pesa

  1. T

    Hili la utafunaji wa kodi zetu! Wananchi tuonyeshe hisia zetu!

    Mpaka lini sisi tutaendelea kuitwa masikini? Huu umasikini tunaoitwa nao kila leo, sababu yake ni ipi kama sio hii ya wakubwa kuiba mapesa yetu? Ni kweli kabisa sisi ni masikini au ni upumbavu wetu? Umasikini upi tulionao sisi ili hali robo nzima ya bajeti yetu, inaishia mifukoni mwa...
  2. T

    Tunaposema tutamkumbuka Hayati Magufuli anayekuwa akipinga hilo ni wafuja pesa za wananchi!

    Kwa report hii ya mkaguzi wa fedha za Serikali CAG kuwa na upotevu mkubwa wa mabilioni ya fedha za wavuja jasho masikini wa Kitanzania, walah JPM angekula vichwa vyote na kujiongezea wapinzani wapya leo! Nchi hii bila kitengo cha kuwapoteza hawa mafisadi ni sawa na kufuga mbwa kichaa...
  3. Money is the King of Love. My money is my ego

    Wasalaam JF, Money is the king of love. Money is the only magnet that women have since failed to resist. Nawakumbusha wanaume tafuta pesa wanawake watakutafuta wewe. Chase money and women will Chase you. Thank me later. Wadiz
  4. Makabila ya Mara mnatia aibu: Wanaume kutahiriwa bila ganzi sio ushujaa, Heshima ya Mwanaume ipo kwenye Pesa na Power

    Dunia imepuga hatua kwenye nyenzo za utabibu kwenye kutahiri na hakuna mantiki ya kutumia mbinu za zamani zenye maumivu makali bila ganzi. kuahiri kwa kisu kwa zama hizi ni kama kuhangaika kutafutana majumbani wakati yupo zama za simu za mikononi. Hayo mambo ya kutahiriwa bila ganzi yaachwe na...
  5. Rais Samia, nimefurahi sana Taifa Stars Kufungwa ili Pesa zako zikasaidie hasa Watu wenye Uhitaji na siyo Goigoi wa Viwanjani

    GENTAMYCINE mapema tu leo nilijua kuwa Taifa Stars itafungwa na nilianzisha Uzi wa Kutahadharisha hapa hapa JamiiForums na nashukuru Wachache mno walinielewa japo Nilifumba. Rais Samia acha kupoteza Pesa za Watanzania Kusaidia Watu wasiojielewa (Wachezaji wa Taifa Stars) na badala yake peleka...
  6. Rais Samia ukimaliza kuchezea Pesa kuisaidia Taifa Stars tunakuomba uwasaidie na Watanzania wote kwenye jambo hili la Muhimu

    Kwa sasa ni rasmi kuwa ukitaka Kumlipia Mwanao Bima yake ya Afya kwa Mwezi ni Tsh 160,000/ na ya Familia ni Tsh 600,000 huna hizo Pesa ukiugua subiria tu Kufa na tukakuzike. Hivyo basi GENTAMYCINE (Zanaki and Makuwa Think Tank) namuomba Mheshimiwa Rais Samia kuwa kwakuwa kumbe kuna Hela za...
  7. Wana Songea, mbona mji wenu haukui? Tatizo ni nini?

    heshima kwenu Wana JF wote Nipo Songea kwa matembezi kidogo,nimekuja kwa ajiri ya mazao kipindi hichChcha maharage,na wilaya hii nishawahi kuishi Sana miaka hiyo mzee alikuwa anafanya kazi hapa Songea. Kwa kiasi chake Songea imebadirika lakini sio Sana ni baadhi ya maeneo. hasa pale mjini...
  8. Mapenzi ya dhati(upendo) hutuliza nafsi kuliko pesa

    Jaribu kua na ela alafu usiwe na amani na ukose ule upendo WA dhati ndo itakua hata ukiwa na pesa kias Cha kua afford hizi basic needs za kibinadam zote na luxury pia..Bado Kuna namna ya kukosa amani yaani inakua ujai vizuri ....upendo WA kweli unatuliza sana nafsi. Ukiongezea na kupata a very...
  9. Pesa za majini

    Twende kazi, Songea Ilikuwa mwaka 2011 majira ya saa Tisa mchana nikiwa na rafiki yangu mudy watoto wa wanajeshi tukiwa tunatoka tution....tution tulikuwa tunasoma mtaa wa pili kutoka mtaa wa home kwa wenyeji wa Songea Kuna sehemu moja inaitwa mfaranyaki. Ilikuwa inatulazimu kupita baadhi ya...
  10. Ni sawa kwa ofisi ya serikali kutumia pesa kuweka bango la kuwaka?

