Ni kweli Bob Junior yuko hoi na kakosa pesa za matibabu?

Ni kweli Bob Junior yuko hoi na kakosa pesa za matibabu?

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
13,965
Reaction score
26,206
Nimeona huko instagram Giggy money anatangaza kuwa Bob junior yuko hoi kiafya na kakosa pesa za matibabu,na wasanii wenzake wamemtenga?

Je hizi taarifa ni za kweli?
 

Attachments

  • Screenshot_20250821_225121_Facebook.jpg
    Screenshot_20250821_225121_Facebook.jpg
    150.7 KB · Views: 40
Kwa mtu kama huyo kukosa pesa ya matibabu sio jambo la kawaida mkuu
Ni kawaida mkuu Kuna sababu nyingi za kuangalia..
Kuna Boss mmoja alipata dharula ghafla na wakati huo kutokana na huo ugonjwa akawa Hana access ya kutoa pesa zake ilibidi ndugu wapitishe bakuli..alivyopona alilipa pesa zao na akaacha tabia ya umimi yani kila pesa yake awe na access nayo yeye tu ili iweze kutoka..
Anyway bob junior apone haraka ili arudi kwenye majukumu yake.
 
Back
Top Bottom