Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 26,203
- 96,396
Hey people,
Title inajielezea,msinifokee nina mimba changa bado, huu ni muendelezo wa uzi 👇
Uzi bado
Title inajielezea,msinifokee nina mimba changa bado, huu ni muendelezo wa uzi 👇
Hellow people,
Uzi ni kwa wale wanaopenda kuweka akiba
Nitaelezea kwa experience yangu na vile huwa nafanya
Vitu vya kuwa navyo
Notebook (Daftari)
Hii ni ya kuandika mapato na matumizi yako ya kila siku(Mali bila daftari huisha bila habari)
Bahasha
Kwa kugawanya matumizi yako kwa vitengo maalum. kila bahasha ina kazi yake mfano bahasha moja unaandika sadaka,dharula,chakula,nauli
2. Gawa salio lililobaki kwa bahasha(1,000,000...
Uzi ni kwa wale wanaopenda kuweka akiba
Nitaelezea kwa experience yangu na vile huwa nafanya
Vitu vya kuwa navyo
Notebook (Daftari)
Hii ni ya kuandika mapato na matumizi yako ya kila siku(Mali bila daftari huisha bila habari)
Bahasha
Kwa kugawanya matumizi yako kwa vitengo maalum. kila bahasha ina kazi yake mfano bahasha moja unaandika sadaka,dharula,chakula,nauli
Hatua za kufuata
1. Andika mapato yako
Mfano mshahara wako ni TSh 2,800,000 toa 1,800,000 iweke pembeni usisubiri mpaka mwezi uishe2. Gawa salio lililobaki kwa bahasha(1,000,000...
- Joanah
- Replies: 548
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
Uzi bado