Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,508
- 6,213
Ukivuka viwango vya kutokupelekeshwa na pesa ya mtu au kununuliwa na pesa u become a Beast ni rahisi sana kupoteza heshima na utu wako pesa ikikuendesha
...The important thing is to find out what it is.everyone has a price.
Inapigaga kwenye mshono hii...The important thing is to find out what it is.
Pablo Escobar.
Exactly broski , pesa haitakiwi imtawale mtuUmeongea kitu cha maana sana ila ni ngumu sana kwa watu wengi kukuelewa,
Unatakiwa uitawale Pesa na sio Pesa ikutawale wewe,
Pesa ikisha kutawala badala ya wewe uitawale,basi huo ndio mwanzo wa kupoteza utu wako, heshima yako,na hatimaye kusahau kuishi,
Coz muda wako wote utautumia kukimbizana na pesa,mwisho wa siku unakuja kujikuta kua ulisahau kuishi na ukakimbizana na pesa tu kwenye uhai wako.
Oya karibu pombeInapigaga kwenye mshono hii
Ngoja watoto wa Malkia washindeOya karibu pombe
♥️Umeongea kitu cha maana sana ila ni ngumu sana kwa watu wengi kukuelewa,
Unatakiwa uitawale Pesa na sio Pesa ikutawale wewe,
Pesa ikisha kutawala badala ya wewe uitawale,basi huo ndio mwanzo wa kupoteza utu wako, heshima yako,na hatimaye kusahau kuishi,
Coz muda wako wote utautumia kukimbizana na pesa,mwisho wa siku unakuja kujikuta kua ulisahau kuishi na ukakimbizana na pesa tu kwenye uhai wako.
Pesa inakutawala pale ambapo unakubali mambo ambayo wewe mwenyewe hauyafurahii ila unalazimika kuyafanya kwasababu ya nguvu ya pesa .Naombeni kueleweshwa pesa inamtawala vipi mtu, na mtu anaitawala vipi pesa?
Asante!Pesa inakutawala pale ambapo unakubali mambo ambayo wewe mwenyewe hauyafurahii ila unalazimika kuyafanya kwasababu ya nguvu ya pesa .
Pesa unaitawala pale ambapo , kuna dau la kukushawishi kuipokea hiyo pesa lakini unazingatia zaidi utu na thamani yako