Mkurugenzi wa manara tv na diwani mteule wa kata ya Kariakoo Hajj Manara leo November 19, 2025 ametangaza rasmi tarahe ya uzinduzi wa ofisi za Manara tv huku ikiwa ni mabadiliko ambapo awali uzinduzi huo ulitakiwa ufanyike November, 2025. Mabadiliko hayo yamechochewa na shughuli za uchaguzi mkuu...
#D9 Naomba baadhi ya vijana tuelekee kwenye ofisi za wizara ya afya kwa unyama waliotufanyia wenzetu yani kama tulivyopita vituo vya uchaguzi.
Ili ushenzi wote uishe lazima tukakinukishe kwenye ofisi zao hatuwezi kukubali unyama huu uachwe kwenye nchi yetu.
Kuna watu mpaka hivi sasa hawajapata...
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, amewataka watumishi wa umma katika wilaya hiyo kuendelea kutoa huduma kwa wananchi licha ya changamoto zilizojitokeza baada ya baadhi ya ofisi zao kuharibiwa.
Akizungumza wakati wa kufanya tathmini ya maeneo yaliyoharibiwa, Mpogolo alisema kuwa Serikali...
Kwako Rais wa JMT,
Dkt. Samia Suluhu Hassan,
Awali ya yote natanguliza shukrani kwa Mwenyezi Mungu kutujalia afya njema na kutoa pole nyingi kwa wote waliopoteza Ndugu, jamaa na marafiki kutokana na maandamano. Mwenyeji Mungu aendelee kulijalia amani ya kutosha.
Ni heshima kubwa kukufishia...
Ikumbukwe, MADAI YA WAANDAMANAJI ni:
1. Uchaguzi 2025 ufutwe
2. Katiba Mpya
3. Tume Huru ya Uchaguzi
4. Waliotekwa waachiliwe huru
4. Kesi za kubambikia watu zifutwe
Wananchi wa Dodoma, ccm wamelitumia sana hilo jengo kupitisha sheria mbovu za kidhalimu zilizotukandamiza wananchi vibaya sana.
Tunawaomba mliopo Dodoma, katumeni salamu hapo Bungeni na kwenye jengo la Ofisi za Tume ya Uchaguzi.
Jeshi likichukua nchi tutawaomba tangazo la kwanza liwe ccm ni...
Hali inazidi kuwa mbaya kwa eneo la Sanawari juu na Ngusero
Vijana waliokuwa wakiandamana kuelekea Clock Tower na kuvamiwa na Polisi wamepambana na Polisi na baadae wakaenda kuchoma Ofisi mbili za kata pamoja na Ofisi ya CCM kata ya Moivo
Tuombe Amani Ndugu zangu.
Kwa muundo wa serikali yetu ilivyo hakuna serikali za majimbo hivyo kila kitu kipo chini ya kuu.
Unaweza kwenda sehemu flani kwenye taasisi flani kubwa tu lakini humo maofisini hamna hata mzawa moja, kazi zote zimechukuliwa na wageni wa sehemu za mbali, wazawa hawana chochote.
Sababu inaweza...
Kati ya maandamano yaliyopangwa vizuri ni haya maandamano ya Tarehe 29 Oktoba 2025
Wanaotutisha kufanya mazoezi watajua wenyewe walinde vituo vya kupiga kura au nyumba za Viongozi wa CCM au Ofisi za CCM au nyumba za Wabunge na Mawaziri au Ofisi za Umma.
Enough is Enough
Lazima turudishe...
Wakili Mwabukusi ambaye pia ni Rais wa TLS (Chama cha Wanasheria Tanganyika), akizungumza na Wakili TV leo, amesema TLS inachukulia suala la polisi kuzunguka katika ofisi zao kwa uzito mkubwa sana. Amesisitiza pia kuwa TLS si wahalifu bali ni chombo cha kisheria kinachotekeleza majukumu yake kwa...
Ni wakati wa nchi na ulimwengu kwa vyombo vya habari kusimama kidogo na kutafakari wajibu wao katika kuripoti kwa uwazi na uwajibikaji.
===================================
Waandamanaji walichoma moto jengo la chombo kikuu cha habari "Godi Media House" nchini Nepal lililopo Kathmandu...
Chadema walikuwa wameomba ukumbi pale kufanya mkutano wa kuwakumbuka mashujaa yote.
Eneo lote limezingirwa na ‘Mapolisi’
===
CHADEMA kupitia ukurasa wao wa X wameandika kuwa;
"Jeshi la Polisi limezingira ofisi za @TanganyikaLaw na kufunga barabara zote za kuelekea katika ofisi hiyo na kuzuia...
Mimi kama mtanzania ambae napenda taifa letu liongozwe kwa misingi ya haki na amani nimeshutushwa sana na hizi taarifa kuwa ofisi za Jamii Forum zilivamiwa.
Serikali imekanusha juu ya uvamizi. Na imesema ilikuwa kwenye shughuli zake za kawaida na wanahitaji mmiliki wa Jamii Forum awape...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.