pesa

  1. JamiiForums Tanzania Sanamu la Magufuli na ukarabati wa kumbi za kisasa kujengwa kwa Tsh milioni 420 viwanja vya Sabasaba

    Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) imesaini hati ya makubaliano ya jumla ya shilingi milioni 420 ya ujenzi wa sanamu la Hayati John Pombe Magafuli, na ukarabati wa kumbi kubwa za kisasa kwenye maonyesho ya sabasaba ya 45. Mkurugenzi wa TanTrade Rutageruka Sabi amesema kuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Usipompa Mkeo/ Mpenzi wako pesa basi utasaidiwa na wanaojua kujali

    Wanaume acheni ubahili kwa wapenzi wenu ili kuepuka dharau na kuibiwa. Mwanaume usipompa mpenzi wako pesa au kumjali kwa vizawadi na care za hapa na pale basi jua lazima mkeo; 1} Akudharau 2} Awe kisirani kisichoisha 3} Ni rahisi sana kukucheat 4} Atakuchukulia poa Acheni ubahili mpe mpenzi...
  3. JamiiForums Tanzania Watanzania wafurahia kauli ya Rais Samia kushughulikia uchumi kwanza kabla ya Katiba Mpya

    Watanzania kutoka maeneo mbalimbali wamefurahishwa na hatua ya Mhe. Rais wa Samia Suluhu Hassan, juu ya jitihada zake za kuhakikisha anainua uchumi wa Watanzania na akisisitiza suala la Katiba Mpya apewe muda kidogo. Watanzania hao kutoka mikoa mbalimbali ikiwemo ya Arusha, Mwanza, Dar es...
  4. JamiiForums Tanzania Kero: Tabia ya ajabu Mbeya kuchangisha pesa za misiba imezidi mno

    Binafsi niweke wazi kabisa kwamba napenda kuishi kijamii na wala sinaga tatizo na misiba ila hali ya mbeya imezidi sana Sasa kwa huku Mbeya hali ya misiba imekuwa tofauti sana, watu hawajali kushiriki kwako msibani hawakwambii hata msiba ulipo mpaka uwauilze na hata hawajali ukaribu wako na...
  5. JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyowaacha wapenzi wapenda pesa

    Ashukuriwe Mungu kwamba mpaka leo wapo wanawake wanaompenda mwanaume kwelikweli. Yaani toka moyoni. Ila wapo kwa uchache sana, hawa ukiwa nao kwenye uhusiano huteseki. Mnaishi maisha ya kusaidiana. Akiwa vizuri anakutoa, ukiwa vizuri unamtoa. Mkichalala wote mnafarijiana mnafurahi. Maajabu ni...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi kuchoma moto noti (Pesa) kama hivi inaruhusiwa??

    Naomba kuuliza naweza kua mshamba hivi kuchoma hela hadharani au bendera ni sahihi ??
  7. JamiiForums Tanzania Wanawake muwe mnatuonea huruma basi...

    Wakuu ni siku mpya, tumshukuru Mungu kwa kuiona. Niende moja kwa moja kwenye mada, katika mizunguko yangu ya kutafuta "utelezi" nilikutana na mdada flan very hardworking business woman. Baada ya kumpanga tukaanzisha mahusiano, kama mnavojua kwenye mahusiano kusaidiana financially ni lazima...
  8. JamiiForums Tanzania Dalili kuu kuwa "anataka tu pesa zako"

    Habari za leo wakuu. Kumekuwa na mtazamo wa muda mrefu kuwa wanaume wanapomtamani mwanamke wanalenga kupata penzi. Na wanawake wao wanalenga kupata fedha au mali. Hapa naweka dalili za wanawake wenye tabia za kukomba pesa za wanaume. 1. Huwa hawanunui kitu chochote. Mara zote mnapokutana hata...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Hofu ya Rais Samia ni wapi bajeti ya Katiba Mpya itoke. Je, Pesa ikichangwa na wananchi, CCM wataridhia mchakato kuanza?

    Ni swali dogo na fupi tu, Kunahofu ya uchumi kudolora kiasi cha kufanya iwe hofu ya baadhi ya mambo mhimu kufanyika kama ukamilishwaji wa Katiba Je, ikiwa wananchi wataamua kuchangia bajeti yote ya mchakato wa katiba mpya, Bado CCM watazuia jambo hili?
  10. JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa benki zitanue 'ukomo' wa kutoa pesa kwenye ATMs, milioni moja haitoshi

    Ndugu zangu! Sijui vigezo walivyozingatia kwenye kuweka ukomo huo, lakini itoshe tu kusema zama zimebadilika sana. Enzi hizo milioni iliitwa 'shitabalwa' [uncountable], na ilitosha kwa mambo mengi kwa walio wengi. Tofauti kabisa na leo ambapo milioni MOJA unaweza kukaa kaunta tu ikayeyuka...
  11. JamiiForums Tanzania Siri iliyojificha kwenye mtandao wa Ebay na jinsi ya kutumia Ebay kutengeneza pesa

    SIRI ILIYOJIFICHA KWENYE MTANDAO WA EBAY NA JINSI YA KUTUMIA EBAY KUTENGENEZA PESA. Ebay? Ndiyo ni Ebay!!! Natumai umeshawahi kusikia au kukutana na kitu kinaitwa EBAY katika makala hii nitakupa siri iliyojificha kwenye mtandao wa EBAY na nitakufundisha jinsi ya kutumia EBAY kutengeneza...
  12. JamiiForums Tanzania Website/Tovuti zinapata pesa kupitia MB zako? (Hapana!!)

