pesa nyingi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kusomesha mtoto kwa pesa nyingi halafu kuja kulalamika hakuna ajira( za kitumwa ) ni ujinga uliopitiliza

    Acha tuambizane ukweli kuhusu hali zilizopo ndani ya jamii zetu hata kama tusipopenda kusikia ukweli sawa tu. Huu mtindo wa wazazi wa kitanzania kusomesha watoto kwenye shule zenye kuhitaji pesa nyingi na kuacha za kawaida huku hali ya maisha ikiwa haisomeki ni wa kishamba. Mzazi anaye...
  2. Inawezekana Millard Ayo anaingiza pesa nyingi kuliko Diamond Platnumz?

    Kulingana na vyanzo vya habari, inaonekana kuwa Diamond Platinumz ni mmoja wa wasanii matajiri zaidi nchini Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Hata hivyo, ni muhimu kuelewa kuwa Millard Ayo na Diamond Platinumz wana kazi tofauti na kuzingatia vigezo tofauti linapokuja suala la utajiri...
  3. M

    Ukweli kuhusu kumiliki pesa nyingi

    Kuna watu wanajiuliza sana na wanapambana sana kupata utajiri, siwakatishi tamaa ila fahamu haya kisha jipime kama unachokifanya kinakufanya uje kuwa tajiri au uishi mazuri tu...
  4. D

    Ushawahi kupata pesa nyingi sana kwa wakati mmoja bila kutegema? Ulijisikiaje?

    Kwema wadau? Leo kwenye pitapita zangu mtandaoni nilikutana na picha hii chini ya huyo mwamba aliyeshinda Milioni 10 kwenye kampuni moja ya kubetti mtandaoni, Sokabet. Nilibaki najiuliza tu huyo mwamba anajiskiaje? Furaha sana maana inawezekana hajawahi kushika pesa nyingi hivyo? Au anajiskia...
  5. Ukiwa umebeba pesa nyingi fanya kila uwezalo Polisi wasijue

    Umeuza mazao yako, madini yako nyumba yako etc. Fanya uwezalo hawa jamaa wasijue, usiniulize sababu. Uzi tayari
  6. Inaweza kukugharimu pesa nyingi Hadi uhai kwa kujifanya unapesa.

    Nilichogundua kukaa kimya ndo akili za kitajiri maana huwezi muomba pesa au kumdhuru kirahisi mtu ambaye huna background yake ya kipato Kama anacho au Hana Sisi masikini %kubwa tunapenda kujionesha tuna pesa na mwisho wa siku inatugharimu pesa nyingi Hadi uhai Nimefatilia visa vingi vya mauaji...
  7. Hivi kuna mwanamke tajiri anayemiliki pesa nyingi duniani kuzidi matajiri wa kiume?

    Naomba kufahamu maana kila siku naona list za wanaume tu. Sasa mbona wanapambana sana, hela zao wanawekeza wapi?
  8. Diamond aweka historia ya kuwa mtanzania wa kwanza kulipwa pesa nyingi kwenye usiku mmoja hapa Tanzania

    Usiku wa tarehe 31 December, 2022 history inaenda kuandikwa. Kijana kutoka mitaa ya Tandale, Diamond Platnumz aka Simba anaenda kuandika rekodi mpya kwenye ardhi ya Tanzania. Kwa mkataba wa kufanya show ya saa nne juu ya stage pale Ramada. Diamond atalipwa Tshs Million 300. Hajawai tokea...
  9. Akauliza kwani hauna uchungu na nchi yako kupoteza pesa nyingi hivi?

    Jibu: kwani wao hawaibi? Viongozi wetu wakiwa na uchungu sana na hii nchi hata walio chini hawataiba watakuwa wazelendo. Kutwa kiongozi mkubwa ananazunguka kulinda pesa za nchi hii ataweza peke yake bila mfumo imara unawajibisha kila mtu kutii sheria?
  10. Nilivyopata pesa nyingi nilipokuwa askari wa TANAPA

    Hello Nilivyomaliza kidato cha 6 kulingana na hali yangu ilinilazimu nikatae na kusitisha mipango ya kusoma chuo kikuu. Target yangu ni kufukuzia ajira za uhamiaji, TISS au PCCB. Yaani nilikuwa naota taasisi hizo tu. Sasa kulingana na maisha ya kifukara na uyatima (Mimi si yatima kabisa nina...
  11. Kwa hii Biashara kuna kupata Pesa nyingi?

