Ni dhahili bila shaka, wale wote wanaompongeza rais Samia, au wanaofurahia ushindi wa Samia, Wasiacha kutembea na picha hizi vifuani mwao.
Furaha ipo wapi?
Je, Mtahudhuria mazishi au mtaacha waliwe na kunguru? Nini kosa la hwa watoto?
Naamini sasa mtakula na kula kwa furaha..
Binadamu...