picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hii Ndio Maana Halisi ya Usishindane na aliyebarikiwa na kupewa Kibali na Mungu

    Ndugu zangu Watanzania, Unaweza ukashindana na yeyote yule hapa Duniani katika jambo lolote lile. lakini kamwe huwezi kushindana na kumshinda Mtu aliyepewa kibali na Mungu katika Jambo fulani. Huwezi kushindana na Mbarikiwa wa Mungu.Huwezi kushindana na kusudi la Mungu. Huwezi kuuzuia wakati wa...
  2. Vugu-Vugu

    JamiiForums Tanzania PICHA: Sasa nimeelewa kwanini CHADEMA walikataa Kata Kata.

    Hata kama ungekuwa ni wewe lazima ungefanya walichofanya CHADEMA.
  3. MFALME WETU

    JamiiForums Tanzania Habari kwa Picha

    Mimi sio muumini wa Siasa lakini izi picha za mama Abduli zinafikirisha sana
  4. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Eti hii ishu Mwanaume kuweka picha yake kwenye screen saver Imeakaaje

    Wadau labda huenda mimi nazeeka Vibaya au nimepitwa na wakati Kwa mtazamo wangu naona kama haiko poa mwanaume kujisave picha yako kwenye screen ya simu halafu kila wakati unajicheki au mimi ndio sielewi? Juzi kati nimeona kuna mwanaume mtu mzima kabisa sura Ina Ina mikunjo ya ngozi kama yote...
  5. R

    JamiiForums Tanzania PICHA: Mbona picha ya kwanza hakuna friendly/ cordial environment kati yao? Ya pili/tatu zipo more friendly/cordial kuliko ya kwanza

    Leo nimefika Ikulu ya Chamwino kuwasilisha majumuisho ya wadau mbalimbali, ambapo tulipata nafasi adhimu ya kuzungumza na Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kuwasikisha kwa Mukhtasari kuhusu masuala makuu ya kitaifa yanayohusu: 1. Utawala Bora na Demokrasia – tukisisitiza...
  6. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Rai yangu ni picha za majeruhi hoi na kukatwa viungo kutokana na ajali za boda zisambazwe kwa hawa madereva boda boda labda wanaweza kubadirika.

    Yani boda boda na kujitoa ufahamu..:👇🏻
  7. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Picha rasmi ya kampeni ya Mama Samia hii hapa, lakini kwa nini mtu wa makeup umuwekee miwanja mingi hivi?

    Makeup imezidi mpaka mama amepoteza uhalisia wake. Siyo sahihi kwa mgombea Urais kujibandika ma makeup mengi hivi mpaka apoteze uhalisia.
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Picha rasmi ya Kampeni: Mgombea urais wa CCM Dkt. Samia na mgombea mwenza Dkt. Nchimbi

    Kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao wa Oktoba 29, Hii ndio picha rasmi ya Mgombea Urais Kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu Hassan. Picha ya pili ni Mgombea mwenza wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi
  9. Teslarati

    JamiiForums Tanzania PICHA: Watoto wa Arnold Wamelelewa tofauti, mmoja kalelewa na baba yake mwingine na mama yake. Ona tofauti hapa

    Uzi tayari. Hitimisho: Single maza ndio chanzo cha kupoteza masculinity ya watoto wa kiume.
  10. R

    JamiiForums Tanzania Picha: Haya ndio magari ya washua wa miaka ya 1970,80,na mwanzoni mwa 90!!!

    Hizi gari zilikuwa sio mchezo jamani!! Babako akiwa na hiyo daaa anajulika mkoa mzima!!! " Yule Mzee mwenye 404 nyeusi" namjuaa!!!!?kitambo mnooo
  11. Y

    JamiiForums Tanzania RC Mhe. Mwanamvua Mrindoko: Hii ndio Picha ya Rais Samia Mkoa wa Katavi

    Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mhe. Mwanamvua Hoza Mrindoko amesema kuwa Mkoa umefanikiwa kutekeleza miradi mikubwa ya maendeleo ikiwemo ujenzi wa barabara kuu na za ndani (km 526.85), madaraja mawili ya Kavuu na Msadya, shule mpya 129, shule maalumu mbili, vyuo vya VETA viwili, miradi ya maji 28...
  12. Y

    JamiiForums Tanzania PICHA: Rais Samia aiwasha KATAVI

    Akiongea na wanahabari, Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mhe. Mrindoko, amesema Mkoa umeunganishwa na Gridi ya Taifa ya Umeme na umewashwa umeme katika Wilaya za Mlele, Nsimbo, na Tanganyika, mradi ukiwa na gharama ya Shilingi 116 Bilioni, ukiwahusisha ujenzi wa njia ya 132KV kutoka Tabora hadi Katavi...
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Picha Bora Kuelekea Oktoba 29

    Hawa vijana ni hazina kubwa Kwa Taifa letu, Tuwalinde Kwa gharama yoyote Kwa faida ya Leo na baadae.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wananchi wa Tabora wakataa kupokea mwenge ulionakshiwa na picha ya Rais Samia

    Huko Tabora, mkuu wa mkoa acharuka kuwatishia wananchi kuhama kwenye mkoa huo kisa kukataa mwenge ulio na picha ya Rais Hii inaleta maana gani kwa Wananchi kuanza kukataa jambo la kitaifa, sababu tu linafungamanishwa na siasa za ccm? Ni kwamba, Rais hakubaliki sasa...! Ama wanataka kuona...
  15. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Picha: Maeneo mbalimbali ya Tanzania

    Wakuu, kama kuna picha za maeneo mbalimbali za Tanzania naomba tuje kushare hapa tupate kuona mandhari mbalimbali ya Tanzania Post kuanzia miji, vijiji hadi vitongoji. Naanza 1. ARUSHA Hapo ndio Chuga 2. MWANZA Jiji safi kabisa kutoka kanda ya ziwa 3. MBEYA Jiji zuri la nyanda za juu...
  16. Desierto

    JamiiForums Tanzania Kwanini picha hii sio halisi?

    Taja sababu moja tu ambayo haina maelezo mengi
  17. U

    JamiiForums Tanzania Pichani mshambuliaji wa Yanga Clement Mzize akiwa dukani kwake akiomba wananchi wamuungishe

    Mfike Kuungisha Wananchi🙏
  18. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ebu jaribu kukomenti uchambuzi mfupi mfupi kulingana na hii picha

    Mimi nitaanza: "Rafiki wa kweli ni Nafsi yako"
  19. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania GE2025 Picha: CCM aidha inakosa watu wenye akili wakaishauri au inaona Watanzania hawana akili

    Katika haya mawili. Moja ni sahihi. 1. CCM haina au haitumii washauri wenye akili imeamua kuongozwa na wasio au wenye akili ndogo. 2. CCM imegundua watanzania wengi hawana either au hawatumii akili
  20. Wickama

    JamiiForums Tanzania Tupia picha: Migomba na Mikungu Yako

Back
Top Bottom