Unadhani kwanini jamaa ameiangalia picha kwa uchungu?

Unadhani kwanini jamaa ameiangalia picha kwa uchungu?

Its Tesha

Senior Member
Joined
Oct 6, 2025
Posts
168
Reaction score
606
Akiwa ameketi kimya, macho yake yamekazia picha ya kiongozi anayezua mijadala mingi. Uso wake umejawa na fikra nzito, kana kwamba anapima tofauti kati ya maneno na matendo. Ni ukimya wenye ujumbe, ishara ya hasira iliyofika ukomo. Vijana tunatoka na hakuna wakuzui Oktoba 29 tuleta mabadiliko makubwa katika taifa hili.
 
Back
Top Bottom