pesa

  1. M

    Miaka mitano iliyopita CCM imetumia mtindo wa pesa za mapaka kufanya maendeleo

    Pesa za Mapaka ni aina flani hivi ya mapato(maendeleo) ambayo hupatikana kishirikina kwa kuumiza binadamu wengine hasa ndugu wa karibu. Kwamba mtu unaenda kalumanzila ili akutengenezee dawa ya kupata pesa; Kalumanzila anakujibu pesa ipo nje nje usjali lakini ili uipate lazima utolee sadaka na...
  2. Je, kutumia pesa za wanyonge nje ya bajeti inayopitishwa na Bunge ndio maendeleo?

    Wasalaam. Tanzania chini ya serikali hii ya awamu ya tano ya wanyonge tumeshuhudia matumizi makubwa ya pesa bila ridhaa ya bunge la JMT. katika awamu hii tumeshudia mkaguzi na mdhibiti wa fedha za serikali CAG akitishwa na luzuiwa kukagua miradi mikubwa ya kifisadi kama ununuzi wa ndege, ujenzi...
  3. Pesa za COVID-19 na ulafi wa Kiafrika

    Mataifa ya Ulaya na Magharibi kwa ujumla hawataziachia nchi walizowahi kuzitawala na wana vyambo vingi vya kuendelea kuwanasa. Kila janga linalotokea hutoa fedha nyingi kujaribu kuonesha kuguswa na huruma zao. Kwa hili huwa wanawanasa marais wa kiafrika kwa urahisi kabisa. Na jambo la...
  4. Wanasiasa wanatuua mapema. Pesa za NSSF wanazitumia kwa maslahi yao, jamani tupige kelele

    Tupige kelele hadi masikio yawaume tuko kimya sana jamani .nendeni kwenye ofisi za NSSF mkaone watu walivyokata tamaa na maisha yani afadhali mkoloni. Mtu unaangaika miaka labda 20 anakatwa mshahara wake huo mdogo,sasa akifika kule ataahidiwa mpaka atakufa njaa. Vijana mko wapi mbona waoga...
  5. Rais Magufuli ana huruma, wenye vyeti feki walitakiwa walipe pesa zote walizolipwa miaka yote au wawe jela kawaachisha kazi tu

    Kufanya kazi kwa kutumia vyeti feki na kulipwa mshahara ni uhujumu uchumi Rais Magufuli ana huruma wenye vyeti feki walitakiwa walipe pesa zote walizolipwa miaka yote au wawe jela kawaachisha kazi tu Angekuwa mkali sasa hivi magereza yangekuwa yamejaa hadi kushindwa kumudu Pia walitakiwa...
  6. GE2020 Maajabu ya Gwajima: Waumini wananyeshewa mvua, yeye anaahidi kujenga barabara kwa pesa zake mwenyewe

    Wana JF, Tangu nimjue Askofu Gwajima, sijawahi kuona amejnga shule muhimu kama mama Rwakatale, wala hajawaji kujenga kanisa lake mwenyewe m waumini wake daima wanakaa nje, sasa haya maendeleo anayotaka kutuletea kawe yatatoka wapi. Huyu ahadi zake ni nyingi watu inabidi tuzipime tusije...
  7. G

    Mwenye uwezo wa kuwekeza kwenye mawazo yangu yanayohitaji Pesa tu ili yaweze kuwa utajiri na kunisahaulisha machungu ya Elimu yangu iliyouwawa namfumo

    Mimi ni Kijana wa miaka 26 nikiwa na shahada ya uhandisi wa mitandao na mawasiliano...baada ya kuhangaika sana bila majibu nimeambulia kufahamu fursa nyingi ambazo nimetumia na akili yangu kidogo kuweza kupata mawazo kadhaa ya kibiashara ambazo zenye kuleta matunda chanya kwa muda mfupi sana...
  8. Asilimia 100 ya tabaka lililojichokeaga awamu zote, ambalo awamu ya tano linaogopwa na wenye pesa, watampa kura zote Rais John Pombe Magufuli

    ASILIMIA 100 YA TABAKA LILILOJICHOKEAGA AWAMU ZOTE,AMBALO AWAMU YA TANO LINAOGOPWA NA WENYE PESA, WATAMPA KURA ZOTE RAIS JOHN POMBE MAGUFULI. Leo 14:45hrs 06/09/2020 Tabaka la watu wanyonge wasio na chochote cha kujisifu nacho mbele za watu ambalo awamu zote limejichokeaga tu sema safari hii...
  9. Je, hii pesa niifanyie nini?

