pesa

  1. M

    Ni bank gani tanzania mtu akifa basi pesa zake zitabakia kwenye account kama zilivyo?

    Kwenye harakati za maisha nimekutana na mambo ya kustajabisha ya ajabu: Case1: jamaa alikuwa mfanyabiashara akamfungulia mtoto wake acc kwa majina yake kimsingi humo ndio alikuwa anamwekea dogo fees na Hela ya ada.sasa siku moja huyo mdingi kamwekea dogo Hela ya ada kama kawa na baadae dingi...
  2. Tafuta pesa uheshimike

    Mwanaume ukiwa na pesa hata kama ni Mzee utakula chochote unachohitaji Mwanaume ukiona unalazimika kujieleza sana na hata unapojieleza unaonekana kituko tu au unaonekana unaleta fujo kwenye kikao cha familia/ukoo na hata unapojieleza wala hueleweki ujue bado uko mbali sana na pesa. Wenye...
  3. Namna pesa inabadilisha vijana kwenye mahusiano.

    Hapa nazungumzia sana vijana ambao wanajitafuta kwa wakati huu; mara nyingi jamii inawapa msukumo wa kutafuta hela na inawathibitishia kwamba bila kuwa na pesa wao si kitu na hawana nafasi ya kimaamuzi au ushawishi wowote kwenye jamii na hata kwenye mahusiano. Vijana (ME) kwa sababu ya fikra...
  4. Pesa ya msaada wa El nino ilienda wapi?

    Kwa miaka mitatu sasa maeneo ya Vigunguti ukiwa unatoka Tabata Barakuda unavuka kwenda Upande wa pili wa mto msimbazi kumekua na magari yanachukua mchanga wa mtoni wanasafirisha. Magari ni Makubwa na kutokana na hili mto msimbazi umekua ukitanuka na wakati wa mvua kumesababisha mafuriko Makubwa...
  5. NI LINI SERIKALI ITAWAJIBIKA KWA KUHARIBU PESA YA MIRADI?

    Kuna Miradi mkubwa Magufuli aliacha na Mingine ya awamu ya sita haijazinduliwa mpaka Leo. Ucheleweshwaji wa uzinduzi au kufunguliwa wa miradi hii hupoteza mabilioni ya mapato ya pesa kodi na fursa za kiuchumi Kwa watanzania. Mfano: Masoko Makubwa yalikua yamepangwa kufunguliwa kama la...
  6. Mwijaku: Tokea Fred Vunjabei aweke Jezi mpya za Yanga zilidoda ila tangia aweke Jezi mpya za Simba anauza hadi anachoka kupokea Pesa

    Yaani Jezi zitengenezwe Italia zisiuzike halafu zile zilizotengenezwa Tandahimba na kupigwa Chapa Tandale ndiyo ziuze?
  7. Nawezaje kutuma pesa online nikiwa Pakistan kuja nyumban Tanzania?

    Habar za majukumu ndugu zangu,kuna jamaa tunahitaji kufanya biashara ya yeye kununua bidhaa hapa Tanzania na mimi kumtumia kwenda Pakistan, sasa yupo mbali sana na bank maana njia nyepesi ingekuwa ni western union au money gram kwahiyo hatoweza kuwa anaenda huko mara Kwa mara kutuma pesa. Je...
  8. Haya tufanye pesa zinachotwa kama anavyowaongopea Polepole na Mange Kimambi. Nyie mnasemaje? Mna la kufanya?

    Nikiwaita wajinga mnakasirika. Kutwa kutwa mnakesha kufuatilia habari za uzushi kutoka kwa Mange Kimambi na Polepole ambao wao pia ni wana CCM ambao mfumo umewakaanga. Polepole ana madudu mengi sana. Kesho nitayaanika hapa. Mange baada ya kukosa Ubunge ndipo kaja na utetezi uchwara. JPM alimpa...
  9. H

    Ujinga wa wengi humu ni kutokujua kuwa hata viongozi wa dini wanaichangia pesa ccm ibaki madarakani

    Hii ni ngumu sana kuamini lakini ukweli ni kwamba makusanyo ya sadaka na mali za waumini sehemu yake huchangia ccm Hao manabii na masheikh hawalipi kodi na ndiyo watetezi wa ccm
  10. D

