Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 2,259
- 5,457
Ndugu zangu, Kuna kabinti nili fall in lo❤️. Sasa kila nikiomba mchezo kanadai kenyewe bado, yani bikra, dah nikasema sawa.
Sasa Huwa na dada angu wa mjini, si nika mpa stori akanipongeza ila akanambia nimuoneshe wifi, nikasema sawa, EEH bhana ninemuonesha TU hivi alipo MUONA akaguna mmh.
Nikapata wasi nikamuuliza vipi, akadai sura si ngeni ni kama Alisha MUONA na mwana kijana mdogo mwenzake, akanambia hivi, pambana uitambue hiyo bikra kwanza na mashaka, nika mwambia sijui kuitambua akadai Kuna dawa ya asili inaitwa inarudisha bikra, waulize watu mbinu ni nyingi.
Nikawakumbuka watu wangu wa nguvu jf, pliz nielimisheni.