pemba

Pemba Island (Arabic: الجزيرة الخضراء‎ al-Jazīra al-khadrā, literally "The Green Island") is a Tanzanian island forming part of the Zanzibar Archipelago, lying within the Swahili Coast in the Indian Ocean.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Rais tutembelee huku Pemba twavujiwa

    Je Rais Samia kama Amiri Jeshi Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar amewahi kutembelea Pemba? Au wapemba si watu???
  2. Ferruccio Lamborghini

    JamiiForums Tanzania Hospitali 10 kujengwa Unguja, Pemba

    HOSPITALI 10 zitajengwa Unguja na Pemba ndani ya kipindi cha miezi sita, hatua itakayoboresha kwa kiwango kikubwa huduma za afya Zanzibar. Hayo yalisemwa na Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Wazee, Nassor Ahmed Mazrui wakati akiwapa taarifa wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kuhusu...
  3. chongchung

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kakopa trillion 1 kujenga airport, Hospitali, VETA na Depo ya mafuta Zanzibar

    Hizi pesa zimekopwa na Tanganyika na Tanganyika ndio italipa Trillion 1 inaenda kujenga airport Pemba Ikumbukwe pia katika ule mkopo wa covid, amechukua billion 400 na Tanganyika ikabaki na billion 700 Vile vile ameshachukua mkopo Mwingine WB wenye dhamani ya trillion 1 kwaajili ya zanzibar...
  4. Mzito Kabwela

    JamiiForums Tanzania Azam Marine boresheni vyoo vilivyoko kwenye boti zenu za Unguja kwenda Pemba

    Nimesafiri na Boti za Azam kutoka Dar kwenda Unguja mara nyingi, wamefanikiwa kuwa wasafi, ndani ya boat na hata kwenye vyoo vyao. Zile "boat" zinazofanya safari ya Unguja kwenda Pemba na Pemba kuja Unguja kwa kweli ni chafu. Ni chafu kuanzia kwenye viti hadi vyooni. Sielewi ni kwa nini...
  5. G-Mdadisi

    JamiiForums Tanzania Mganga wa kienyeji Pemba ahukumiwa Miaka 30 kwa kumbaka mteja wake

    Mahakama ya Mkoa Chake Chake imemuhukumu Mshitakiwa Issa Abdalla Haji mwenye umri wa miaka 41 mkaazi wa shehia ya Wawi Wilaya ya Chake Chake Mkoa wa Kusini Pemba kutumikia chuo cha mafunzo kwa muda wa miaka 30 pamoja na kulipa fidia ya shillingi millioni moja za Kitanzania baada ya kutiwa...
  6. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Wananchi Pemba: Tupo tayari kurudi kulekule kwa kutoshirikiana, ikiwemo kila mtu awe na lake

    Malalamiko ya wananchi kuhusu uchaguzi mdogo wa Konde: "CCM hawana haya, hawaoni vibaya, wameyarudia yaleyale waliyozoea"; Wananchi wa Zanzibar huko Pemba wanasema wapo tayari kurudi kule kule kwa kutotoa ushirikiano kwa upande wa pili… ikiwemo kila mtu awe na lake.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kenani Kihongosi ampigia kampeni Shekha Fakhi Mpemba jimbo la Konde, Pemba

    PEMBA ZANZIBAR Alichosema Katibu Mkuu wa UVCCM Ndugu Kenani Laban Kihongosi Wananchi mchagueni Ndugu Shekha Fakhi Mpemba ili alete maendeleo katika Jimbo la Konde. Alisema moja ya changamoto katika jimbo hilo ni uvuvi wa kisasa na wenye tija zaidi na mtatuzi wa changamoto zote ni kumchagua...
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania PEMBA: Alichosema Katibu Mkuu wa UVCCM Ndugu Kenani Laban Kihongosi

    PEMBA ZANZIBAR Alichosema Katibu Mkuu wa UVCCM Ndugu Kenani Laban Kihongosi Wananchi mchagueni Ndugu Shekha Fakhi Mpemba ili alete maendeleo katika Jimbo la Konde. Alisema moja ya changamoto katika jimbo hilo ni uvuvi wa kisasa na wenye tija zaidi na mtatuzi wa changamoto zote ni kumchagua...
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Pemba: Freeman Mbowe atembelea Kaburi la Maalim Seif, amuombea dua

    Freeman Mbowe ambaye yuko kwenye kampeni za operesheni haki Mikoa ya Pemba , Leo ametembelea mahali ulipohifadhiwa mwili wa Nguli wa siasa za Zanzibar , Jabali Maalim Seif. Mh Mbowe ambaye amepewa jina jipya la ABUBAKAR na sasa anaitwa ABUBAKAR MBOWE ametumia fursa hiyo kumuombea dua njema na...
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Pemba: Freeman Mbowe akipata kahawa kijiweni na wenyeji wake