    Fursa zilizopo Wilaya ya Muheza-Tanga

    Habari Wadau Ni fursa gani za kiuchumi/ biashara zilizopo au zinazoweza kuanzishwa Wilaya ya Muheza?
  11. VIDEO: KWA MSIOJUA PESA ALIZOPIGA ANJELA KWA JESHI LA POLISI NI HII ISSUE MSIKILIZE LATE MAGUFULI HAPA

    BILIONI 60 ZA SARE ZA POLISI ZILIVYOLIWA MIAKA 9 ILIYOPITA NA MHUSIKA HAJACHUKULIWA HATUA
  12. I

    Stop Kupoteza Pesa Hizi ni Imani 7 za Teknolojia Ambazo Zina Haribu Bajeti Yako Kilaa Wakati

    Hizi ni Myth 7 za Teknolojia Zinakupotezea Pesa Nyingii Mno Je, umewahi kuambiwa kwamba lazima ununue cable ya bei ghali ili kupata picha bora kwenye TV yako? Au kwamba kamera yenye megapixel nyingi ndiyo bora zaidi? Ukweli ni kwamba, kuna imani potofu nyingi kwenye teknolojia ambazo...
  13. Hizi baskeli za wajumbe zimenunuliwa na pesa ya nani n zanini??

    Nimeona wachaga wanalalamika kupewa basikeli mbovu Jana nikaenda kwa mjumbe rafiki yangu ananionyesha box la baiskeli nkamwonyesha hii picha walizogaiwa moshi nkamshauri wauzie wanyasa kabla ujaliaa now anakunywa pale Manville pub Swali hizi basikelii za nani nani amenunua na kwa pesa ya...
  14. Unafanya dili gani linalokupa pesa? Kwa wanaume wapambanaji tu.

    Unafanya dili gani linalokupa pesa? Kwa wanaume wapambanaji tu. Shea dili lolote unalofanya ambalo na sisi tunaweza kufanya tukapata pesa. Comment yako itasaidia wanaume wengine wanaojitafuta. Mimi ni dalali wa viwanja. Nanunua kiwanja kwa bei ndogo, nakiweka sokoni kwa bei mara mbili. au...
  15. Mwakyembe baada ya kukataa Maburungutu ya Pesa. Richmond ilitaka kumwondoa kwa Sumu

    Tuliokuwa wakubwa miaka hiyo tunakumbuka sana. Tunakumbuka nini kilitokea na sababu ilikuwa ni nini. Ndo muone kuwa hili genge lina fanya kazi miaka na miaka. Siyo jipya. Mnakumbuka lengo la kueliminate watu kadhaa akiwepo pia na Mwandosya? Haya mambo watu hamyajui wengi mlikuwa either Mbwinde...
  16. Polepole: Pesa za Corona zilitafunwa

    Pesa za Corona mwaka 2021 wewe Kikwete ulikuwa rais mstaafu na kuheshimu sana ila mimi ndiye niliyekuwa mwenyekiti wa kamati ya utawala na Serikali ya mitaa ndio nilipitisha kwa mkono wangu pale bungeni Trilion 4 halafu hela ya Corona ilipokuja Trilion 1.3 mkatumia nje ya bajati kwa matumizi...
  17. Polepole: Wanatakatisha pesa kwa kununua magari ya kifahari na kujenga nyumba Masaki

  18. Kitimoto inaliwa na wenye pesa tu!

    Wakuu! Niongezee sautii ama? Kitimoto inaliwa na wenye pesa tu ndugu mheshimu
  19. Hivi hili la viongozi kuiba mabilioni ya pesa na kununulia vitu vya kifahari ni ujinga ama ni kukosa maarifa?

    Mange amefichua ufisadi mkubwa unaofanywa na familia za viongozi wa juu, wakitapanya mabilioni kupitia “deals.” Swali linalojitokeza ni: hivi kweli familia hizi hazina hata chembe ya busara ya kawaida katika namna ya kufanya mambo yao? Ni kana kwamba tamaa imefunga fikra zao kiasi cha kushindwa...
  20. Tatizo ni Pesa/Umasikini

    "Binadamu anaamini Ukimpa pesa ndo Unampenda" Ila kiuhalisia Unakua umemnunua indirect seles, na wapo wanaouza Direct sales. Kwa ufupi Wote Wanauza ila wametofautina style ya kuuza tu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…