Jinsi picha zinavyoumbua watu

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,850
155,795
Time will tell.jpg
 
Hivi hapo shetani anahusika kweli,..?maana hata maisha yetu ya kawaida hii hutokea.
Alijigawaje kwa wote huyo shetani, au ni yeye baadae aliwapulizia pumzi ya pepo wote wakayaharibu waliyoyatetea.
 
Acha masihara hiyo ni vitiligo.ngozi hupoteza rangi yake ya asili kuanzia vidoleni( kwenye miguu au mikono) kuelekea sehemu nyingine za mwili.Vilevile inaweza kuanzia kwenye macho,pua au mdomo na sehemu za siri kisha inasambaa kuelekea sehemu nyingine za mwili.
Watu wengi wanaopatwa na tatizo hili huacha tu kwasababu hauna madhara makubwa zaidi ya kupoteza rangi ya ngozi.
Kwa muktadha wa thread sijaelewa lengo lako ni nini kuweka hiyo picha.
 
Mkorogo huo, tafuta miwani.
 
Huyo ni mkorogo kajichubua bhana
 
Mwache amini anacho amini, maana ameamua kukaza ubongo

Anashindwa kuona tofauti ktk picha, siku ukimpata huu ugonjwa ndio ataelewa vizuri kama ni mkologo Au ni kitu gani
 
Back
Top Bottom