peponi

"Paradise" is a song by the British rock band Coldplay, released on 12 September 2011 as the second single from their fifth album, Mylo Xyloto. The song received its radio debut at 7:50 a.m. on The Chris Moyles Show (BBC Radio 1) on 12 September 2011. According to Coldplay's official website, the single was not initially chart eligible in the United Kingdom, because it was available on iTunes as an "instant grat" (immediate download) when pre-ordering the album. Following the release of the album on 30 October 2011, the song became chart eligible in the UK and entered the UK Singles Chart at number 14, before taking the number 1 spot on its tenth week, becoming the band's second number-one single after "Viva la Vida" in 2008. The song was met with positive reviews, and was the best selling rock song of 2011 in the United Kingdom, selling 410,000 copies.On 30 November, the song was nominated for a Grammy Award, in the category Best Pop Duo/Group Performance. On 12 February 2012, Coldplay performed "Paradise" live at the RE, along with "Princess of China". At the 2012 MTV Video Music Awards on 6 September, the song won the award for Best Rock Video. Following the 2012 Stanley Cup playoffs on CBC, the song was featured in a yearly finale montage on CBC recapping the Stanley Cup Playoffs as well as British and American television advertisements and trailers for the Academy Award winning film Life of Pi which was nominated for 11 Academy Awards.

View More On Wikipedia.org
  1. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Morogoro, Mpanda na Mwanza ni sehemu poa sana na mna nafasi yenu peponi

    Kataa au ukubali sehemu tajwa hapo juu kusema ukweli ni poa sana kuishi na kufanya makazi na watu wake wala hawana shida na wageni kabisa yaani ukiishi kwenye hiyo mikoa unapata ladha ya furaha ya maisha sio kama wale wa kanda ya kaskazini wamejaa ubinafsi na majungu tu na wivu kwa wageni...
  2. Msanii

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Mkisikia nimepigwa risasi iombeeni roho yangu ipumzike mahali pema peponi. Ninyi songeni mbele"

    Kauli hii ameitoa leo kupitia X Spaces alipokjwa akiwahutubia wananchi wenye mapenzi mema kwa anchi na waliojipanga kushiriki kwa amani maandamano ya tarehe 23 Septemba 2024. Mbowe amesema kuwa mkisikia amepigwa risasi iombeeni roho yake ipumzike mahali pema peponi. Ninyi songeni mbele...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Si mlikuwa mnasema kuwa Awamu ya Utekaji Watu ilikuwa ni ya Magufuli tu na Kumshutumu je, ya sasa bado Rais ni Magufuli aliyelala mahala pema peponi?

    Matukio ya watu kutoweka katika mazingira yenye kutatanisha huku askari polisi wakihusishwa kuwashikilia yanaendelea kushika kasi nchini. Taarifa mpya zilizolifikia Mwananchi zinadai kuwa vijana wanne wilayani Temeke, Dar es Salaam na mkazi mmoja mkoani Geita wametoweka na jitihada za...
  4. Webabu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu dada natumai atakuwa mke wangu peponi

    Tuna dada yetu mmoja, mtoto wa shangazi ambaye ni mkubwa sana kuliko mimi na hata amewahi kunilea udogoni kwangu. Huyu dada kwa kweli alikuwa ni mzuri sana na mwenye mapozi safi sana ya kimaumbile. Ikitokea kishindo mtaani wala hashtuki na kufazaika kiasi cha kupoteza muonekano wake. Akifurahi...
  5. Mcheza Piano

    JamiiForums Tanzania Hivi Peponi kutakuwa na Nyama Choma?

    Miongoni mwa mambo ninayo yangoja kwa hamu ni kuingia mojakwamoja peponi. Naomba kuuliza wataalamu wa maandiko endapo peponi kuna nyama choma yenye pilipili kwambaali na limao. Imeandikwa tutakula vinono, naomba kujua kama kuna mwenye menu tafadhali. Lamomy wewe paradiso isahau, kwasababu...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Islamic Scholar anasema Waislamu wanaonewa wivu na dini zingine sababu ya Warembo Mabikra 72 watakaopewa Peponi

    Islamic scholar anasema People are jealous of our 72 virgins, tazama mwenyewe video
  7. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Sheikh Rusaganya: Kwa mujibu wa Hadithi za Mtume Mohamad, Watu wafupi ni marufuku kukanyaga Peponi

    Sheikh Rusaganya ameonya kwamba kwa kujibu wa mafundisho ya kiisilamu, watu wafupi wamepigwa marufuku kukanyaga Peponi. Sheikh anasisitiza kwamba watu wafupi ni marufuku kukanyaga Peponi na hawatakiwi kuonekana kule. Msikilize Sheikh Rusaganya hapa.
  8. Desierto

    JamiiForums Tanzania Wazungu ni watu wa upendo sana

    Leo hii kuna laptop nimefungua ndani nikakuta vitu Kama ifuatavyo Kule ndani nimekuta vifaa vya nchi kadhaa ikiwamo U.S.A Malaysia China Japan India Singapore Je sisi ngozi nyeusi tutaweza Nini Kama tumeshindwa kufanya tu hata vya kuiga vinavo onekana kwa macho. Tuache unafiki mfano. Mtu...
  9. MK254

