picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nataka kununua nokia g10 zinafaa kwa matumizi ya picha

    kuna hizi simu za nokia g10 nimeona review ziko vizuri kutoka na review nilizoangalia je nyinyi watumia wa nokia g10 ni nzuri kwa picha za mchana na usiku bei nimeona around 370k za bongo
  2. M

    JamiiForums Tanzania Bango la Anwani za Makazi likiwa limekosewa

    Sekou Toure Road 👇
  3. JamiiForums Tanzania PICHA: Tofauti 17 kati ya matajiri na masikini

    Rafiki yangu mpendwa, Kitu ambacho watu wengi huwa hawajui ni kwamba utajiri au umasikini ni matokeo. Na kisababishi cha matokeo hayo huwa ni tabia ambazo mtu anakuwa nazo. Ninachomaanisha ni kwamba hakuna mtu anayezaliwa tajiri au masikini. Bali kila mtu hutengeneza utajiri au umasikini...
  4. JamiiForums Tanzania Picha ya siku

    👉
  5. N

    JamiiForums Tanzania AIBU AIBU: SENZO , MANARA WAPOST PICHA ZA MWAKA JANA KUDANGANYA

    AISEE sikutarajia kwa mtu kama Senzo, kwa msukule hiyo inajulikana linaishi mjini kwa ulaghai, uongouongo na kujipendekeza, hivi jana nani hajaona hali halisi ya uwanja , hii kujidanganya ni kujitia dole la masaburi na kujinusa , what a shame Msukule hauna impact ya kujaza uwanja bwana...
  6. JamiiForums Tanzania Picha: Watanzania mnakula sana mbwa bila kujua. Usijitapishe ukiona hii picha

  7. JamiiForums Tanzania Hivi first gentleman akiiona hii picha anajisikiaje?

    Sisi wengine tuna wivu sana kwa wake zetu aisee. Sijajua first gentleman wetu kama kaiona hii picha au hajaiona na kama kaiona kaitafsiri vipi!
  8. JamiiForums Tanzania Watanzania waandamana katika Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani

    Baadhi ya Watanzania wamejitokeza nje ya Ubalozi wa Tanzania Nchini #Marekani na kufanya maandamano wakiwasilisha madai mbalimbali. Baadhi ya madai yao waliyoandika kwenye mabango yao ni Mabadiliko ya Katiba, kuachiwa huru kwa Wakili Peter Madeleka pamoja na kufukuzwa Bungeni Wabunge 19...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ombi: Usambazaji wa Picha za Rais Samia Mitandaoni akiwa Marekani ziendane na 'Direct Economic Impact' Mifukoni mwa Watanzania

    Naanza kuona taratibu Nguvu Kubwa inatumika kumuonyesha Mheshimiwa Rais Samia akikubalika zaidi na Wazungu (hasa hasa hawa Wamarekani) na kwamba aliyekuwa Boss wake hakuliweza au hakulifanikisha hilo ila kwa bahati mbaya mno Nguvu hiyo hiyo haitumiki Kuwafafanulia Watanzania ni jinsi gani Ziara...
  10. JamiiForums Tanzania Umoja Party waelezea sababu ya kutumia picha ya John Magufuli

    Mwanzilishi wa Chama cha Umoja Party, Seif Maalim ametoa sababu za kwanini chama hicho kinatumia picha ya Hayati Dkt. John Pombe Magufuli katika fulana zao. Maalim amesema chama hakina nia mbaya kutumia picha hiyo kwa kuwa ni moja ya njia ya kujitangaza kwa wananchi. "Unajua sera zetu...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Umoja Party wanaweka picha ya Hayati Magufuli kwenye tisheti zao?

    Mdada wa Umoja party; Kada wa umoja party Hiki chama ni cha wafuasi wa hayati JPM?
  12. JamiiForums Tanzania Kama alipost picha za maiti na waliopigwa risasi huko Twitter lakini akajiunga na Serikali ya Umoja kwa ajili ya tumbo lake anafaa kweli huyu mtu?

    Alilalamika kuwa maelfu ya wapemba walipigwa risasi na wengi kuuawa baada ya uchaguzi wa Oktoba 2020. Lakini kwa jinsi navyopenda pesa na kulisha tumbo lake alisahau kuwa kurasa zake za twita zilijaa picha za wapemba waliopigwa risasi na kuuawa na akaunga umoja na aliodai ni wauaji. Sasa huyu...
  13. JamiiForums Tanzania (Picha) Kuelekea maziko ya Maunda Zorro, matukio ya msibani Kigamboni

    Picha mbalimbali kuhusu msiba wa Maunda Zorro ambapo watu mbalimbali wamejitokeza kwa ajili ya kumsindikiza Mwimbaji huyu kwenye siku yake hii ya kuzikwa Aprili 16, 2022. Baba Mzazi wa Mwimbaji Maunda Zorro ameomba kumwimbia mwanae Maunda msibani kama ishara ya kumuaga, Maunda amefariki akiwa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Askari wa usalama aliyevaa kiraia akielekeza magari kwa makini mtaa wa posta mpya Dar es Salaam

    Yupo makini kwa kazi yake
  15. M

    JamiiForums Tanzania Tafadhali mwenye Picha za Walinzi wa Rais Samia walivyokuwa awali na walivyo sasa anisaidize nazo

    Kuna Wawili kana sijakosea walipokabidhiwa Majukumu walikuwa kama Fidodido tu, ila naambiwa sasa wanakaribia kufanana na Mapipa ya SIMTANK. Na mwenye Picha za waliokuwa Walinzi wa Hayati Rais Dkt. Magufuli kabla hajafariki dunia mwaka Jana na walivyo sasa tafadhali aniwekee kwani nataka kufanya...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Picha mbalimbali za watu wa Jamii ya Wangbetu iliyo Congo namna wanavyorefusha vichwa vyao

    An elongated head was an ideal of beauty among the Mangbetu people, 1930 The Mangbetu stood out to European explorers because of their elongated heads. The Mangbetu people had a distinctive look and this was partly due to their elongated heads. At birth, the heads of babies’ were tightly...
  17. JamiiForums Tanzania Picha Fikirishi: Tupia yako

  18. JamiiForums Tanzania Kambi za Jeshi Tanzania zina vizuizi vya kuzuia picha zipigwazo na satelite?

    Kwa sisi raia wa kawaida tumewekewa sheria kuwa haturuhusiwi kupiga picha kambi ya jeshi zaidi zile zenye taarifa muhimu za jeshi. Ndio sipingi na ni sahihi maana kwa kutumia picha tu adui anaweza kupata taarifa nyingi na ikawa ni angamizo kubwa. Hivi sasa tupo kwenye ulimwengu wa teknolojia...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Waziri Gwajima na mumewe wakikatiza mitaa ya Berlin

  20. JamiiForums Tanzania Muhindi anatangaza picha zangu mtandaoni anadai mimi ni basha wake

    Huyu muhindi amekuwa akiweka picha zangu kwenye Instagram account yake na Facebook huku akiniita mume wangu. Muhindi huyu aliniomba urafiki kisha baadae akaomba tukutane kwa ajili ya kufahamiana, maana yeye anakaa Arusha na mimi Dar, so alipokuja Dar akaniomba tuonane, sikuona ubaya. Tulipiga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…