Ndio Inawavutia wanawake, lakini kwa kawaida ni aina mbaya ya wanawake, wale ambao kimsingi wanapendezwa na pesa (Slay Queens). Wanaume wengi wenye akili, wacheshi, watanashati na wenye haiba nzuri wana mengi zaidi ya kutoa kuliko pesa tu......
Pesa iwepo Tu kama kilainishi mfano Sabuni au KY...