    JamiiForums Tanzania Hivi ubikira wa mwanamke una utamu gani? Maana naona watu wanaahidiwa hata peponi

    Kuna hii video sheikh anaeleza kuhusu wanawake walioandaliwa kwa ajili ya wanaume waislamu kule peponi, yaani mabikira. Hapa najiuliza, kwa nijuavyo uzuri wa kumla mwanamke bikira ni kwa sababu unajua kakuheshimisha na kwamba wewe ndiye wa kwanza kumuingia, ila shughuli yenyewe huwa usumbufu na...
  10. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Kwa raha hizi huko peponi walioahidiwa waislamu na mimi naanza kutafakari

    Ndugu zetu waislamu wameahidiwa makubwa pindi watakapofika peponi, na mimi naanza kujitafakari.
  11. O

    JamiiForums Tanzania Edo Kumwembe: Simba na Yanga, peponi hazipo motoni hazipo

    HAKUNA kundi jepesi wala gumu kwa Simba na Yanga baada ya Ijumaa jioni kushuhudia wakipangwa na timu mbalimbali katika makundi yao ya Ligi ya Mabingwa. Waswahili tumeanza kupiga ramli. Inachekesha sana lakini ndio hali halisi. Fikiria kama wangepangwa wenyewe kwa wenyewe ingekuwaje? Rafiki...
  12. tpaul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ukijiepusha na hizi dhambi utaingia peponi

    Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kupepesa macho wala kutikisa masikio. Chini ya utawala uliopita tumeshuhudia matukio mengi ya ovyo yenye kulifedhehesha taifa kwa kiasi kikubwa. Ni katika utawala huo kulikuwa na matukio ya watu wengi kupotea katika mazingira ya utata, na hawajawahi...
  13. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Mwisho wa dunia ukifika sasa hivi utaenda Peponi au Motoni?

    Yaani kila nikiwaza mimi na haya mazungumbaru yangu najiona moja kwa moja motoni tu, vipi wewe jirani utakuwa upande upi Peponi au ndio tutasindikizana motoni kuwa kuni za milele?
  14. olimpio

    JamiiForums Tanzania Aliyeratibu uanzishwaji wa EGA (E-Government) peponi

    Kwa mara kwanza Tanzania imekua ranked ya pili AFRIKA kwa matumizi sahihi ya teknolojia serikalini. Nimeona hii taarifa kwenye gazeti la The Citizen la leo, nikaona waziri wa TEHAMA Nape naye amezisoma taarifa hizi kwa Rank ya kidunia Tanzania ipo GROUP A ambalo lina nchi kama GERMANY, FRANCE...
  15. mdukuzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siku nikifa msiniombee kwenda peponi mimi ni wa motoni, uzinzi utaniua

    Unaujua wimbo wa Cassanova, ukienda Ulaya na America Cassanova ni jamaa mmoja enzi zake alisifika kwa uzinzi mpaka wazungu wakaona eti amevunja rekodi. Kilichonishangaza ni kuwa huyo bwana hakuwahi kufikisha wanawake 130. Mimi at this age nadhani ni 500+, Wazungu wanatuonaje? Ndani ya wiki...
  16. Surya

    JamiiForums Tanzania Peponi bila kujali kutakuwa na nini ni watu gani wataingia?

    Naomba majibu kulingana na ufahamu wako wa kumjua Mungu, wale walio kufa ikifika Muda wa hukumu judge atatoa hukumu ya Moto wa Jehanamu kwa watu wenye sifa zipi na Watakao ona pepo au watakao ingia mbinguni ni watu wenye sifa zipi..? Mhubiri 7:20 [20]Bila shaka hakuna mwanadamu mwenye haki hapa...
  17. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania CEO Barbara anaingia moja kwa moja "peponi"

    Ikiwa habari ya kesho ni hii basi huyu dada anatakiwa kuingia moja kwa moja peponi. Msije kuniua, nimetumia lugha ya picha tu. Nachotaka kusema kocha ametafuniwa kila kitu!
  18. shampondo shila

    JamiiForums Tanzania Kwanini ukimuuliza mtu yeyote kama yeye ni wa motoni au wa peponi, anakujibu hajui

    Kwa mtazomo wangu najua kila mtu anajua yeye ni wa motoni au wa peponi. Kwasababu unaposema hujui wew utaenda wapi maana yake huyatambui mema na mabaya Asanteni. Nawasilisha
  19. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani

    Wanabodi, Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa huwaletea makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa. Mada ya leo ni a bit abstract, ambapo Nimesikia sauti ya Voices From Within ikiniambia JPM yuko Mbinguni kwa Baba, hivyo nauliza swali, jee wajua kuwa JPM yuko peponi, Mbinguni, Kwa BABA YAKE...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Ishi kifukara, uende peponi!

    Ukitaka kwenda peponi baada ya kifo chako, basi, sali, tenda matendo mema na ISHI KIFUKARA! Ndio, namaanisha! Fanya kazi yoyote halali lakini sehemu kubwa ya kipato chako kitumie kutimiza wajibu wako na hakika kusaidia masikini! Huwezi kutumikia mabwana ( masters) wawili, so they say...
Back
Top Bottom