pesa

  1. Logikos

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali Ikope Kuendesha Miradi, Wakati inaweza Kutengeneza Pesa ?

    Kabla hatujaitana vichaa, kwanza kabisa tukubaliane kwamba ndicho kinachotokea sasa hivi duniani (creating money from thin Air) ingawa ni Benki ndio zinafanya hivyo... Pesa inavyotengezwa na kuongezwa kwenye Mzunguko na Benki Wewe ukienda kuomba mkopo Benki unapewa pesa ambayo Benki haina wala...
  2. Paspii0

    JamiiForums Tanzania Pesa zako zinanuka!

    Je, pesa zako ni baraka au mzigo unaobeba harufu ya maumivu ya wengine?. NB:Picha kwa hisani ya gazeti la mwananchi mwakajana. Katika jamii ambayo utajiri hutafsiriwa kama nguvu, pesa mara nyingine hutumika kama silaha ya kudhibiti na kudhalilisha. Lakini utu unaweza kununuliwa? Heshima...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Zinatoka wapi pesa zinazotumika kujenga miradi mikubwa na mingi inayofunguliwa kila siku Zanzibar?

    Ukiangalia television na kusikiliza redio na hata kusoma magazeti utapata habari za miradi mikubwa mikubwa ikifunguliwa kila siku Zanzibar. Miradi hiyo ni kama vile barabara, shule za ghorofa, viwanjwa vy michezo, masoko ya ghorofa, majengo makubwa, viwanda, miradi ya nishati, flyovers, na...
  4. Fallback

    JamiiForums Tanzania Ushauri Namna gani utailinda Pesa yako : Sarafu (Coin) ina nguvu kwenye ulimwengu kuliko vile unavyofikiri

    Wakuu! Huu ni ushauri wa kuilinda pesa yako na sio simulizi za 'Chuma Ulete'. Pesa ina nguvu, hapa nitazungumza na wale wote wanaotaka kuimiliki pesa. Pesa ninayoizungumzia zaidi hapa ni pesa ya Sarafu (Coin) ambayo inatumika katika maluweluwe mengi sana. Pesa ya Karatasi au Noti...
  5. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Inaumiza sana umri huu Mbowe ana report kwa Abdul? Pesa ndiyo sabuni ya roho

    Abdul ni mtoto ambaye walio karibu watakuambia hata hayupo smart. Sema ndo anatumika tu na mzazi wake. Mbowe umri huu ndo maana aliamua kuwa na washauri kama akina Ntobi, Yericko and the likes watoto wadogo tu. Mbowe inasemekana mshauri wake mkuu sasa ni Abdul. Yaani kila kitu anachofanya...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Hivi hawa watu wa ile pesa tuma kwenye namba hii wanashughulikiwa kweli na mamlaka?

    Bado napata meseji zao. Sielewi hizi namba wanazotumia kama zimesajiliwa kwa NIDA na alama za vidole wanapata wapi ujasiri wa kutapeli watu maana kuwakamata ni jambo rahisi. Mamlaka husika nataka jibu vinginevyo kazi imewashinda.
  7. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Yesu hakuwa na Kanisa wala pesa, hakuacha hata hao wakristo. Je, hawa wanapata wapi haya wanayofanya?

    Kwa waliosoma na kuelewa habari za Yesu watakubaliana nami yafuatayo: Mosi, alikuwa maskini au lofa wa kawaida mwana wa seremala ambaye kama angerudi leo na kukuta wanaomhubiri na utajiri wao haramu, angezimia mbali na kuwakaripia hata kuwachapa. Pili, hakuwahi kuwa na wala kuingia kanisani...
  8. Shuku_

    JamiiForums Tanzania Eti tajiri ni mtu mwenye pesa au mali kiasi gani?

    Habari zenu wakuu 👋🏽 👋🏽 Wakuu nipo hapa jukwaani nahitaji kujua TAJIRI ni mtu mwenye PESA au MALI kiasi gani? Maana kumekuwa na maana tofautitofauti ambazo hutumiwa na watu kulingana na mtazamo wao kuhusu neno TAJIRI kulingana na vile ambavyo inawafaa. Ajabu ni kwamba unaweza uka miliki hata...
  9. Cannabis

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu: Hakuna kanuni ndani ya CHADEMA zinazotaka ukiwa kiongozi uchangie pesa za mkutano

    Makamu mwenyekiti wa CHADEMA amesema hakuna kanuni ndani ya chama hicho inayosema ukiwa kiongozi unatakiwa uchangie pesa kwa ajili ya mkutano hivyo hata akishindwa kuchangisha milioni 30 kwa ajili ya mkutano huo hatakuwa na kosa. Amesema kuhusu habari ya mamilioni yaliyochangishwa na wengine ni...
  10. JEJUTz

    JamiiForums Tanzania Usitegemee pesa iliyopo kwenye simu au ATM card kufanya manunuzi au kulipa bills kuna Siku utaumbuka

    Hili limenitokea jana tu! Kama mnavyojua msimu wa sikukuu watu tunakuwa busy na shopping za hapa na pale. Jana nikaingia super market moja hapa down town .Kusanya mazaga kama yote kwa mbwembwe kibao. Kucheck pembeni namuona rafiki yangu ambae tulipotezana kitambo.Maongezi kidogo kisha...
  11. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Divorce lawyers wanaenda ku-download pesa 2025!

