pesa

  1. Mzee wa Code

    JamiiForums Tanzania Wazabuni na wakandarasi mnayoidai serikali mtasubiri sana, Naibu Waziri Fedha asema wanahakiki wakipata pesa watalipa

    Tatizo la Kutokulipwa wakandarasi na wazabuni nchini limekuwa sugu nchini ambapo leo bungeni wabunge wameihoji serikali ni lini watawalipa watoa huduma hao wanaoidai serikali kwa kuwa kitendo cha kutokulipa kuna sababisha kudora uchumi Mbunge Viti Maalum Asia Alamga Ccm, yeye alihoji ni lini...
  2. GemMaster II

    JamiiForums Tanzania Tuliopiga sana pesa za udalali kwenye biashara na bado life gumu tukutane hapa

    Bwana bwana miaka ya 2018-2020 kuna goli(duka) la magodoro nilikuwa nauza maeneo ya kinyerezi location ya duka haikuwa mbaya ilikuwa nzuri sana opo road kabisa na wanunuaji wengi walikuwa kipato cha kati. Sasa bwana ilikuwa akija mteja ni lazima apigwe udalali kama bei ya kuuza ni tsh 200,000...
  3. G

    JamiiForums Tanzania "Kumradhi! Kuna changamoto kidogo" zimekuwa nyingi sana

    Oops !!
  4. G

    JamiiForums Tanzania Matajiri ambao vyanzo vyao vya pesa havijulikani, huku ndiko baadhi wameanza kuokota magunia ya pesa, si pesa za masharti ila Jela inakuchungulia

    Kumekuwa na baadhi ya vijana mjini wenye jeuri ya kuonyesha nguvu ya pesa lakini imebaki kuwa siri yao namna wanavyozipata pesa. Kuna matajiri wanaoingiza pesa kihalali lakini wapo pia matajiri wanaoingiza pesa kwa kuvunja sheria na kukiuka maadili, si kila tajiri wa kutamani mali zake bila...
  5. kindikinyer leborosier

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu, pengine mnafahamu watu wanatolea wapi fedha?

    Heshima kwenu jamvini... Nisije kijana wenu nikawa nazitafuta kwa speed ndogo, hivi jamani watu wanatolea wapi pesa!? Yaan mara huyu anajenga ghorofa, huyu ananunua gari kufuru, huyu anawachapia nazo wanawake kwenye makalii, huyu anazikamata kama anapiga simu hivi... Nisije nikawa nimejificha...
  6. Nandagala One

    JamiiForums Tanzania Baraza la Maaskofu TEC linapobariki pesa chafu za CCM

    MOja kwa moja kwenye mada,siku za karibuni kumekuwa na zoezi la serikali kutoa pesa kuchangia makanisa. Makanisa mbalimbali likiwemo Kanisa Katoliki, Takatifu la Mitume, ambalo makanisa yake yamepokea pesa za serikali ya CCM. Nataka kuchukua mfano Jimbo la Zanzibar hasa ambalo limepokea...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Kwanini ni Ngumu sana kuwa na Pesa ndani ya umri huu (20-29)

    Najiuliza hasa ni nini kipo nyuma ya sayansi ya pesa na umri, naangalia na Kuona na naendelea kujiuliza Nini kipo nyuma hasa ya kupata mafanikio na umri. Vijana wengi Huwa wanaanza kutafuta pesa wakiwa na Miaka 18, lakini pia wengine huanza kutafuta pesa katika umri wa Miaka 22 akiwa Amemaliza...
  8. I

    JamiiForums Tanzania Ni laini gani ya lipa pesa ni bora kwaajili ya biashara?

    Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nahitaji kusajili line ya lipa pesa, sijui ipi ni nzuri kwa ajili ya matumizi ya biashara. Vodalipa Airtellipa Tigolipa Nawasilisha
  9. Me and me

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa sasa wamekataa kile wanachokiita Utumwa katika ndoa lakini wamekubali Utumwa katika Pesa

    Salaam, Wanawake wanaharakati wa Sasa Wanadai Ndoa Ni Utumwa kwa Mwanamke kwani anakuwa kama vile anamtumikia Mwanaume pia anakuwa hayupo Huru Kufanya Mambo yake. credit #The dadaz. Pia wanapinga vikali Suala la mahali kwamba ni kana kwamba Mwanamke ni Bidhaa inayoweza kununuliwa. Lakini...
  10. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Naomba majibu rasmi ya maandishi kutoka BOT juu ya wao kupokea pesa haramu zilizopitwa na wakati, BOT inafanya biashara na maharamia?

    Benki kuu ya Tanzania (BOT) wanawajibu wa kutoa ufafanuzi juu ya kwanini wanapokea pesa haramu kutoka kwa maharamia? Nafafanua ni kwanini nasema hivi… Pesa ya zamani ikitaka kufutwa na kuletwa pesa mpya kwenye mzunguko, BOT hutoa tangazo rasmi juu ya muda wa kuanza kupokea pesa za zamani pamoja...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Siku hizi Taasisi yenu ya 'Makumbusho' haiwezi tena Kusomesha Watumishi wake Masters na PhD's na inawataka wajisomeshe kwa Pesa zao?