    Kuna hii kasumba ambayo watumiaji wengi wa Internet,haswa sisi wa Tanzania tunayo.Aidha tuna amini hivi au tumeshawahi kusikia kutoka kwa watu na sisi tukawaamini bila kutafiti Na cha ajabu huwa na bishana na watu wengi sana kuhusu hili swali nikiwa najaribu kuwaelewesha So baada ya kupitia...
  13. JamiiForums Tanzania Huu ndio ukweli; ajira zipo ila Serikali haina pesa za kuajiri

    Huu ndio ukweli ajira zipo ila serikali haina pesa za kuajiri na kulipa mishahara. Je, tufanyeje ili kupata fedha za kuajiri na kulipa mishahara? Nini maoni yako katika hili. Wewe ungekua ndio kiongozi ungefanyeje ili kupata fedha za kuajiri na kuwalipa mishahara hao ambao utawaajiri?
  14. B

    JamiiForums Tanzania Tigo Pesa mnaudhi, nimenunua umeme juzi mpaka sasa sijapata

    Habari za asubuhi najuta kununua luku kwa kupitia tigo pesa nimenunua umeme saa 16:02 Tarehe 28.06.2021 mpaka sasa sijapata umeme majibu hayaridhishi, basi kama mmeshindwa si mrudishe pesa ya mteja. Umelipa TSh 40,000 kwa ajili ya LUKU, No. ya kampuni: 001002, kumbukumbu ya malipo:22118028400...
  15. JamiiForums Tanzania Siasa na Pesa: Wananchi wengi wamechagua Pesa

    Mambo ni zaidi ya moto, Mama anaupiga mwingi sana. Nilijua na najua kuwa Mama Samia ana akili nyingi sana Ila sikujua kwa kiwango hiki. Ana IQ kubwa sana. Kitendo cha kukataa mabaradhuli kuzunguka mtaani kupiga porojo za siasa ikiwa wananchi wake hawana Pesa ni kitendo cha kishujaa na kinapaswa...
  16. JamiiForums Tanzania Hizi pesa kwenye akaunti zetu za simu, mtoa huduma anaweza kuzitumia?

    Salamu wakuu! Ni huyu mwanangu mkubwa leo kaniuliza swali hilo, ngoja niliweke vizuri ili tuweze kujadili. Ni hizi akaunti zetu za M-Pesa, TigoPesa, Airtel-Money, HaloPesa, T-Pesa itifaki imezingatiwa.[emoji28] Tunaweka kuhifadhi na kutuma kwenda kwa watu wengine, au kulipia huduma...
  17. JamiiForums Tanzania Pesa yako kwenye wallet ni kwa ajili gani?

    Pesa yako ya kwenye wallet ina matumizi gani? Je ni pesa yako tu ya akiba umeamua utembee nayo ama ni ya dharura,
  18. Q

    JamiiForums Tanzania Milioni 350 za faini ya kina Mbowe zinazorudishwa na mahakama unashauri zifanye kazi gani?

    Ni kiasi cha US$ 150,000 sawa na milioni 350. Zijenge ofisi makao makuu? Zisaidie kulipa faini na mawakili wa kesi zilizobaki? Zisaidie mchakato wa katiba mpya? Zinunue kiwanja cha ofisi makao makuu Dodoma au Dar es salaam. Zisaidie ujenzi wa ofisi za kanda? Zinunue vitendea kazi vya chama...
  19. JamiiForums Tanzania Spika Ndugai adai tena kuwa Lissu alishalipwa pesa zake zote

    SPIKA NDUGAI: HAKUNA ANAYELIDAI BUNGE, "KAMA MTU AMEISHIWA HUKO ULAYA SI ASEME" Spika wa bunge Job Ndugai amewaonya wanaotoa taarifa za upotoshaji zenye lengo la kulichafua bunge kuacha kufanya hivyo kwa kuwa sasa hatua zitaanza kuchukuliwa ikiwemo kuitwa kwenye kamati ya maadili ya bunge...
  20. JamiiForums Tanzania Tundu hakuwa msaliti, alitakiwa ajibiwe kwa hoja sio kwa mtutu. Alipwe pesa zake

    Baadhi ya Watanzania wenzetu wana matatizo sana. Wanapenda kushadadia mambo bila kufanya tafakuri. Kama mtu anasema mtapata hasara mkivunja mkataba fulani ndio apigwe risasi? Mtu akisema tutumie akili kudili na masuala ya kisheria ndio apigwe masasi? Serikali hii hii inatakiwa kumlipa Lissu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…