pesa

  1. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Mdahalo wa "Elimu ni bora kuliko Pesa " unajidhihirisha sana kiuongozi ndani ya CHADEMA na CCM .

    CCM wanaamini katika Elimu hasa nafasi za juu na uteuzi, ili uteuliwe lazima kuwe na usomi ndani yake . Huku CHADEMA tunakwenda Kiuhalisia zaidi kwamba Pesa ni bora kuliko elimu na ukizikosa uwe na ushawishi kidogo . Yote sawa ila nadhani kuna upande unahitaji mabadiliko Muwe na siku njema
  2. Judah Tribe

    JamiiForums Tanzania Vibaka Afrika Kusini walipua gari ya hela kwa bomu na kupora pesa (inakuaje wahalifu tena vibaka kumiliki silaha nzito za gharama?)

    Leo saa 6 mchana vibaka wenye silaha Nzito wameipiga kwa BOMU gari iliyo kuwa imebeba fedha na kupora fedha Tukio Hilo limetokea mtaa wa kwathema Gp (Gauteng) gari hiyo iliyo beba fedha ikiwa barabarani vijana sijui waliitrack vipi ghafla kilisikika kishindo tu cha bomu na majibizano ya risasi...
  3. USSR

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu nafahamu kiasi gani cha pesa kimetumika kufanya Land Rover Festival ya Arusha?

    Mafuta, matengenezo, matangazo,posho na n.k kwa magari zaidi ya 1000 huu pesa inawashwa kibiriti kisa tu ni kunshindana na wajerumani waliona uchumi mkubwa zaidi Ulaya na wanaosadia bajeti yetu ya kitaifa. USSR
  4. D

    JamiiForums Tanzania Tuelewane: waliposema education ni ufunguo wa maisha hawakumaanisha elimu ni ufunguo wa pesa

    Watu wanachanganya vitu viwili ambavyo ni muhimu. Maisha yanajumuisha akili za utambuzi, kuishi na watu technically mana dunia haina hira, kuwepa viunzi vingi vya kifo nk Pesa au fedha ni ujanja wa mtu tu bila kujali amezipata kihali au la: Ndo mana wenye pesa mara nyingi wanakufa haraka mana...
  5. Under-cover

    JamiiForums Tanzania Ni biashara gani uliwahi kuambiwa ukifanya utapiga pesa sana ila baada ya kuingia mchezoni ulibaki unajuta?

    Biashara ya kukopesha pesa yani ukimuona unae mdai kabeba begi yuko kwenye boda , inabidi na wewe uchukue boda fasta umfukuzie, mwisho unaona anaingia kwa dobi, inabidi upitilize na hujui unaelekea wapi. Kudownload na kuinstall pesa. Bajaji Biashara ya kukopesha pesa, yani ukimuona unaemdai...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri: Nifanye nini niweze kuingiza Pesa kwa kutumia huduma za Intaneti? Isiwe Betting au Forex

    Wakuu. Natamani kuingiza hela kwa upande wa internet naombeni msaada kwa wabobevu hata elfu 5 kwa siku Toa Forex, betting
  7. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Peter Madeleka akiwa na Maburungutu ya pesa. Hii ni baada ya kupigania haki za wanaoonewa

    Duh
  8. nipo online

    JamiiForums Tanzania Pesa haitafutwi bali inategwa

    Kwa wale mafundi wa kusaka pesa waje hapa
  9. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Hili Jiji la Dar es salaam limekubadilisha tabia au ni tabia yako iliyokuwa imefichika wakati huna pesa?

    Wairaq na wambulu wote ni ndugu! Dada yako anaumwa huko mkoani wanakuomba mchango hutumi unabaki tu nitawatumia,lakini kila weekend uko Kitambaa cheupe na Malaya huku mezani ukiwaongezea pombe watu usiowajua Ili uonekane una Hela! Mama yako aliyekulea na kukusomesha baada ya baba yako...
  10. Anastasia21

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza kiwanja goba kibululu Kwa ukubwa wa 25x20 ambapo utapata huduma zote za jamii kama maji,umeme na mengineyoKwa million 10 tu nashida na pesa

  11. Matulanya Mputa

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Viongozi wa CCM wa Kata wakishirikiana na madiwani wao wameanza kuzunguka usiku na kutoa pesa kwa watia nia wa upinzani wajitoe

