Waziri wa Maji Jumaa Aweso amuumbua Rais wa Yanga SC, Eng. Hersi Said kwa kudai kuwa huwa anaenda kuroga mechi ya Watani wa Jadi (Simba na Yanga) ili washinde
"Pangani ilikuwa kama Kisiwa, ili mtu aje Pangani lazima aje kwa makusudio maalum, aje kuzika, amesikia labda kuna mganga mzuri wa...
Wakuu,
Huu ndio muda wao kutuoneshe ni watu wenye moyo sana na huruma mwingi, wenye kutoa bila choyo😂😂
Kupata taarifa za kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za...
Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Mbio za Coast City Marathon Msimu wa tatu (3), maalum kwa ajili ya kuchangia uboreshaji wa Miundombinu ya Elimu kwenye Shule ya Msingi Pangani, Dkt. Frank Mhambwa amezindua rasmi mbio hizo ambapo hafla ya Uzinduzi imefanyika kwenye Ukumbi wa Halmashauri ya...
Shida ya maji Kata ya Pangani, Halmashauri ya Kibaha Mji Mkoa wa Pwani.
Ndugu Admin/moderator naomba kutoa malalamiko yangu juu ya wizara ya Maji, kwani pamekua na shida ya maji miaka nenda rudi sasa kwa wakazi wa Kata ya Pangani mitaa ya Mtakuja, Kidimu, Pangani yenyewe na mitaa mingine...
Wachina wamehamisha kabisa vifaa vyao. Je fate ya barabara hiyo ni ipi?
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, take action please, tatizo ni nini? basi waje wairudishe kama ilivyokuwa maana ni kero sana walivyoiacha
Nimesoma historia ya Bushiri nikiwa shule ya msingi miaka ya 1960 pamoja na historia ya Vita Vya Maji Maji vilivyopewa jina la, "Maji Maji Rebellion."
Walioandika historia hii waliwaona Abushiri bin Salim, Abdulrauf Songea Mbano na Bi. Khadija Mkomanile, Mtwa Abdallah Mkwawa kwa kutoa mfano...
1. Kumekuwa na mkanganyiko wa upana wa barabara kutoka Mabanda ya Papa , Tanga Mjini kwenda Pangani particularly kipande cha kutoka Mabanda ta papa - Usalama- Comercial- Mwembe Duga- Mwakidira-Mwahako Darajani.
2. Mwanzoni mara ya kwanza walibomolea watu wakapisha upanuzi wa barabara...
Wilaya ya Pangani, Kijiji cha Ushongo Mtoni kumekuwa na taka hatarishi za hospitali zinazoonekana ufukweni.
Wanakijiji wameshuhudia Drip, Sindano na chupa za dawa mbalimbali ufukweni.
Kuna Hospitali au Kituo cha Afya ambacho haifahamiki kinatupa taka zake baharini, yawezekana zinatoka hata...
Anonymous
Thread
hii
michezo
pangani
serikali
taka
tanga
wanaofanya
Serikali ipo katika hatua za mwisho za kuwezesha upatikanaji wa leseni kubwa ya uchimbaji madini (Special Mining License - SML) kwa Kampuni ya Nyati Mineral Sand inayomilikiwa na kwa ubia kati ya Serikali ya Tanzania na Kampuni ya Strandline ambayo itapelekea kuanza kwa mradi mkubwa wa uchimbaji...
Barabara kama ile haiwezi kufanywa kwa magari mawili ya kusomba vifusi na compactor 2. Wamepewa hela na ili waonekane wako site ndio upuuzi wanaoufanya, kuzuga kuwa wako site kumba hamna lolote linalofanyika. Bashungwa or anybody in charge of this ministry, come and see!
Naibu Waziri Kihenzile Akagua Upanuzi wa Bandari ya Pangani, Bandari ya Kipumbwi na Bandari ya Mkwaja Zinazotumika Kusafirisha Ndani na Nje ya Nchi Bidhaa za Mifugo, Saruji, Mbao
"Nikiwa nimeambatana na Mkuu wa Wilaya ya Pangani Mhe Zainab Abdallah tumetembelea Ujenzi (upanuzi) wa Bandari ya...
Naibu Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Deogratius Ndejembi amemtaka Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Pangani, Isaya Mbenje na Watendaji walio chini yake kujitafakari juu ya mwenendo wa utendaji kazi wao kutokana na kushindwa kusimamia miradi inayotekelezwa kwenye Halmashauri hiyo ikiwemo...
Mwenye kufahamu sababu ya tofauti ya bei ya maji ya Uhai 1.6L na Afya 1.6L kuuzwa 700.00 wakati ujazo huohuo kwa Masafi 1.6L na Pangani 1.6L yanauzwa 500.00.
Pia kwanini maji ya Pangani 1.6L hayana Stempu ya kieletronic juu ya mfuniko?
Barabara haipitiki hata kidogo. wachina waliijaza udongo na mvua hizi ni shida tupu.
Angalau wasafishe au TANROAD wasafishe kipanda cha kufika Mjini- Machui! Ni hatari tupu!
Waziri Mchengerwa nakupa alert tafadhali tuma wachunguzi waje kwenye hii wilaya ya hovyo kama ya Pangani ama kiukweli wana kuhujumu na wanakuharibia kupita kiasi
Waziri Mchengerwa pesa za miradi inapigwa kupita kiasi hapa halmashauri Wafanyanyakazi au watumishi hawapewi haki zao kwa kabisa...
Hii ni kukutaarifu tu kuwa mkandarasi wa barabara ya Tanga to Pangani umemlipa bilioni 3 kuanza kazi haonekani site Tanga mjini wala Pangani? Hii ilikuwa ni mara ya mwisho sometime in September uliposema hayo mbele ya camera
Mvua zinanyesha ni tope tupu kila mahali! Mwambie basi aje...
Habari wana JF? Niende moja kwa moja kwenye mada.
Kumekuwa na upigaji katika mradi wa maji mtaa wa Miwale kata ya Pangani wilaya ya Kibaha Mjini mkoa wa Pwani ambapo miaka kama minne iliyopita kulifanyika mradi wa maji uliogharimu milioni miatano lakini mradi huo ulikufa pasipo wananchi wa...
DC wa Pangani amezua gumzo baada ya kuonekana na tattoo ya mumewe hadharani. Ikumbukwe mumewe ni Mbunge wa Pangani na Waziri mwandamizi.
Unampa asilimia ngapi DC wa Pangani kwa tattoo hii
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.