    Juzi nimepita sehemu nikaona ofisi ya TANESCO ina bango kubwa la kuwaka, kama yale ya kwenye vituo vya mafuta. Nikajiuliza, hawa wanafanya kazi usiku kuhitaji bangi la namna hii? Lile bango ni gharama, sidhani kama linapungua 5m na bila shaka yamewekwa ofisi zote za TANESCO nchini. Ni sahihi...
  11. Alichokifanya huyu jamaa, kweli tutafute pesa sana na usimwache Mungu

    Amani kwako. Ramadan Mubarak. Hakuna haja ya maneno mengi, huyu ni raia wa nchini Nigeria, aliamua kubadilisha mfumo mzima wa maisha ya kijijini kwao na kujenga (satellite city) kwa fedha zake bila kumdai mwanakijiji apeleke yai au kilo ya mahindi. Kijiji hiki cha Nigeria kiligeuzwa kuwa mji...
  12. Je, zawadi za pesa kwa magoli zinakiuka kanuni za CAF?

    Leo kuna jambo nilikuwa nafuatilia na katika kupekuapekua huko mitandaoni, nikawa napitia kanuni na sheria za mashindano ya CAF nikakutana na kitu kilichonifanya nijiulize maswali kuhusiana na zawadi za magoli za Muheshimiwa Rais Samia Hassan. Katika document ya CAF inayoitwa "Regulations of...
  13. Ukiwa umebeba pesa nyingi fanya kila uwezalo Polisi wasijue

    Umeuza mazao yako, madini yako nyumba yako etc. Fanya uwezalo hawa jamaa wasijue, usiniulize sababu. Uzi tayari
  14. Nape: Wafanyabiashara wa fedha za kigeni walioporwa fedha zao wamefutwa machozi

    Kwa lengo gani? Je kwanini wahusika warudishiwe haki yao? Ilikuwa uporaji? === Nape akiwa Clouds FM amesema "Rais Samia Suluhu Hassan katika miaka hii 2 ya uongozi amefanya kazi ya kuwafuta watu machozi na amefanya kazi ya kurudisha furaha na tabasamu kwenye maisha ya watu. "Wale wanasiasa...
  15. Rais Samia: Nimeona utani baada ya Simba kushinda 7-0, waambieni fedha bado zipo tupieni magoli wavuni

    Rais Samia Suluhu Hassan amezungumza hayo baada ya Simba kushinda magoli 7-0 dhidi ya Horoya katika mchezo wa Hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, kwenye Uwanja wa Mkapa.
  16. Inaweza kukugharimu pesa nyingi Hadi uhai kwa kujifanya unapesa.

    Nilichogundua kukaa kimya ndo akili za kitajiri maana huwezi muomba pesa au kumdhuru kirahisi mtu ambaye huna background yake ya kipato Kama anacho au Hana Sisi masikini %kubwa tunapenda kujionesha tuna pesa na mwisho wa siku inatugharimu pesa nyingi Hadi uhai Nimefatilia visa vingi vya mauaji...
  17. Nataka kuteketeza 10 million means kuzichoma moto hizi pesa baada ya kugundua pesa hizo sio halali

    Pesa makaratasi... hii ndo maanake ☝️😁😁 ukichoma pesa serikali inakupa kesi. Pesa zangu afu serikali inanipangia matumizi ☝️ hata kuchoma pesa ni matumizi mbona nikipoteza pesa hainisaidii kutafuta hizo pesa.... Utumwa still bado upo. Any way ....
  18. Kwahiyo malkia mtalaka wa Tabibu Year uliforce upewe talaka na tabibu ili uliwe na huyo Jamaa wa Kinondoni?

    Tabibu Year si nikuambia karma iko real ila haukutaka kunisikia ujeuri na ufedhuli wako ikopelekea hivyo wewe ni ulimuovertake yule bwana pale maeneo kutokana na pesa zako then ukamchukua malkia msukuma ukampeleka South akaishi sasa yule pusha na mtakatishaji pesa wa pale Kinondoni alikuwa...
  19. Idara ya afya Wilaya ya Rombo imegeuka Kikosi kazi cha kumwaga Chanjo za UVIKO-19, kupika majina ya watu kuwa wamechanja

    This is Tanzania. Yaliyoendelea, yanayoendelea yanasikitisha. Umeona takwimu za chanjo ya UVIKO-19 kuwa 86% ya Watanzania Wamechanja 😅 Kwa sample ndogo ya Halmashauri ya Wilaya ya Rombo kazi iliyokuwa inafanyika inasikitisha. Vials za chanjo za UVIKO-19 zimemwagwa sana kwa kushirikiana na...
  20. Wafanyabiashara Kariakoo wanapata hasara kwa kutokujua kiwango cha kubadilishia pesa cha dola kwenda Yuan au shilingi kwenda Yuan

    Mfanyabiashara unaweza kupata taarifa ya viwango vya kubadili fedha kupitia simu yako, una-google, kutembelea mabenki n.k lakini cha muhimu zingatia utofauti wa kiwango cha kubadilishia fedha hiyo, Wafanyabiashara wengi mwanzo wa mwaka hadi mwisho wa mwaka anakuwa haelewi kwa sababu hajui...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…