    Hii tarifa ni sahihi na si muda mrefu tutaweka majina ya Viongozi ambao wanazunguka na pikipk za Samia kwa lengo la kuwarubuni watia nia wa upinzani wajitoe. Baadhi ya maeneo wameanza kufanikiwa hasa maeneo ya vijijini. Angalizo kwa vyama vya upinzani tafuteni wagombea ambao wanajielewa...
  12. O

    JamiiForums Tanzania Nani aniuza printer yenye uwezi wa kuprint a3 used lakini mfukoni Sina pesa ndefu yaani mamilioni

    Mwenye printer used inkjet yenye uwehio karibu
  13. Tlaatlaah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rigathi Gachagua adinda kujiuzulu, asema bila yeye Ruto asingeingia Ikulu

    Naibu wa Rais wa Kenya Rigathi Gachagua, amejigamba kwa kudai kwamba yeye ndie pekee aliesababisha na kuchangia pakubwa Rais Dr. William Ruto akashinda uchaguzi wa 2022, la si hivyo bila jina lake kuwako kwenye karatasi za kupigia kura, kamwe asingeshinda urais wa Jamuhiri ya Kenya wakati huo...
  14. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Mwendo wa kahawa na vitabu tu. Kweli pesa ni sabuni ya roho aisee!

    Nakaribisha makasirko aisee
  15. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Wazee mliochelewa kushika pesa tunaomba mtupumzishe

    Mhadhara - 35: Unamkuta mtu tangu amezaliwa ameishi maisha magumu, ugumu wa maisha umemtafuna kwa miaka 50. Anaanza kufanikiwa (kushika pesa) akiwa na miaka 51 baada ya kuuza shamba lake la miti. Sasa tazama vituko vyake mjini! Mnashangaa!! Huyu mzee mbona anafanya mambo ya kitoto mtaani ambayo...
  16. Brojust

    JamiiForums Tanzania Mbona pesa imekuwa ngumu sana, Mbona kila mtu analalamika, Kwani shida iko wapi?

    Hakuna salamu Moja kwa moja kwenye mada, Kwani nyie wenzetu mnapata wapi pesa, mbona biashara zimekuwa ngumu sana, yaani kweli hadi kijana wa chuo kikuu yupo field kwenye taasisi moja hv eti anakwambia, Braza toa elfu 30 ya faster niipileke document yako kwa incharge akupitishie faster. Mbona...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mjukuu wa Bakhresa, Zayed aonesha jumba lake la Kifahari! Pesa Inaongea

    Mjukuu wa Bakhresa, Zayed, hivi karibuni amejipatia umaarufu mkubwa kutokana na maisha yake ya kifahari na ubunifu katika sekta ya biashara. Katika video aliyoiweka mtandaoni (X, Zamani Twitter), Zayed anaonesha jumba lake la kifahari na la kisasa, lenye upekee ambao unathibitisha uwezo wake wa...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Nimeibiwa simu na mwizi ametoa pesa tiGO Pesa!

    Nimeibiwa simu yenye line ya Tigo na nilipoenda kuchukua line mpya naangia salio la pesa nakuta hakuna kitu! Kwenye statement inaonekana mwizi ametoa pesa mara tatu. Hii inawezekana vipi mtu hajui password yangu atoe pesa??
  19. dr namugari

    JamiiForums Tanzania Ndugu yangu amegoma kunirudishia pesa zangu

    Mwaka jana ndugu yangu kabsa wa damu alikuja na kuomba nimpatie pesa ili a bust biashara zake, kwa vile alijuwa kuwa kuna kititi nimepokea kutoka Taasis fln ya umma. Sikuweza kumnyima kwa vile mm pia nilikuwa nafikiriaa cha kufanyia hizo pesa either ninunue kiwanja dodoma am au nianzishe...
  20. Brojust

    JamiiForums Tanzania Jamiiforum nawaomba msamaha kwa swali hili, Hivi mnapataje pesa ?

    Salaam Moja kwa moja kwenye mada, Mods na max naombeni mnilinde. Inawezekana watu wengi hawajui labda tuanze kuwekana wazi ili vijana wengine wabunifu wajifunze na waache kukopy idea za watu. Hivi ni kweli haya matangazo matangazo ya makampuni ya simu mnayoyaweka kama sponsored ads ndio...
Back
Top Bottom