UNAYAFAHAMU MASHINDANO YA LADIES FIRST? PICHA

Roy Logan

JF-Expert Member
Jan 22, 2021
780
3,156
Ladies First ni mashindano ya riadha kwa wasichana wa Tanzania, yalianza kushindaniwa mwaka 2017 kwa hisani kwa udhamini wa Shirika la Maendeleo la Japan JICA.

Mashindano haya yalibuniwa na mkimbiaji nguli wa enzi hizo Kanali Juma Ikangaa, aliomba ufadhili kutoka Japan na hatimaye yakaanzishwa rasmi mwaka 2017, yalisimama hapo katikati kutokana na COVID, lakini mwaka huu 2023 yameendelea tena ikiwa ni mwaka wa 4.

Fuatilia picha.
msg167566-95071.jpg
msg167566-95074.jpg
msg167566-95073.jpg
msg167566-95072.jpg
msg167566-95070.jpg
msg167566-95069.jpg
 
Back
Top Bottom