ofisi

  1. Boveta

    JamiiForums Tanzania MAHAKAMA YAZIMA MPANGO WA ACT- WAZALENDO KUPORA OFISI YA CUF KILWA

    THE CIVIC UNITED FRONT(CUF- Chama Cha Wananchi) MAHAKAMA YAZIMA MPANGO WA ACT- WAZALENDO KUPORA OFISI YA CUF KILWA: CUF- Chama Cha Wananchi imepata ushindi kwenye Kesi iliyofunguliwa na ACT- Wazalendo ya kudai Ofisi ya CUF Wilaya ya Kilwa kwamba ni mali yao waliyopewa na Seleman Bungara...
  2. Bexb

    JamiiForums Tanzania Anahitajika muhudumu wa ofisi mwanamke

    Habari ya jioni wakuu. Natoa tangazo hili kwa niaba ya kampuni inayomilikiwa na wageni wa kutoka China, inayojihusisha na huduma za utengenezaji magari iliyo na ofisi zake Mikocheni, industrial road jirani na TPDC. Anahitajika muhudumu wa ofisi kwa ajili ya kufanya majukumu yafuatayo: 1...
  3. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Wakuu nielekezeni kwanini chief draftsman wa Sheria anatoka ofisi ya tume ya fedha ya pamoja

    Eti maboss niambie kitu kimoja nijue kinahusiana vipi kuna huyu mtalaam wa kuandika hizi acts kwa sasa anaitwa Bw. Onorius John Njole sasa kwanini anakuwa ofisi yake ni tume ya pamoja ya fedha chini ya wizara ya fedha me nilifikiria labda angekuwa chini ya taasisi kama Bunge, mahakama,n.k
  4. N

    JamiiForums Tanzania Ikiwa CCM ilikiuka katiba yake, Ofisi ya msajiri wa vyama vya siasa imechukua hatua gani?

    Kwa yanayotokea kuna ushahidi kwamba ccm ilikiuka au haikufuata taratibu kumpata mgombea wao wa nafasi ya urais. Ofisi ya msajiri wa vya siasa imewachukulia hatua gani? Au nayo iko sehemu ya ccm hivyo ina enda na mtiririko wa kujirekebisha yenyewe? Wanaionea chadema hata inapokuwa haina...
  5. Scott junior

    JamiiForums Tanzania Ofisi za namna hii zibadilike

    Huwa wanajiona sijui akina nani? Wanajikuta wako busy, ni kupishana tu mbele yako.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Hawa ndugu zetu wasabato wasahau kutoboa kwenye biashara, Wakati wateja wengi wako sokoni Jumamosi, wao wamepumzika

    Wakati wateja wengi zaidi wako sokoni siku ya Jumamosi, maduka ya wasabato yamefungwa. Wateja wanaenda kutafuta bidhaa na huduma, wao wameenda kupumzika, Wateja hutafuta maduka mengine, wateja wao wengine huamia maduka mengine. Kuwafungia duka wateja Jumamosi ni kama kusema “hatuwahitaji”, Na...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Balozi Polepole kwa mujibu wa Sheria unapaswa kukabidhi rasmi ofisi ya ubalozi, unajua ni kosa kubwa kisheria ukishindwa kufanya hivyo

    Ni ushauri wa bure kwa mujibu wa Sheria na kanuni za umma. Kushindwa kufanya hivyo kunaweza kuhesabiwa ni jinai na hivyo waweza ingia kwenye shida
  8. Manepesa

    JamiiForums Tanzania Mnatufungia mtandao Facebook unahusika nini na siasa zenu?

    Wengi Tunategemea sana kutangaza biashara zetu kupitia mtandao mnazima ili iweje ..nmepoteza hela. Mmefunga Twitter (x) , sasa hivi mmehamia Facebook. Fungueni hii mitandao, wengine siasa hatuzitaki ni ujinga tu.
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya CHADEMA Same Magharibi yabadilishwa kuwa ya CHAUMMA

    Mali za Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Jimbo la Same zimetolewa nje katika iliyokuwa ofisi ya chama ya jimbo hilo kwa kile kilichoelezwa ni kutokulipwa kwa kodi kwa miezi sita. Leo Julai 17, 2025 wameonekana mafundi wakipaka rangi na kufuta majina pamoja na rangi za CHADEMA ili...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Hili wimbi la wahamiaji hasa Burundi Jenerali wa Magereza anasubiri nini kupisha ofisi?

