Sawa n bure kwanza anayo leseni na tin number????Unatafuta kutapeliwa wewe...
Mbona line Ni bure?
Now mpesa wamesitisha kutoa lain za uwakala wa mpesa toka mwaka jana mwezi wa 8Unatafuta kutapeliwa wewe...
Mbona line Ni bure?
Ndugu zangu wapendwa mwenye line ya M PESA ambayo haitumii naomba aniuzie au aniazime kwa makubaliano. Au kama kuna anaye jua namna ya kuzipata kwauharaka zaid line za Tigo pesa na M pesa
Natanguliza shukrani
Ndugu zangu wapendwa mwenye line ya M PESA ambayo haitumii naomba aniuzie au aniazime kwa makubaliano. Au kama kuna anaye jua namna ya kuzipata kwauharaka zaid line za Tigo pesa na M pesa
Natanguliza shukrani
M-pesa walisitisha kutoa till toka July 2022 mpaka sasa wako kimya. Mimi ninayo line ya Tigopesa ambayo kwa sasa siitumii kama utakuwa tayari kuinunua nitakuachia kwa 150000 ni ya jina langu kila kitu Biometric Registration na Menu ya Tigo pesa. Niko Dar.Ndugu zangu wapendwa mwenye line ya M PESA ambayo haitumii naomba aniuzie au aniazime kwa makubaliano. Au kama kuna anaye jua namna ya kuzipata kwauharaka zaid line za Tigo pesa na M pesa
Natanguliza shukrani
Tin number ni bure na leseni haizidi sh laki moja pesa ya TanzanianSawa n bure kwanza anayo leseni na tin number????
Shida ni pale utakapoamua kuifunga baada ya huyo jamaa kuinunua, yani ustawi wa biashara yake utategemea na maamuzi yako.M-pesa walisitisha kutoa till toka July 2022 mpaka sasa wako kimya. Mimi ninayo line ya Tigopesa ambayo kwa sasa siitumii kama utakuwa tayari kuinunua nitakuachia kwa 150000 ni ya jina langu kila kitu Biometric Registration na Menu ya Tigo pesa. Niko Dar.
Nimekuwa kwenye biashara hii ya electronic money transfer mwaka wa 12 sasa,so changamoto zake nazijua vyema. Naelewa concern yako ila kwa uzoefu niliokuwa nao hicho kitu kuna watu wa hovyo wanawafanyiaga wenzao. Ushauri wangu siku zote kuepuka changamoto hizi wekeana mikataba pia kwa till kama ya Tigo ambayo inakubali transfer of names pale ambapo mnunuzi anakuwa na valid documents zake ni bora zaidi. Nadhani nimeeleweka bosi.Shida ni pale utakapoamua kuifunga baada ya huyo jamaa kuinunua, yani ustawi wa biashara yake utategemea na maamuzi yako.