picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Hatufanyi vizuri kwenye Utalii wa Picha

    Sijui kama kuna mtu hapa amewahi kuombea Mgeni (mtalii) kibali cha kupiga picha akaona ugumu uliopo? Kiujumla taratibu zilizopo sio rafiki (hazipo wazi) yaani kuna wizara sijui ngapi zinahusika hivyo kupata kibali bila maarifa ni ndoto ya mchana kwani unaweza kutumia miezi nk hivyo mgeni hawezi...
  2. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Miaka mitano ya Hayati Magufuli taifa lilipiga hatua kubwa kuliko miaka kumi ya Jakaya

    Rais na kiongozi makini huwezi kujitapa hadharani kuwa ulipiga picha na Rhihana alafu unasikitika kutopatiwa picha hiyo uliyopiga. Wakati wewe ukiwa madarakani rushwa na ufisadi ulitamalaki. Umasikini na maisha duni yakawa ndio jambo la kawaida. Maana akina Lugumi waliiba mali za umma huku...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Hii picha ni ya leo? Basi Yanga na Al Hilal wanachezeana michezo ya kitapeli

    Leo mchana niliona tweet kwenye page ya Al Hilal kwamba maofisa wake WATATU wanakuja Dar es Salaam kuweka mazingira sawa, nilisahau ku i capture na usiku huu siioni, nafikiri ipo deleted. Kilichonistua ni tweet yao mpya kwamba afisa wao (mmoja) kafika DSM na kapokelewa na Injinia Hersi. Katika...
  4. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Kwanini Balozi Mulamula alikuwa anaonekana smart sana na kuheshimika huko Ugenini?

    Nimeshangaa sana yeye ni kwanini alikuwa anapafa fursa hizi? Jamaa yangu mmoja yupo USA. Anasema huyu dada alikuwa anaheshimika sana na walikuwa wanamwona very smart hata katika maongezi. Anasema ni nadra sana kwa mtu ambaye haheshimiki kuonana na akina Obama na Biden namna hii. Kuna watu tena...
  5. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Sitasahau jinsi mchepuko alivyo ninyoa vinywele ukubwa vyote, kisha akanipiga picha na kumpostia mke wangu. Mke wangu akafurahi sana

    Aisee, ilikuwa ndio mwisho wangu wa kuchepuka na kuingia nyumba za wageni kufanya zinaa. Na haitakaa ijurudie tena. Mwaka 2018 nilipata demu mmoja matata sana. Enzi hizo nilikuwa napenda sana toto na sikuwa najali kitu, pesa iliongea na ikanipa kiburi. Huyu mrembo alikuwa ni afisa mikopo...
  6. Monica Mgeni

    JamiiForums Tanzania Kilichomkuta MBATIA katika picha

    Funguka tafsiri yako kuhusu hizi Katuni tuone nani ana tafsiri sahihi iliyolengwa na mchoraji Said Michael
  7. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Ukraine laweka hadharani picha ya mwanajeshi wake alitoka matekani Urusi.

    Aiseeh kuna watu wanajua kutesa.
  8. MK254

    JamiiForums Tanzania Picha: Msafara wa Warusi wanaotoroka usaili jeshini

    Urusi sasa hivi hakukaliki kwa wanaume.... Watu wameamua kwenda kuanza maisha upya kwingine, wanamuachia nchi wazimu na vita vyake.... ISTANBUL (AP) — Military-aged men fled Russia in droves Friday, filling planes and causing traffic jams at border crossings to avoid being rounded up to...
  9. Google Diggers

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane maneno, misemo ya mtaalamu "Julio" picha yake IPO kama humjui

    'Ukiongea na Mimi hakikisha akili yako imekaa vizuri.' sio maneno yangu Julio Kwa wanaomfahamu ni mtaalamu wa soka na maneno yake makali
  10. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Weka 'caption' kwenye picha hii

  11. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kamwe Mwanaume hupaswi kujikombakomba

