Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.
The image above of the Korean peninsula was taken by NASA in 2016 and perfectly sums up why capitalism, for all it’s faults, is still a far, far better system than the communist alternative.
Capitalist South Korea takes up the bottom half of the peninsula, and you can clearly see all the bright...
Kuna mambo nawaza majibu rahisi ambayo polisi uchukulia.
Mfano kesi ambazo wanapotea bado zipo kwenye uchunguzi mpaka zikawa giza.
Leo hii kama taharuki mshawahi kutoa taarifa kujua miaka 11 ni wapi taatifa iliwekwa miaka 11 iliyopita.
Yani mguu bado nyama zipo na bichwa macho yapo na kichwa...
Tecknolojia ya AI imekuja na mambo mengi na wengine wanajikuta kama wamepata rafiki vile, Leo baada ya uchovu wa kazi niliamua kupunzisha akili kwa kuangalia kitu/vitu vipya. Leta na za kwako za AI tu tuburudishe macho.
Karibu 👋🏻
Tuna design na Kuprint
✅Picha,saa za ukutani,picha za frame
✅Vikombe,glass,travel mugs
✅Label stickers, logo, poster, flyers
✅Tunaprint tshirt za sare,vikundi nk.
mawasiliano.
KARIBUNI SANA
Tunapatikana Temeke
Je, unatafuta zawadi ya kipekee au mapambo ya ukuta yatakayoboresha nafasi yako?
Tunachapisha picha zako pendwa kwenye mbao zenye ubora wa hali ya juu
Ubora : Picha zako zinaonekana hai na za kuvutia kwenye mbao asilia.
Zawadi Pekee: Kamilifu kwa harusi, siku za kuzaliwa, au kumbukumbu...
Hivi wote tunapitia kipindi kigumu kuelekea oktoba sijui ndo no reform no election.Yani na jirani yangu ana biashara vifaa vya msibani na anauza majeneza na ndio biashara yake iliyompa paka nyumba ila na yeye ana lalamika .
Nitasema matukio machache yasiyo ya kiweledi ninayoyashuhudia kwenye runinga mubashara.
Jumatatu alikuza picha ya wadada walioonekana wamesuka dreads na aliwekeza muda mwingi kuwamulika.
Kwa mujibu wa mafundisho ya kisabato,hawakubali wanawake kusuka nywele.
Alifanya hivyo ili iweje...
Kama wewe ndiye mpiga picha au ndugu yake,mtaniwia radhi kwa lugha kali jinsi hii.
Nimeona ukichagua picha za watu unaodhani hawaendani na mafundisho ya wasabato unazikuza ili watu waone vizuri.
Ninafuatilia tangu Jana na nimeona kuna baadhi ya wadada wakiwa wamesuka dreads za maana ukiwasogeza...
Jamani,
Kunakupotezwa, si unajua tena ugali wa mtu, hata kama unga kaiiba, mboga kaiba, ila ukimwaga chakula chake, hasira huja zenyewe
Tusiweke video za wanaomkataa hadharani kipenzi cha wanasisiemu wenye nyadhifa za uteuzi!
Nazungumza nyadhifa za uteuzi kwa sababu, hao ndiyo watamlinda...
Ushiriki wa Freeman Mbowe katika Mkutano wa Dira ya Maendeleo ya Kisiasa unaashiria juhudi za kimkakati za kujihusisha na wadau wa kitaifa, lakini kutokuwepo kwake kwenye kesi za Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chadema tangu Januari 2025, kunazua maswali kuhusu umoja wa chama. Tangu kushindwa...
Hii Baiskeli ya rushwa imetolewa ili watu wamchague flani kwenye uchaguzi hii ni rushwa.
Kama mtu anaweza kutoa rushwa kama hivi ili achaguliwe inamaana yeye ni rushwa rushwa tu kwenye maisha yake anaweza kupokea rushwa pia anaweza kuuza rasilimali za nchi.
"Mimi sitaki rushwa na ninapinga kwa...
Habari, nahitaji mpiga picha mzuri aje ofisini kwetu kuwapiga picha staff wakiwa kwenye uniform .Hizo picha zinahitajika na ofisi zitumike kwenye marketing.
Idadi ya picha ni nne tu
Tupo mikocheni
0679464974
Tunajua kwamba Mch Msigwa alichukua kozi ya week tatu kusomea uchungaji.
Tunafahamu tena pasipo shaka elimu ya Msigwa juu ya theology ni ndogo sana na ikitokea akaenda katika makanisa ya kueleweka labda atapewa nafasi ya kufundisha watoto wadogo kuimba na kucheza.
Kwa hakika Mch Msigwa hawezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.