    Kiongozi wa watu huchangamana na watu mitaani, hivi ndivyo walivyofanya wapigania Uhuru Maarufu wa Enzi zile
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Operesheni haki yaingia Pemba

    Kwa mujibu wa Taarifa za dunia, ulioitwa Uchaguzi Mkuu wa 2020, Pemba ndio eneo lililoongoza kwa mauaji ya raia, wakiwemo watoto na vikongwe. Wote waliounga mkono Maalim Seif na upinzani walishughulikiwa ipasavyo, zipo tetesi kwamba kulikuwa na majeshi ya kukodi kutoka nchi za kigeni ili...
  12. G-Mdadisi

    JamiiForums Tanzania Pemba: Mtoto anayewaka moto akiingia anyanyapawa kwa kuitwa “washawasha”

    Ukiona mtu mzima analia tambua kabisa kwamba kuna jambo. Faki Hamad Mbarouk mkaazi wa mtaa wa Msigiri uliopo Wilaya ya Chake Chake Mkoa wa Kusini Pemba anakabiliwa na mtihani mkubwa ambao umemfanya uso upoteze furaha yake usiku na mchana kutokana na mwanae kukabiliwa na mkasa wa ajabu wa kuwaka...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Pemba waomba barabara inayoenda kwenye kaburi la maalim Seif iwekwe lami ili kuwapa wepesi maelfu ya watu wanaozuru kaburi kila siku

    Wananchi wa Pemba wameiomba SMZ iijenge kwa kiwango cha lami barabara iendayo kwenye kaburi la Maalim Seif kwani imeharibika sana hali inayopelekea magari kupakiwa umbali wa km 3 kutoka eneo la kaburi. Ombi hilo limetolewa mbele ya makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar mh Othman Masoud aliyezuru...
  14. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe, Pemba sio Kigoma

    Jana tumeshuhudia maziko ya Mwanasiasa mkongwe yaliyofanyika huko Pemba Zanzibar kijijini Nyali Mtambwe na kuona jinsi wananchi wa huko walivyokuwa na simanzi nzito mithili ya kuwa wameondokewa na mfalme wao. Na wengi walionekana kama kuwa sasa ndio basi tena hakuna wa kuja kuwapigania. Maana...
  15. DAGAA WA MWANZA

    JamiiForums Tanzania TANZIA Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad afariki dunia

    Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar na Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Maalim Seif amefariki ktk Hospitali ya Muhimbili. Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi ametangaza siku 7 za maombolezo ya Kitaifa Pia soma > Wasifu/ CV ya Maalim Seif Sharif Hamad, Historia yake kwa Ufupi Kupitia ukurasa wa...
  16. Mathayo Fungo

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu utata wa kifo cha Abubakar Khamis Bakar mwakilishi mteule wa jimbo la Pandani Pemba kwa tiketi ya ACT Wazalendo

    Hivi vyama vingine bora vife tu. Havina maana kabisa kwenye siasa. Kwanza havijawahi kuifanyia chochote Tanzania
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ili Taifa Stars leo 'ishinde' yule 'Mtaalam' wangu wa Pemba ambaye 99.9% huwa Mkweli kasema 'Kikosi' kiwe hiki...

    1. Aishi Manula 2. Shomary Kapombe 3. Mohammed Hussein 4. Bakari Mwamnyeto 5. Erasto Nyoni 6. Jonas Mkude 7. Simon Msuva 8. Feisal Salum 9. Ditram Nchimbi 10. John Boko 11. Farid Musa Na John Boko aambiwe upesi kuwa atakuwa tu 'Ceremonial Captain' kwa Kuvaa 'Kitambaa' ila 'Maelekezo' yote ya...
  18. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Mwili wa Khalid, Askari aliyeuawa Pemba Oktoba 28 wapatikana

    Mwili wa askari wa KVZ aliyejulikana kwa jina la Khalid umepatikana baada ya kuuawa siku ya uchaguzi ===== Pemba. Jeshi la Polisi Mkoa wa Kusini Pemba limefanikiwa kuupata mwili wa aliyekuwa askari wa kikosi cha KVZ Khalfan Junedi aliyedaiwa kuuawa wiki tatu zilizopita eneo la Ngwachani Wilaya...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 toka maeneo mbalimbali

    Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka Zanzibar. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. ORODHA RASMI YA WAGOMBEA WANAOWANIA URAIS KWA MUJIBU WA ZEC ORODHA RASMI YA WAGOMBEA WANAOWANIA UBUNGE KWA MUJIBU WA ZEC...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Taarifa hizi toka Visiwani Zanzibar zina ukweli?

    https://imevuja.xyz/just-in-upigaji-kura-waanza-usiku-huu-zanzibar/ Na pia https://imevuja.xyz/maalim-seif-kuwekwa-chini-ya-uangalizi-maalum/ Kama ni za kweli, basi Zanzibar pameshakuwa pagumu sasa UPDATE...
Back
Top Bottom