    Biashara yoyote lengo ni kupata pesa na kupata pesa mwishowe kuwa tajiri kukua kiuchumi. Naombeni ushauri wenu. Nataka kufungua biashara ya spares za pikipiki. Je mnadhani naweza anza na mtaji wa chini wa tsh ngapi? Pia kama kuna mtu kwa hapa Dar anaweza shauri eneo zuri kwa biashara au...
  12. R

    Yondani anaweza kupata pesa nyingi kuliko kipindi chote alichocheza mpira

    Kwa wale wanaofatilia Azam TV, kuna mahojiano na mashabiki kuelekea mechi ya Yanga na Simba. Katika mahojiano hayo kuna shabiki mmoja wa Yanga anatamka bila wasiwasi na Azam TV kumuweka hewani kuwa, Simba hawawezi kufunga Yanga bila makandokando na hata walipomfunga nne walimhonga Yondani...
  13. R

    Wakati tunafurahia kichekesho cha TRAB na TRAT tukumbuke trilioni 360 ni pesa nyingi sana

    Habari JF, Nimeona niwakumbushe Watanzania wenzangu maana asilimia kubwa tumezoea kushabikia vitu visivyo vya msingi. Triloni 360 ni pesa nyingi sana zinaweza kututoa tulipo kuwa donor country. Hivyo tusiishie kushare video na kucheka bali ni vizuri tufuatilie kwa umakini tuone muenendo wake...
  14. B

    Diamond amempa nini shetani mpaka kapata pesa nyingi sana na umaarufu wote huo?

    Wasanii wakubwa tena wakongwe wanalalamika mziki wa bongo fleva haulipi k.v Chidi benz, Veemoney na Dudubaya, Diamond amewezaje kupata hela hadi ya kununua rolls royce na kulipa bodyguards? Diamond anafahamika hadi Nigeria, Na Afrika nzima, hakuna msanii wa kibongo anayefahamika kama Diamond...
  15. Tujikumbushe wachezaji waliosajiliwa pesa nyingi kisha wakaflop

    Mimi naanza na Andriy Shevchenko kutoka Ac Milan kwenda Chelsea. Ulikuwa usajili wa aina yake lakini Sheva akaishia kufeli zake Chelsea. Endelea na wewe, unakumbuka usajili upi?
  16. Dawa inapenya mtulie: Mara Hamuwezi kumsajili Aziz Ki, mara zile picha ni feki. Sasa hivi Mnasema oooh mmemsajili kwa Pesa nyingi

    Mara Hamuwezi kumsajili,,Mara Zile Picha ni feki, mara Fyoko Fyoko. Sasa hivi Mnasema oooh mmemsajili Kwa Pesa nyingi, Kwani Pesa zenu au za Shangazi zenu? Kinawauma nini hata tukimsajili bure au kwa Mamilioni?
  17. Q

    CHADEMA yapinga Serikali kutumia fedha za umma kukarabati viwanja vya CCM

    Mkurugenzi wa Mawasiliano na Mambo ya Nje wa CHADEMA, John Mrema amesema; "Tunapinga kitendo cha Serikali kutumia fedha za umma kukarabati viwanja vya michezo vinavyomilikiwa na CCM, huu ni ubadhirifu wa Fedha za umma." "CCM kama wemeshindwa kuendesha viwanja ambavyo walivipora kutoka kwenye...
  18. Biashara gani naweza kufanya nikaingiza pesa nyingi kwa siku bila mtaji?

    Habari wadau, Biashara gani naweza kufanya bila mtaji nikapata pesa nyingi, mwenye kujua nisaidie mawazo.
  19. M

    Hisia za wananchi mtaani: Kilichomfukuzisha Ndugai ni kuhoji kwake kwa nini Pesa nyingi za mkopo kupelekwa Zanzibar licha ya idadi ndogo ya watu

    Kujiuzulu kwa Ndugai kumeambatana na hisia tofauti za wananchi. Lipo kundi la wananchi libalooamini kuwa kilichomfanya Samia akasirike, kuwa mbogo na kukunjua makucha dhidi ya Ndugai kinyume cha haiba yake ya upole ambayo wananchi wameizoea ni. kutokana na Ndugai kuonyesha mshangao bungeni wa...
  20. C

    Walibya wadai Biashara Utd walihongwa ili wasisafiri

    Laiti haya mambo yangekuwaga na uchunguzi wa kina tungegunduaga mambo ya ajabu sana , sasa the talk of the town huko libya ni kwamba Biashara utd ilihongwa pesa nyingi sana ili watafute kisingizio kwa namna yoyote ile wasifike libya na kupoteza mechi. KUANZIA MECHI YA SIMBA NA YA WALIBYA KUNA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…