picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Rais Biden wa Marekani anapoiona picha hii bila shaka tumbo linakuwa moto

    Hao ni Rais Putin wa Urusi na Rais Ebrahim Raisi wa Iran!!
  2. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Dawa inapenya mtulie: Mara Hamuwezi kumsajili Aziz Ki, mara zile picha ni feki. Sasa hivi Mnasema oooh mmemsajili kwa Pesa nyingi

    Mara Hamuwezi kumsajili,,Mara Zile Picha ni feki, mara Fyoko Fyoko. Sasa hivi Mnasema oooh mmemsajili Kwa Pesa nyingi, Kwani Pesa zenu au za Shangazi zenu? Kinawauma nini hata tukimsajili bure au kwa Mamilioni?
  3. TODAYS

    JamiiForums Tanzania NIMEULIZWA SWALI: Ungekuwa Mchungaji au Sheikh ungefungisha hii ndoa?

    Nilijaribu kujibu hivi... 🎯 Muda umebadilika sana, naweza kukubali au kukataa ila nitakuwa nimebakizwa nyuma sana (old stone) japo mambo ya Mungu hayapitwi na wakati.
  4. Monica Mgeni

    JamiiForums Tanzania Hali ya CHADEMA katika picha muundo wa Ngalawa

  5. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania PICHA HIGH QUALITY: Matukio mbalimbali ya Julius Kambarage Nyerere

    Nyerere akiwa ziarani Netherlands in 1985 Nyerere akiwa na Onno Ruding, Waziri wa Fedha wa Uholanzi, 1985 Nyerere akiwa na Rais wa Marekani Jimmy Carter na Mke wa Rais Rosalynn Carter katika Ikulu ya White House, 1977 Nyerere akiwa ziarani Uholanzi mwaka 1965
  6. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Hii picha imenirudisha miaka mingi baada ya Uhuru

    Mfano wa nyumba hizi zilizojengwa na Wajerumani ziko Amani, Tanga. Hiki kijumba kidogo ni jiko, kwa wakati ule wengi walipikia kuni. Hili jiko lilikua na sehemu ya kuhifadhi meter moja ya kuni. Walijenga hydroelectric power kutumia maporomoko ya mito kule Amani na kulikua na umeme. Waliweza...
  7. mike2k

    JamiiForums Tanzania Hatimaye picha kutoka James Web telescope zimetolewa rasmi kwa umma

    Leo tarehe 12/7/2022 ni siku muhimu sana kwa wapenzi wa space exploration. Furaha hii inachangiwa na NASA wakishirikiana na agencies wengine kuweza kutoa rasmi picha na tafiti za kwanza kabisa kutoka katika darubini 🔭 ya JWST. Kabla ya kuendelea ningependa kushare na wewe msemo huu kuwa ili...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Ukiangalia hii picha ya Samia akiwa na Magufuli unaelewa nini?

    Ni kwamba Samia alikua anamuogopa boss wake ama?
  9. TECNO Tanzania

    JamiiForums Tanzania Tecno yazindua simu mpya ya Camon 19, yenye kupiga picha kali hasa usiku

    Dar es Salaam, Tanzania, 06 Julai, 2022- TECNO Mobile Tanzania, chapa ya simu za kisasa na bora duniani ambayo imekuwa ikitoa teknolojia ya kisasa zaidi kwa watumiaji, leo imetangaza uzinduzi wa toleo lake la CAMON 19 kwa kushirikiana na Vodacom. Toleo la CAMON 19 limekuja ili kukabiliana na...
  10. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Putin awajibu maadui zake kuhusu yeye kupiga picha kifua wazi

    Salama wandugu kwa kweli adui akiwa na chuki na mtu hachoki fitina Sasa viongozi wa magharibi baada ya kuishiwa hoja wamsema vibaya Raisi Putin tabia ya kupiga picha kifua wazi na yeye Putin awajibu kwamba wao hawana umbile la kuacha kifua wazi kwani wamevimbiana ovyo ovyo kwa ajili ya mapombe...
  11. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Hii picha ilipigwa kabla ya WWI Arkansas na mwaka 2022 kuna wao ramani kuwa na nyumba kama hii

