Pemba Island (Arabic: الجزيرة الخضراء al-Jazīra al-khadrā, literally "The Green Island") is a Tanzanian island forming part of the Zanzibar Archipelago, lying within the Swahili Coast in the Indian Ocean.
VIONGOZI wa dini ya kiislamu wa mkoa wa kusini Pemba, wametakiwa kutodhihirisha kwa wafuasi wao mahaba, upendo na kuvipigia chapuo vyama vyao vya siasa, wanapokuwa wanahubiri kwenye nyumba za ibada, kwani athari yake ni kusabisha mgawanyiko.
Ushauri huo umetolewa na Afisa Fat-tuwa na Utatuzi wa...
LEO tarehe 15, Oktoba, ni siku ya kimataifa ya unawaji mikono duniani kote, ambapo kitaifa kwa Zanzibar sherehe hizo zinaadhimishwa kisiwani Pemba.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Naibu waziri wa Afya Zanzibar Harusi Said Suleiman wakati akizungumza na waandishi wa habari ukumbi wa ZBC...
Asalam aleykum,
Nilishawahi kutoa ushauri huu awali na wala sio wazo jipya nchini, nishauri wananchi wajipange na kuunda vikosi vya kujilinda kwenye vitongoji au vijiji vyao. Hili wazo ni sawa na lile la Sungusungu miaka ya zamani. Si jipya na wala halihitaji leseni ya serekali.
Nashauri...
Mada inahusika.
Nadhani wote tunaelewa kinachoendelea katika kijiji cha Kangagani huko Pemba, baada ya usiku wa kuamkia juzi tarehe 22 Septemba, 2020 , kulitokea tukio la kushambuliwa kwa mapanga waumini msikitini na baadae kujulikana walioshambuliwa kuwa makada wa CCM.
Sote bila kujali...
Viongozi wa dini Unguja, Pemba wamelaani tukio lilitokea Septemba 22 ktk msikiti mmoja huko Pemba ambapo watu watatu walishambuliwa kwa panga
Viongozi wa dini kutoka Zanzibar wako mubashara wakitoa tamko la amani wakati wa kampeni na uchaguzi, katika jambo alilozingumzia baba askofu amesema...
Mgombea Urais Zanzibar, Ameir Hassan Ameir(Demokrasia, makini): Katika barua yetu ya tarehe 15 kumuomba msajili wa vyama vya siasa pamoja na IGP, tulimuelezea kwamba, kuna baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa hapa nchini kwetu Zanzibar, wameanza tabia ya kuanza kuwashajihisha wanachama wao au...
TAKWIMU HAZIDANGANYI
Kwa kawaida Kisiwa cha Pemba limekuwa chini ya himaya ya Maalim Seif kwa muda mrefu, mara zote kura za Pemba zimekuwa ni kura za uhakika kwa Maalim, kwa kifupi Pemba ilikuwa ni Ngome ya Maalim Seif, ukweli huu kwasasa umebadilika. Mapokezi ya Dkt Mwinyi jana yamekuja na...
Mahakama ya Mkoa Wete imeiondoa kesi namba 75 ya mwaka 2019 iliyokua inamkabili kijana Khamis Abdalla Khamis mwenye miaka 35 aliyetuhumiwa kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka kumi baada ya mashahidi kutofika Mahakamani.
Akitoa uamuzi huo Mrajisi wa Mahakama kuu Pemba Abdul-razak Abdul-kadir...
Imenenwa katika kitabu cha Mithali katika Biblia katika sura ya 14:34 ikisema hivi nanukuu " Haki huinua Taifa na dhambi ni aibu ya watu wote" mwisho wa kunukuu.
Tumemsikia wenyewe IGP Sirro akitutisha watanzania kuwa Jeshi lake la Polisi liko imara na linafanya mazoezi ya nguvu ili kupambana...
Kamanda Siro alisema tume inawasababishia na kuwapa wakati mgumu.
WaTanzania sasa tunaelekea kule ambako vyombo vya ulinzi huenda mwisho wake vikaungana na wananchi, jambo ambalo limeonekana nchi nyingi, haiwezekani utumie vyombo vya ulinzi kuteketeza wananchi, wananchi ambao ndio wanaounda...
Katika hali inayoashiria uwezekano wa umwagaji mkubwa wa damu huko Zanzibar hasa kisiwani pemba, wananchi wa huko wakiwa na hasira kali kutokana na kuenguliwa wagombea wao, wamejiapiza kukabiliana na chochote kilicho mbele yao hata ikibidi kupoteza maisha yao.
Wamehimizana kila mmoja kuandika...
Mada ya uzi huu si ngeni kwetu sisi Watanzania. Nina uhakika wengi (kama si wote) tunaIfahamu vyema hii kitu lakini ni wakati muafaka kuweka msisitizo hususani kutokana na mazingira tuliyo nayo sasa kuhusiana na mwenendo wa teuzi za wagombea urais, ubunge na madiwani kwenye uchaguzi wa mwaka...
Kwa maandishi wamejibu hawakumuekea pingamizi mgombea yeyote yule wa ACT wazalendo,huo au hayo yaliyojiri ni mzigo wao tume ya Taifa ya uchaguzi na sio wagombea wa CCM.
Sasa ninaloliona ni CCM kukimbia mauti maana Pemba hawacheki na mtu katika kutafuta haki yao,hawaogopi kauli za Tanzania ni...
Mambo ni mazito kidogo.
Zitto kasema kuwa Pemba hakuna mgombea wa ACT aliyeachwa . Wote 18 wameliwa vichwa.
Aidha Zitto pia amesema jumla ya wagombea ubunge 44 wa ACT-Wazalendo Tanzania nzima wameenguliwa.
Hii ni hatari tupu.
Leo kuna mapokezi ya Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Bernard Membe na Mgombea Urais wa Zanzibar, Ndugu, Maalim Seif Sharif Hamad. Wameambatana pia na Mgombea Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Profesa Omar Fakih Hamad.
Tayari washawasili Pemba. Picha za...
Karafuu ya magendo yakamatwa
Magunia 30 ya karafuu yaliyokuwa yamefichwa katika Kisiwa cha Funzi wilayani Wete, Kaskazini Pemba, ili kusafirishwa kwenda nje ya nchi kwa njia ya magendo, yamekamatwa na kikosi maalumu cha kuzuia magendo (KMKM), kamandi ya pemba.
Akizungumza na askari wa kikosi...
Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar balozi Idd Seif amesema urais wa Zanzibar hauuuzwi bali upo kwa ajili ya wananchi wa Unguja na Pemba.
Balozi Idd ametoa onyo kwa wote waliojipanga kutumia rushwa ili kununua uongozi na kwamba wazanzibar watampendekeza Rais wanayemtaka kabla ya kupitishwa na...
ZIARA YA SIKU NNE (4) YA MWENYEKITI WA CHAMA TAIFA MHE. PROF. IBRAHIM LIPUMBA HUKO PEMBA IMELETA HAMASA KUBWA NA KUPOKEA ZAIDI YA WANACHAMA WAPYA 723.
Ziara hiyo imekijengea Chama Heshima Kubwa kwa kukiwezesha Kurejesha Ngome yake huko Pemba na kukiwezesha Chama kuwarudishia Hamasa wanachama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.