Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,543
- 4,664
Sir David Beckham eti naye amemuiga Imam hussein pozi la picha alipokuwa na mijibwa yake kijijini uingereza.
Pozi hilo maarufu la kipekee ambalo kipenzi chetu cha dhati mwamba mkombozi wa waislamu aliyeuwawa kikatili kuulinda, kuutetea na kuupigania uislam dhidi ya ukatili, udhalilishaji na uonevu ikimuonesha kipenzi chetu akimuaga binti yake mpendwa Sakinah kwa mara ya mwisho kabla ya umauti kwenye battle of Karbala.
Zuljanah kwa nyuma akiinamisha uso wake chini kwa huzuni 😥😢😭😭
adriz The Icebreaker Beira Boy Monetary doctor Akhi Al-mukheef subiri uone Intelligent businessman Evelyn Salt
Zuljanah kwa nyuma akiinamisha uso wake chini kwa huzuni 😥😢😭😭
adriz The Icebreaker Beira Boy Monetary doctor Akhi Al-mukheef subiri uone Intelligent businessman Evelyn Salt