pesa

  1. Mradi wa parking ya magari misugusugu umekufa wajanja wamepiga pesa

    Kuna wajanja walianzisha kimradi uchwara hapo misugusugu shule wakawahamisha watu Kwa mabilioni kutoka serikalini ambapo wao walikua wanachukua Nusu ya pesa ya Kila alieamishwa ni mwaka umepita mradi huo uchwara ulipoanzishwa kupo kimya wanafuga pori. Ama kweli Tanzania Ili upate utajiri ni...
  2. Ni Sahihi kuwa na Pesa nyingi kwenye account ya Benki ikiwa ndugu zako ni hohehae?

    Habari ya asubuhi waungwana Dependency ratio inachukua nafasi kubwa sana Huku kwetu Afrika. Unaweza Kuta Mtu anapesa Ila kunae ndugu anaumwa, anasomesha mtoto wa marehemu shangazi yake, Anauguza Baba yake wa Kambo huku Pia ana mlea Mtoto wa Baba yake mdogo aliyepewa ujauzito na kijana...
  3. Ni kweli Bob Junior yuko hoi na kakosa pesa za matibabu?

    Nimeona huko instagram Giggy money anatangaza kuwa Bob junior yuko hoi kiafya na kakosa pesa za matibabu,na wasanii wenzake wamemtenga? Je hizi taarifa ni za kweli?
  4. Hivi mtu na akili zako timamu unawezaje kuweka pesa utt amis

    Kuna jamaa huku mtaani namuonakama rofa kachukua milion 10 kaenda kuiweka Utt amis eti anasema anaitaka ikae miezi 24 hivi mtu kama huyu anaakili timamu kweli aisee wakuu yaani anaenda kuweka pesa utt amis kwenye faida ndogo kuliko kama sio ukichaa ni nini
  5. Pesa ndo kitu kinagombanisha mpaka ndugu

    Ukiona ndugu wanagombana mpaka kuuana hakuna kingine katikati hapo lazima utakuta sababu ni pesa.Aliyegundua pesa alaaniwe
  6. R

    Kanuni za kuendesha huduma za kifedha zinasemaje kuhusu ukadiriaji wa senti unaofanywa na huduma za pesa mtandao ?

    Kuna jambo nimeona kwenye kutumia huduma za fedha mtandao (Yas, kwa case yangu) likanitatiza. Wakati nikifanya malipo ya serikali kutumia app yao, sikuwa na namna ya kuingiza senti kuendana na nilichokua nalipia. Badala yake, mfumo ukafanya ukadiriaji wa juu (rounding up) na kunilazimu kulipia...
  7. Wanawake, wallahi wanajua kuomba pesa, na hawachoki!

    Wanaumeee! Kuweni waagalifu na mifuko yenu! Pita pita zangu huku na huko nimegundua kuwa wanawake wote ni sawa, na Afrika ni moja! Nimeachana na ze chepukoz wa zamani, lakini naona niliyempata ni chepuko kabisa! Ni chepuko la maana lakini mambo ni yale yale! -anataka simu ya tachi, -vocha...
  8. M

    Ukienda gereji kurekebisha tatizo, ukalipia pesa lakini gari likaendelea kuwa na shida ile ile, pesa inarudishwa au unapotezea ?

    Umeenda na gari yako gereji kwa tatizo flani, Unahakikishiwa tatizo litatuliwa Unaambiwa inahitajika spea flani unatoa hela unaambiwa inahitajika oili na grisi unatoa hela unapigiwa hesabu za ufundi unatoa hela Kuna muda unatoa hata motisha kwa fundi Lakini baada ya matengenezo kukamilika...
  9. Tujikumbushe jinsi Hayati Magufuli alivyokataa pesa za Matajiri akiwemo Mzee Mengi katika kampeni zake

    Wazungu wanamsemo wao unasema " Scratch my back I Scratch yours " hii kwa kiswahili inaitwa nipe nikupe. Hicho ndo maCCM wanafanya dhidi ya matajiri. Je watakuja kulipa nini. Wakikwepa kodi or whatever watawafanyaje? Wafanyabiashara wa kiafrika wanamakandokando mengi sana ukiwachekea...
  10. Klabu ya Yanga hawajachangia CCM pesa yoyote!