    Habari zenu wanaJf Ninapenda kumshukuru Mungu nimefanikiwa kushika mil200 baada ya kufanya biashara ndogo ndogo kwa kila siku nilikuwa naweka 650,000 sasa nimefikia mwaka. Sasa nataka hii pesa niiwekeze katika sekta ya viwanda sasa naomba msaada kiwanda gani naweza kuanzisha.
  10. Kwa wanaojua, hivi naweza kutumia Vodacom Mastercard kupokea pesa nje

    Kuna platform ya betting najaribugi bahati humo kama mjuavyo hakuna pesa chafu na maisha kupambana. Sasa kuna issue ya kwenye ku withdrawal, nimeona wao wana options za kutumia debit card au credit card, sasa mimi pia nnayo Vodacom mastercad, endapo nikijaribu kutoa mpunga kwa kuweka ile namba...
  11. GE2020 Kiwanda alichoahidi Godbless Lema kukijenga kwa pesa yake Arusha kipindi hiki cha Awamu ya Tano kimefikia wapi?

    Godbless Lema ni mmoja wa wawekezaji ambaye alinunua hadi mitambo ya kujenga kiwanda cha kutengeneza toothpick na leseni ili nchi isiendelee kuagiza toka nje kipindi hiki cha serikali ya Awamu ya Tano. Kama kimeshakamilika ni vizuri akakitumia kueleza mafanikio yake alivyosaidia nchi kwa...
  12. Msaada: Ninawezaje kupokea pesa zaidi ya milioni 100 kutoka nje ya nchi kuja Tanzania

    Habari. Nahitaji msaada wa namna nitakavyoweza kupokea kiasi kikubwa cha pesa Tsh.100,000,000 kutoka nchi ya Afghanistan..... Njia nyingi za online transfer zinashindwa kutuma kiasi hicho cha pesa. Nahitaji mawazo yenu.
  13. Njia nyingine ya ku earn pesa online kwa freelancers

    Remotasks I love being online na hilo limenifanya niwe natafuta njia kadhaa za kumake money while I am online, na leo ninawaletea hii tovuti Remotasks. Hii tovuti inahusika na mambo ya kusoma na kuenhance data ili kufanya AI bora Zaidi. Mfano machine za kusoma receipt, menu, magari...
  14. Mwanamke anaweza kukupenda kweli kwa pesa zako, sio dhambi, pesa kweli inanunua mapenzi

    Mwanamke anaweza kukupenda kwa PESA zako na akakupenda kweli kweli hili linawezekana. Sio dhambi, sio vibaya, sio jinai na hili linawezekana kwa asilimia miamoja 100% Kwanini? 😁😁😁 Kwa sababu ukiona unapendwa au mwanamke akikupenda lazima kuna kitu kakupendea tu sio bure kwamba akupende bila...
  15. Nimerudishiwa pesa na Ali Express halafu siku chache mbele mzigo umefika

    Wakuu habari ni ivi niliagiza mzigo kutoka Ali Express ilikua tarehe 15 ya mwez wa 5 mwaka huu. Sasa ki kawaida mizigo ya standard shipping inakaa mwezi mmoja kisha una upokea posta ya mkoa wako. Kutokana na ishu ya corona mizigo hua inachelewa mno mpaka sometimes unaisi ushapotea niliagiza...
  16. Mume amuua mkewe baada ya meseji ya muamala wa pesa kuingia kwenye simu ya mke na kudhani meseji imetoka kwa mwanaume mwingine

    Mwalimu wa Shule ya Msingi Chalantai wilayani Nkasi mkoani Rukwa, Tabita Mwanyanje (29), anadaiwa kuuawa kwa kuchomwa kisu shingoni na maeneo mengine ya mwili na mumewe Frank Galimoshi (30) kwa wivu wa mapenzi. Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
  17. Jinsi simu za China zinavyowaibia wateja Afrika

    Programu (Malware) ambazo zinawasajili watumiaji bila ruhusa yao zimepatikana kwenye maelfu ya simu zinazouzwa Afrika. Simu 53,000 za Tecno zenye virusi zimeuzwa Ethiopia, Cameroon, Misri, Ghana na South Afrika. Transsion ambae ni mzalishaji wa simu aina ya Tecno inayoongoza kwa mauzo barani...
  18. A

    Kwanini jamii inapenda kumhukumu mwanamke negatively kwenye Sekta ya Mahusiano? Utasikia yule mdada amefuata pesa tu kwa yule mwanaume

    Hii kitu sijai-notice Mara moja ,nime-notice mara nyingi sana, utakuta unapiga story na baba mkubwa, anakwambia yule mke wa mdogo wangu anachosubiria ni pensheni tu ya mdogo wangu wa kiume. Au mkaka in his early 30's akioa, utaskia mama MTU mzima akisema, huyo mdada ameolewa kwasababu anataka...
  19. L

    Flyovers, SGR na uboreshaji wa miundombinu awamu ya 5 Tz ni matokeo ya kubadilisha matumizi ya pesa sio kukua kwa uchumi

    Kufanya uchaguzi kwa pesa ya ndani, kujenga flyovers, SGR na uboreshaji wa miundombinu unaofanywa na awamu ya 5 ni matokeo ya kubadili matumizi pesa/kipato tu sio kukua kwa uchumi. Mfano, pesa zilizokuwa zinatumika kulipa mishahara kwa watumishi wa umma. Sasa wanastaafu, wengine wanakufa hakuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…