    Miaka hiyo umeme ulikuwa ni kwa wachache wenye uwezo na maji kulikuwa na visima vya mdundiko katikati ya miji. Wakati wa baridi kulikuwa na gogo la moto linalotoa joto. Bill ya kulipa ilikua ni kodi ya kichwa tu. Kuna watu wana nyumba zenye hali mbaya zaidi ya hii si vijijini tu bali hata mijini.
  12. R

    JamiiForums Tanzania Hii picha ina Maana Gani kwa Kinachoendelea Ngorongoro?

    Huyu Mtalii kavaa kimasai inaonekana anafurahia pia kuwa karibu na wamasai ,Nini maana Je wamasai ni sehemu ya utalii walipaswa kuachwa? Na kama wakiondoka je itapunduza watalii wanaokuja kwa Ajili kuwaona na kuvaa hizi Nguo?
  13. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Picha: Halima Mdee anamaanisha nini kuweka picha hii?

    Leo Mbunge asiyekuwa na chama ameweka picha ya kijana mmoja akiwa amezungukwa na kucheza na mbwa, lakini picha hiyo hajawekea neno lolote. Sasa wale wataalam wa kufungua code wanaweza saidia kwenye hili
  14. Kelvin X

    JamiiForums Tanzania Picha inaongea sana

    Picha ina ongea sana
  15. Richmoto Kushmoto

    JamiiForums Tanzania Xiaomi redmi 10c gb128 inafaa kwa matumzi ya picha

    hii brand ya xiaomi nimeona imeanza kutrend ukiangalia hii redmi 10c ya gb 128 ina sifa nzuri lakini kwa sisi wadau amabao hatuwajawi kutumia hizi nataka kufahamu ubora wake wa camera pamoja battery
  16. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Siku hizi Wadada wanaenda kupiga picha na mabegi Airport

    Yaani ukipita huko Instagram ndio utajua matatizo ya ajira pamoja na afya ya akili ni makubwa sana. Wadada wa mjini a.k.a Maslay Queen wameibuka na kamtindo ka kwenda airport na mabegi makubwa kupiga picha na kupost Instagram ili kutafuta attention na aonekane yeye ni wa hadhi ya juu ili...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Kutishia kurusha picha za uchi mtandaoni

    Msaada ndugu zangu, Kuna mtu anamtumikisha mke wangu kwa kumtishia kurusha picha za uchi za mke wangu mtandaoni. Naomba mnisaidie ni wapi nianzie kumdhibiti huyu
  18. Pjmwakyusa

    JamiiForums Tanzania Job Ndugai ndani ya Western Wall of Jerusalemu

    Speaker mstaafu job ndugai ndani ya western wall of Jerusalem
  19. M

    JamiiForums Tanzania Hebu tujaribu kusoma ujumbe uliojificha kwenye picha hizi mbili

    Picha ya kwanza ni: Na picha ya pili ni: Kwenye picha ya kwanza Rais Macron wa ufaransa akiwa anakaribishwa na mwenyeji wake rais Zelensky wa Ukraine. Naona kama Zelensky amenuna, ni kama ana bifu fulani!. Rais Macron naona ni kama analazimisha tabasamu angalau ajaribu kumwambukiza...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Makamu wa Rais tafadhali tumeshachoka na Picha za Kila Siku za Makamu wa Rais akiwa anasalimia Abiria ndani ya ATCL

    Hebu jitahidini basi kuanzia sasa muwe mnatuwekea Picha zake akiwa anakagua Mashamba ya Wakulima, anahutunia Maakongamano ya Watu wenye Akili duniani na anatattua Matatizo muhimu na ya Kimsingi ya Watanzania na siyo kila mara tu mnatuonyesha jinsi anavyoongea na Abiria ndani ya Bombardiers na...
Back
Top Bottom