    Mimi ni SIMBA damu najuikana hivyo.. Na kama mtani wa jadi wa Yanga! Inapopata madhila nafurahi.. Ila kwa hili la kuchangia million mia moja nawatetea hawajafanya hivyo Vilabu vyetu hivi vya soka vingi vinaongozwa na wafadhili na wadhamini, hawana vyanzo vya uhakika vya kuwaingizia mapato...
  11. LETA LAPTOP MBOVU NIKUPE PESA. 0767953873

    Bado nanunua Laptop mbovu leta nikupe pesa Ilala - Dsm 0767953873
  12. Kiongozi huzuka na kukubalika ndani ya Macho na mioyo ya watu na si kwa nguvu ya dola wala Pesa

    GT 1. Uongozi ni talanta kutoka kwa mungu 2.Uongozi ni karama mtu aliyojaliwa. 3. Kiongozi hatumii nguvu nyingi kuwa kiongozi. 4. Kiongozi ni kimbilio la watu.kutatua changamoto zao. 5. Kiongozi huonekana hata kabla hajawa Kiongozi. 6. Kiongozi ni mtu mwenye maono. 7. Kiongozi anaona kule...
  13. Utakatishaji pesa siku hizi unafanyika hadharani mbele ya vyombo vya habari

    Hii harambe ya CCM kuna harufu ya utakatishaji fedha TAKUKURU wafanye kazi yao
  14. L

    GE2025 Rais Samia akiwasili kwa Bashasha na Tabasamu Mlimani City katika Harambee ya Kuichangia CCM Billion 100. Watu Waandaa Maburungutu ya Pesa kuimiminia

    Ndugu zangu Watanzania, Hivi Ndivyo Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge...
  15. Jengo linauzwa, mali ipo Dodoma kisasa, bei ni billion 1.2 pesa ya Tanzania

    #realestatetanzania GHOROFA LA KISHUA LINAUZWA. LOCATION: KISASA MUUNDO( 16 SELF CONTAINED ROOMS) AREA:1200 MSQ PRICE:1.2 BIL 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
  16. GE2025 Nitaichangia CCM pesa ya Kampeni. Wewe je?

    Kufuatia wito wa viongozi wa Chama. Naahidi kuchangia CCM pesa kwa ajili ya Kampeni za uchaguzi Mkuu. NB: Nashauri UCHANGIAJI Pesa ya Kampeni CCM usiwe hiari. Kampuni za simu zitumike kukusanya pesa katika kila 1000/- ikatwe 300 ya kwenda kwenye uchangiaji huu. Jambo hili ni jema kwa maendeleo...
  17. GE2025 Eric Shigongo: Buchosa tulikuwa tunasafiri masaa tisa hadi Mwanza, sina pesa za kugawa mnihukumu kwa matendo yangu

    Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, amesema kuwa barabara za sasa ni bora zaidi kuliko za miaka iliyopita, ambapo zamani ilichukua hadi saa 9 kusafiri kutoka Buchosa hadi Mwanza Mjini. Shigongo ameongeza kuwa katika kipindi cha miaka mitano ya uongozi wake, mapato ya halmashauri yameongezeka na...
  18. Mzee wangu hashimu alianzisha chauma kama Mzee wangu Leo alivyofungua Gest house wapate pesa za uzeeni

    Salumu mwalimu Tanzania Bara usifanye kampeni ila fanya uko kwenu zanzibari ila bara ni aibu. Mzee rungwe alifungua au kuanzisha chauma Ili awe anashiriki uchaguzi anapata ruzuku maana mafao yoteeee aliongaaaaa Mzee wangu Leo yaani Jina la Babangu ni Leo ndio maana Mimi naitwa sifii Leo yee...
  19. NYUMBA MPYA INAUZWA,IPO KUNDUCHI BEACH DARESSALAAM TANZANIA,NI NYUMBA NZURI SANAAA,NA IMEJENGWA KWA UBORA SANA,BEI NI BILLION 2 PESA ZA KITANZANIA

    #houseforsale Nyumba ya gorofa tatu ground floor 1) 1 bedroom en-suite 2) kitchen with separate dish washing room 3) kitchen pantry 4) laundry room 5) computer room 6) entertainment room 7) combined dining room area and sitting room area 8) separate sitting room 9) common toilet first...
  20. Challenge ya kusave pesa UTT

    Wadau wa maendeleo hasa wanaume tukutane hapa kutekeleza hii challenge. Mimi nimeanza kwa kutoa pesa zote benki na kupeleka UTT UKWASI FUND na BOND FUND nimeweka huko.Panapo majaaliwa tukutane at 40.Life starts at 40. Baada ya comulative interest za miaka kama 15 hivi.Ntakuwa na uwezo wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…