwa ameambatana na Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa Morogoro Ndugu Anthony Mhando, ametembelea Shule Shikizi Lukande, Wilaya ya Ulanga. https://t.co/S87ZMyXNjU
  10. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Picha: Rais wa Uganda, Yoweri Museveni akitoa heshima kwenye kaburi la Hayati Magufuli

    Rais wa Uganda, Yoweri Museveni akitoa heshima mbele ya kaburi la Hayati Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli, lililopo nyumbani kwake, Chato mkoani Geita leo Jumatatu. Magufuli alifariki dunia 17 Machi 2021, Dar es Salaam.
  11. Trubarg

    JamiiForums Tanzania Picha; Udart na upigaji

    Mnampa mtu tender ya kuandika mabango, wakati ata kuandika hajui.
  12. Mmawia

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Sabaya: Ushahidi wa Video za CCTV waonesha shahidi akitoa fedha benki alizomkabidhi Ole Sabaya

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imelazimika kuahirisha kuendelea kusikiliza kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita baada ya shahidi wa 10, Francis Mrosso kudai kuwa anajisikia vibaya. Leo Novemba 24, 2021 shahidi huyo wa Jamhuri...
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Jumaa Aweso anatunikiwa shahada ya uzamili ya uongozi, Zanzibar huko

    Katika mahafali ya 40 ya chuo kikuu huria cha Tanzania yanayofanyika viwanja vya Mao Tse Tung, Mjini Magharibi Zanzibar. Waziri wa Maji Jumaa Aweso anajipatia Masters Degree ya Uongozi. Wengine wanaopata shahada za uzamili ni Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo. Aidha Mume wa Tulia Ackson anajipatia...
  14. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania Kama umeelewa hii picha utafika mbinguni ukiwa umechoka sana

    wahuni sio watu wazuri😅😅
  15. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kama uko single weka picha yako hapa tuangalie tatizo liko wapi

    Malalamiko yamekua mengi, tushirikiane kutakua hili tatizo.
  16. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika: Bevin Tipha Msowoya mpiga picha nguli wa wakati wa kupigania Uhuru wa Tanganyika

    MIAKA 60 YA UHURU: BEVIN TIPHA MSOWOYA MPIGA PICHA NGULI WAKATI WA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA Leo ni siku yangu ya furaha kubwa sana kupita kiasi. Niko online na binti mmoja namjua kwa jina la Charming Girl kaniona akaniuliza kama namjua Bevin Tipha Msowoya? Nikamwambia naam namjua Msowoya...
  17. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Hii picha ilipigwa 1910 mitaa ya Poplar East London. Wakati huo si barabara zote za London zilikua na lami

    Gari ya Council ilimwaga maji barabarani kupunguza vumbi. Ilikua siku za kiangazi na vijana walijipooza kwa maji.
  18. patience96

    JamiiForums Tanzania Angalia Picha Hii Kwa Makini Kisha Elezea kama ni Murder au Suicide

  19. Vugu-Vugu

    JamiiForums Tanzania PICHA: Mapokezi haya ya Viongozi wa CCM Taifa Mkoa wa Geita yana maana gani?

    Baada ya Sekretarieti ya CCM-Tanzania inayoongozwa na Katibu Mkuu wa CCM Taifa Crde Daniel Chongolo kuwasili mkoa wa Geita limeibuka Shangwa na mabango kedekede yenye kumpongeza na kumtia moyo Rais Samia Suluhu Hassan, Hii ni tafsiri chanya ya anayoyafanya Rais wetu katika kuliletea Taifa letu...
  20. The Garang

    JamiiForums Tanzania Anadhani aki-post atanishtua

    Asalaam, Kuna uzi wangu niliupost huko nyuma ukisomeka. Nimekataliwa kisa mwanachuo. Haka kadogo bwana, nlikaelewa na kama kangeonesha response nzuri mkuu ninge settle tufanye maisha. Miezi kadhaa iliyopita tulikwazana sikumbuki jambo llikuwa gani, nikampotezea sababu nahisi ye ndo alikuwa...
Back
Top Bottom