    Mwaka 2025 Divorce lawyers wanakwenda kuwa Mabilionea. Wateja (watarajiwa) 1. Wolper, 2. MC Pilipili, 2. Sister P.
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Hatujalipwa pesa za Korosho mnada wa 8 nA 9 Newala Kitangali

    Hatujalipwa pesa zetu za korosho wa mnada wa 8,9 Newala kitangari ,tangu mnada umepita ni mwezi sas na hakuna taarfa zozote zinazotolewa kwa katimu wa chama cha msingi Limanga
  13. Now and then

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa kaka yangu wa kwanza (First born) amebamiza 'A' za kutosha za darasa la nne mpaka nimeogopa sana, tutafute pesa Elimu nzuri ni gharama

    Wakuu this is the first time nashuhudia kijana wa kaka yangu anafanya maajabu kama haya. Kiufupi nimefurahi sana huyu angekuwa st kayumba sijui kama angepata hata A moja Elimu nzuri ni gharama wakuu. Kila mwaka inatoka mil 5 Ila matunda ni mazuri. Ukiachana na hilo anaongea kiingereza Kama...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Nina tatizo la kutokulipwa pesa zangu pindi ninapo wakopesha ndugu jamaa na marafiki wa karibu. Imepelekea kuvunja uhusiano wa karibu na hao wakopaji

    Heri ya mwaka mpya ndugu zangu wa JamiiForums. Hii ni post yangu ya kwanza ya mwaka huu wa uchaguzi 2025. Natumai uchaguzi utakuwa na mambo mengi sana tutaona sura mpya nyingi za wabunge pale mjengoni. Kwenye mada sasa. Ebhana nimekaa chini na kutafakari nikagundua nimedhulumiwa vihela vyangu...
  15. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Mbunge Musukuma aambiwe kuwa pesa sio mbadala wa elimu

    Inasikitisha sana kuona mbunge wa bunge la JMT akiibeza elimu kwa kudhani kuwa na pesa ni mbadala wa elimu. Hizi kauli za mtu kama Kasheku zinafifisha kabisa malengo ya watanzania kujikomboa kupitia elimu. Kasheku na baadhi ya watu hudhani kuwa na hela nyingi ndo tayari unakuwa umepata mbadala...
  16. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Pesa ingekuwa msanii ingetutungia dis track mbaya kuliko ile ya 2pac

    Pesa ina chuki mno na sisi binadamu. Itoshe kusema pesa ingekuwa binadamu msanii basi ingetuchana mno kwenye dis track. Ile hit em up ya 2pac ingekuwa cha mtoto.
  17. 4

    JamiiForums Tanzania Kama kuna mtu kachukua pesa za watu huko CHADEMA uchaguzi umeisha kwisha rudisha .

    Wakuu amani ya Bwana iwe juu yenu, kila mmoja kwa imani yake. Leo nimeona nitoe onyo , kama yupo ambae amekwapua mpunga toka upande ule, utazitapika, uchaguzi umeishaisha . Team Mbowe mnaenda kupigwa kama Ngoma. Mtajua hamjui.
  18. youngkato

    JamiiForums Tanzania Platform za Uhakika za online za Kutengeneza Pesa Mtandaoni (Ushuhuda wangu)

    Freelancing ni njia maarufu inayowezesha watu kufanya kazi kutoka popote walipo. Kuna majukwaa kadhaa yanayotoa fursa za freelancing ambapo unaweza kujiandikisha kama freelancer na kuanza kutoa huduma zako kwa wateja mbalimbali. Mifano ya majukwaa hayo ni: Upwork: Hii ni platform maarufu...
  19. youngkato

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuanza na Kufanya Online Business Bila Mtaji wa Pesa (Uzoefu wangu)

    Nimeanza kufanya biashara mtandaoni (online business) tangu mwaka 2021 na hii ni njia bora ya kujiongezea kipato bila ya kuwa na mtaji mkubwa wa pesa. Nitakueleza hatua kwa hatua jinsi unavyoweza kuanza biashara ya mtandaoni ukiwa huna mtaji wowote wa pesa. Hapa ni mambo ya msingi unayohitaji...
  20. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Mwanaume tafuta pesa, wanawake wazuri utawapata bila kujalisha una miaka mingapi

    Wanaume tutafte pesa, wanawake wazuri wapo tu miaka yote ya maisha yako. Larry Ellison mmiliki wa kampuni ya mifumo ya Oracle ana miaka 80, ameoa kimwana wa miaka 33, tofauti ya umri wa miaka 47. Mugabe alimuoa Grace akiwa anamzidi miaka 40, Mmliki wa Nkatie Burger, burger maarufu sana Afrika...
Back
Top Bottom