Chama kikongwe kinaogopa majadiliano. Katika vikao vyao kazi kubwa ni kupitisha anachokitaka mwenyekiti wao. Hakuna nafasi ya mawazo mbadala, kutokubaliana na mwenyekiti ni uasi usiovumilika.
Je kwa utaratibu huu wa "zidumu fikra za mwenyekiti", chini ya Samia, tutaweza kupata kaba mpya ya kidemokrasia kweli?
Je kwa utaratibu huu wa "zidumu fikra za mwenyekiti", chini ya Samia, tutaweza kupata kaba mpya ya kidemokrasia kweli?