picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Picha: Hivi ndivyo tuliandika tukiwa school boys miaka ya 1970

    CC Pascal Mayalla Mshana Jr Na ndivyo nilivyompata wangu wa moyoni FaizaFoxy
  2. JamiiForums Tanzania Picha: Wanawake hawajaumbwa kutawaliwa na wanaume

    Je hii ni kwa wote au ni mtazamo wake? Anamaanisha kutawaliwa au kuongozwa Karibuni tujadili
  3. JamiiForums Tanzania Picha: Huyu Daktari anmaanisha nini hapa?

    Kwa wenye ufahamu wa hili jambo analozungumzia Daktari wa urolojia atufafanulie lieleweke
  4. JamiiForums Tanzania Picha: Naona Mjadala umekua mkubwa, sasa tumalize ubishi..

  5. L

    JamiiForums Tanzania PICHA: Huyu hapa ndiye dereva aliyefariki katika ajali Iliyomuua Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO

    Ndugu zangu Watanzania, Kuna watu walikuwa wanauliza sana juu ya dereva aliyefariki katika ajali ambayo imechukua Maisha ya Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO. Soma Pia: Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Gissima Nyamo-Hanga na dereva wake wafariki dunia Wengine wakaenda mbali zaidi kwa kusema kuwa...
  6. JamiiForums Tanzania Picha: Je madereva mngeweza kuendesha hili gari na ingewachukua muda gani kulizoea?

  7. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini jamaa wa aina hii kwenye picha huwa ni waluga luga sana mtaani🤣

    Utakasikia: "Masela nina koneksheni ya vidio ikionesha mababu wa Simba wakiwa na mbuzi ndani ya basi sema niliifuta bahati mbaya" "Dah mechi ya Arsenal juzi imenikosesha mkeka wa milioni 20" "Niliwahi kuishi Dodoma, nilikuwga nawaitishia wabunge wale watoto wazuri wa udom" 😁
  8. JamiiForums Tanzania Mnaikumbuka hii picha ya huyu mwamba anae wabeza wasomi?

    Maisha hayana formula, Maisha ni mchakato na mafanikio ni pale bahati inapokutana na michakato na mapambano yako kujumlisha na pale utakapokuwa sehemu sahihi ambayo mwanga wa bahati utakapo pita ukumilke wewe. Mimi nafikiri unapoipata bahati ya mafanikio kitakacho fata ni wewe kuwa humble, sio...
  9. JamiiForums Tanzania Picha: Uzao wa Nissan Patrol

  10. K

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Matosa Uzaromoni – Goba tuna changamoto ya Kalavati, huu mwaka wa pili TARURA wanakuja kupiga picha wanaondoka

    Tunaomba ujumbe wetu huu ufike hadi kwa Waziri wa Ujenzi, kwa muda wa Miaka miwili, sisi Wananchi wa Matosa Uzaromoni, Mtaa wa Mikumi, Kata ya Goba, Wilaya ya Ubungo Jijini Dar es Salaam tunapitia changamoto kubwa ya usumbufu wa maji ya mvua kutokana na udogo wa ‘Kalavati’ Tumelalamika sana...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Picha hii inakukumbusha tukio gani?

  12. JamiiForums Tanzania Picha: Wanaume na vijana wa kiume tukumbushane

    Wanaume, ni kumbusho tu—baadhi ya shule zimefungwa, na zingine zinafungwa kesho, na miongoni mwa wasichana hawa wanaweza kuonekana wakubwa, walioiva, wenye kuvutia na kutetema, lakini msiwachanganye. Wanakua haraka na wanajua mengi, lakini kwa sheria, bado ni wanafunzi na watoto. Jiepusheni...
  13. JamiiForums Tanzania Anthony D. Luvanda Kuna MC wanapost video na picha ambazo zinadhalilisha utu wa mtu

    “Siku hizi kumekuwa na wimbi kubwa la mc kupost video clips kwenye sherehe lakini sasa wengine wanapost mpaka video ambazo zinadhalilisha utu wa mtu sasa inabidi kuzingatia sio kila kitu unapost na kama unavyojua tasnia ya MC imekuwa ikivamiwa na watu wengi na kila mtu anataka kuonekana yeye ndo...
  14. JamiiForums Tanzania SI KWELI Iceland mwaka 2024 ilitangaza zawadi kwa wanume watakaokwenda kuoa wananwake wa Taifa hilo

    Imeelezwa kuwa mwaka 2024 serikali ya Iceland iliweka sheria mpya kutokana na upungufu wa wanaume, ilikuwa inawalipa wahamiaji wa kiume $50,000 kwa mwezi iwapo wakiwaoa wanawake wa nchi hiyo
  15. JamiiForums Tanzania Picha: siagizi tena bidhaa kutoka china

    Hii brender nimeagiza kutoka china kupitia kikuuu Thamani yake ni 45000/= Ile nimepokea Toy
  16. JamiiForums Tanzania Picha la siku

    Mbunge wa biharamulo Mh Eng Ezra John Chiwelesa na Waziri wa madini Anthon Mavunde katika viwanja vya bunge jijini Dodoma leo USSR
  17. JamiiForums Tanzania Picha yenye unabii mzito kwa Tanzania

    Akiwa njiani kwenda Namtumbo katika kata ya Mangaka jimbo la Nanyumbu Tundu Lissu alisimamishwa na umati wa Wananchi uliotaka kumsikia. Wakati amesimamishwa eneo hilo Mwananchi mmoja aliyekuwa na hamu ya kumuona na kumsikiliza Lissu alipanda mti wa mnazi ili aweze kumuona Lissu. Picha hii hapa...
  18. JamiiForums Tanzania Picha: Je wewe upo katika ipi ya hizi nne?

  19. JamiiForums Tanzania Picha: Baadhi ya waheshimiwa wa G-55 wakiwa kwenye kupanga mikakati ya ushindi kwenye majimbo waliyotia nia

    Hawa ni baadhi ya waheshimiwa wa G-55 wakiwa wanapanga miakakati mizito namna ya kushinda majimbo waliyotia nia. Kwa karibu hapa namuona mrembo Sirgada na mzee wa jimbo la Kawe mheshimiwa Kileo. Kule namuona mzee wa jimbo la Mwanga mheshimiwa Mchome na waheshimiwa wengine. Mambo ni mengi muda...
  20. JamiiForums Tanzania Hii picha imenihuzunisha sana, nani wa kulaumiwa?

    Jamaa amemtembelea mwanae ambae Mamake amezaa na wanaume watano tofauti, kamnunulia vitamu yeye peke yake huku wengine wakila kwa macho. Binafsi kama mwanaume/Baba naona jamaa hajafanya sahihi, ni heri angewanunulia wote au angemchukua mwanae akakae nae sehemu afanye yote anayojisikia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…