    Mimi nilidhani kwakuwa Taasisi yenu hiyo ya 'Makumbusho' nchini Tanzania ina Hela nyingi (huku zingine zikiwa hazina Kazi) ambazo kamwe na Kisheria hazihojiwi Kokote basi ingekuwa pia ina uwezo mkubwa sana wa Kuwasomesha Watendaji wake wa 'Kimakumbushomakumbusho' Elimu za juu kama za Masters na...
  12. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Watekaji walikata sikio la mjukuu wake baada ya Getty kuwa mgumu wa pesa. Alivyoona hivyo akademand apunguzie ransom maana mjukuu hayuko kamilifu 🤣🤣

    Paul Getty, huyu ndio mmoja ya wawekezaji wa kwanza kuvuta mafuta Saudi Arabia miaka hio bado ni nchi isio na maendeleo makubwa. Mwanzoni Waandishi walivyomuuliza kwa nini hataki kutoa ransom alijibu hivi "Nina wajukuu kumi nne. Kama nikitoa pesa ya huyu mmoja basi 14 wengine watatekwa"...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Wahindi, Waarabu na wasomali wanafanyaje hadi watoto wanakuwa waaminifu kurithishwa biashara, kuwa na utulivu kwenye biashara na nidhamu ya pesa?

    Hata wao wapo wanaofanya biashara nyeusi, mabasi ni ya kutakatisha pesa, lakini still unakuta wao wametuzidi kwenye kuendeleza biashara kwa vizazi tofauti na sisi biashara nyingi baba akifariki watoto inavidi waanza kuzoea ugali maharage. waafrika tumekuwa na shida kubwa kwenye kurithisha...
  14. ngara23

    JamiiForums Tanzania Dar Kuna fursa nyingi za biashara na kupiga pesa, ni kuamua na kutokuwa na aibu tu

    Me Huwa napenda kutafiti njia za utafutaji hata ziwe ndogo vipi, ili kujua watu wanapataje pesa na hizo biashara ambazo watu wanaziona ni duni Nikasema haaa kumbe aisee watu wanapiga pesa ambazo hata watu wenye ajira za kuchomekea mashati na kuvaa viatu mchuchumio hawapati Nitaorodhesha baadhi...
  15. Mwanambugulu

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuzitoa pesa NSSF

    Wakuu habari zenu. Poleni na majukumu ndugu zangu Mimi nilikuwa nafanya kazi katika kampuni ya ujenzi ya Waturuki inaitwa Yapi Merkezi inayojenga reli ya SGR ambayo kwa sasa iko lot 3. Kwa sasa kazi imesimama na hakuna kinachoendelea. Sasa sisi tulipumzishwa kuanzia mwezi wa kwanza kutokana na...
  16. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Enyi wanawake. Hakuna mwanaume bahili, ni vile tu ugumu wa upatikanaji wa pesa unatofautiana. Tuoneeni huruma

    Jioni hii nikiwa hapa nje kibarazani, nawasikia wanawake hapo koridoni wanamteta mshkaji mmoja hivi mpangaji kuwa anapenda mbunye lakini ni mbahili. Jamaa ana mwezi wa tatu tokea aondoke kwenda kijijini kuhudumia ujauzito, cha ajabu wanamsema kwa kutumia wakati uliopo. Nimejiongeza tu nikajua...
  17. nipo online

    JamiiForums Tanzania To be honest, pesa zinawapa kiburi sana wanawake

    ........ Dah anyway haya mambo ya kuoa wanawake wenye pesa haya magumu sana.
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania SGR kwanini sikurejeshewa Pesa yangu?

    Kuna siku nilikuwa natakiwa kusafiri kuelekea Dar es Salaam kutokea Morogoro. Wakati nakata tiketi ya SGR mtandaoni nikiwa Morogoro, badala ya kuandika Morogoro kama kituo cha kuondokea, nikaandika Dar es Salaam. Hivyo, tiketi ikawa inasomeka kutoka Dar kwenda Morogoro ingawa nilitakiwa kusafiri...
  19. EXODUS ZION

    JamiiForums Tanzania Azam pesa kunashida kwenye kutoa pesa kupitia mawakala

    Ndugu zangu habarini samahani hivi ni mimi peke yangu huku ninako ishi ni kwamba azam pesa mawakala wake wananigomea au na kwenu. Lakini nipende kuwapongeza Azam pesa tje way inavyofanya kazi kwa upande wa kutuma pesa hasa katika makato sio makubwa ila sasa shida inakuja kwenye kutoa pesa...
  20. nipo online

    JamiiForums Tanzania Ngedere ukimwekea ndizi na pesa atachangua ndizi: onyo kwa wapenda ajira

    Ukweli ni kua biashara na kazi, bora biashara, lakini kutokana na hofu, uzembe, kutotaka uthubu, tumejikuta wengi tumeishia kuchagua kazi, sawa na na ngedere asijue kua ela inaweza nunua ndizi, business makes more money.
Back
Top Bottom