    KAMWE MWANAUME HUPASWI KUJIKOMBA KOMBA KAMA LOFA! Anaandika, Robert Heriel Vijana nisikieni! Nisikilizeni Kwa makini. Msisikie kelele za wapuuzi wanaotaka kuwapora hadhi zenu. Najua wengi wenu Kwa sasa labda mnalelewa upande wa kiukeni. Lakini kamwe hiyo isiwe sababu ya ninyi kuwa kama...
  12. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Shenkin: Mbuzi anayeonekana kwenye taratibu za msiba wa Malkia Elizabeth II

    DESTURI. Nimemfuatilia huyu mbuzi anayeonekana kwenye taratibu za msiba wa Malkia maana ni wazi wenzetu wanaheshimu jadi zao. Mbuzi anaitwa SHENKIN. Inasemekana mbuzi huyu anatokana na kizazi cha mbuzi waliokuwa wakitumiwa kama "hirizi?" wakati wa vita kwa karne nyingi. Mila hii ilianzia...
  13. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Picha hizi zinathibitisha uhusiano wa karibu kati ya Kenya na Uingereza

    Karibu marais wote wa Kenya wamewahi kuonana na malkia Elizabeth II kasoro William Ruto ambaye ameenda kumzika. Hapa kwetu ukiondoa mwalimu Nyerere Nani mwingine? Tuliwahi kumuweka mtu mmoja pale ikulu kila uchwao yeye alikuwa akiwaita wazungu mabeberu. Yule mtu sijui tuliteleza wapi?
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Picha ya Rais William Ruto kuuzwa Tsh. 5,900

    Katika tangazo lililotolewa leo Alhamisi Sept. 15, 2022, Msemaji wa Serikali, Cyrus Oguna amesema Picha ya Rais itapatikana katika ofisi za Idara ya Habari zilizopo Uchumi House ghorofa ya 5, Nairobi. Oguna aliongeza kuwa watu binafsi katika kaunti wanaweza kununua picha za Rais kutoka ofisi za...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania PICHA: Gari lenye choo maalum cha Rais Yoweri Museveni wa Uganda

    Gari hili lina jiko kubwa, eneo la ofisi na sehemu ya kupumzika pia shughuli za mapishi zinafanyika wakati gari likiwa kwenye mwendo ambapo Rais anaweza kupata chakula kwa wakati anaotaka Kwa nje gari hili lina mifumo mingi ya kumsaidia Dereva kwenye kuliendesha, mifumo hiyo inahakikisha...
  16. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kama una demu, mchumba au mke anapiga picha huku makalio ameyatazamisha kwenye kamera hapo ujue kabisa hauko peke yako.

    Mada inajieleza. Usije kusema sijakutonya. Ukiona makalio yametazamana na camera sijakuambia muachane ila nimekuambia tu kuwa wewe pia uko kwenye foleni.
  17. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Upigaji Uyui: Waziri Mkuu ashangazwa kibanda cha Mlinzi VETA kujengwa kwa Tsh. milioni 11, aagiza waliyosimamia ujenzi kukamatwa

    Tozo ilivyojenga ofisi ya 11,000,000, unaambiwa ni ofisi ya kisasa zaidi. - Waziri Mkuu Majaliwa akiwa ziarani Wilayani Uyui, Tabora amekagua ujenzi wa Chuo kipya cha VETA na ameonesha kutoridhishwa na gharama za ujenzi wa kibanda cha Mlinzi ambacho ujenzi wake ni Tsh. Milioni 11 “TAKUKURU...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Picha: Binti anamaanisha kuwa hapendi kutolewa mahari

    Ametoa kauli fikirishi Sana. Nami najiuliza kwanini wazazi wanabadilisha mabinti zao na fedha, ng'ombe, mashuka, mikuki, pombe na majembe?
  19. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Picha: Makarani wa sensa Mbagala wagoma kukatwa tozo

    Makarani wagoma kupokea 300,000 badala ya 340,000 walizotakiwa kulipwa, inasemekana kuna makato yamekatwa ya 40,000.
  20. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Picha yangu ya Leo. Hongereni sana mliofika hapa

    Hongereni sana mliofika hapa Usajili wa E ushaanza mda kumbe
Back
Top Bottom