    Siku km mbili tatu kumekuwa na kamata kamata ya wahamiaji haramu wengi sana, ni vipi mipaka yetu hailindwi? Wahusika wako wapi, jeshi la uhamiaji imeenda likizo? Mipaka yetu hailindwi? Usalama wa nchi yetu vipi? Mbona tunatishwa? Vijana wote wale? Na mjue raia wa nchi nyingine kamwe hawezi...
  11. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania Mkandarasi ahidi kukamilisha kwa wakati ujenzi wa ofisi mpya ya mkuu wa mkoa Kagera

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, imeanza utekelezaji wa mradi mkubwa wa ujenzi wa ofisi mpya ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera kwa gharama ya jumla ya shilingi bilioni 9, ambapo awamu ya kwanza imepokea shilingi bilioni 4.6. Ujenzi huo...
  12. Gulio Tanzania

    JamiiForums Tanzania Kuna Siri gani mabosi wengi kutokutaka kukaa ofisi

    Hili jambo nimeliona kwa muda mrefu mabosi wengi wenye maduka kutopenda kukaa ofisini duka kubwa lakini boss haoni hofu yoyote kuwaacha vijana hata mwezi mzima bila wao kukaa dukani Wapo wanaokaa madukani lakini kijana ndiye anawaachia kuhudumia wateja na kupokea pesa Huu ni mfumo tofauti na...
  13. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya Wavivu: Ofisi za Umma leo zimefungwa kwa siku ambayo sio Public Holiday

    Kwa mujibu wa Sheria ya Nchi leo tarehe Julai 7 sio siku ya mapumziko, ni siku ya kazi kama siku zingine. Lakini ajabu ni kwamba ofisi zoooote za umma zimetiwa kufuli na watu wamepumzika kuanzia jumamosi. Yaani maafisa wamejipa tu mapumziko, kuanzia mtendaji wa kijiji mpaka Mwanasheria Mkuu na...
  14. Mike Moe

    JamiiForums Tanzania NHIF kitu kidogo hadi nije ofisi

    Siku kazaa hapo nyuma nimeingia nhif kupitia huduma yao ya online selfservice baada ya kufata hatua za mwanzo zote ikafika sehemu ya kuverify namba ya nida nimeijaza majibu napewq ishatumia katika Account type STUDENT napiga simu wanibadilishie iwe employee kazi yao kunipangia muda tu mara...
  15. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali inavyoibiwa Kodi kwenye Vilemu vya Uchimbaji Madini (hasa Malera, Nyamongo) Ofisi ya Madini ikihusika moja kwa moja!

    Kumekuwa na utaratibu wa kikodi wa kiholela sana unaocha mianya ya rushwa ya wazi kabisa kwa Ofisi ya Madini hasa kwa eneo nililolitaja, nadhani utaratibu huu unatumika kote nchini, hapa wilaya ya Tarime, Mkoa wa Mara. Mwishoni nitatoa pendekezo langu juu ya nini kifanyike namna nzuri ya...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO NSSF Morogoro (Ofisi ya Madai mtandaoni) shughulikieni APPROVAL za wateja wenu

    NSSF morogoro wajirekebishe, nimeomba mafao kwa mfumo baada ya mikataba kuisha imekua changamoto, nimefungua madai tangu April 22 nimemaliza verification tarehe 30 April, nimekuja ofisini kwenu morogoro zaidi ya mara 4 mtu wa reception ananiambia process tayari Bado approval ya manager, ambaye...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mchechu: Ofisi ya Msajili wa Hazina ina shauku ya kukusanya Sh Trilioni 1 kama mapato yasiyo ya kodi katika Mwaka wa Fedha wa 2024/25

    Msajili wa Hazina, Nehemiah Mchechu amesema takribani Sh Bilioni 900 zimekusanywa kutoka taasisi za umma na kampuni ambazo Serikali ina umiliki wa hisa chache zipatazo 200. Amesema “Hadi kufikia sasa (Juni 2, 2025) Ofisi ya Msajili wa Hazina imekusanya karibia Sh Bilioni 900 kama mapato yasiyo...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya mpiga chapa mkuu wa serikali

    Habari ndugu zangu, ninaomba kuuliza ,ofisi ya mpiga chapa mkuu wa serikali nimeambiwa ipo Dar na Dodoma.Kwa upande wa Dar ipo maeneo gani tafadhali? Nitashukuru kwa majibu yenu.
  19. W

    JamiiForums Tanzania Kuna ofisi wanabebana kikabila mpaka ofisi inajaa watu wa kabila moja, Kwanini hakuna sheria za kuzuia mirundikano ya watu kikabila ?

    Yaani mpaka ofisini unakosa raha, unajikuta ni outsider (mtu wa nje), mpaka inafikia kipindi ofisini wanaongea kilugha chao, na hujui wanachozungumza. Kwenye ajira wakijua kuna mtu wao watambeba kwa namna yeyote ile labda ashindwe yeye tu lakini wakijua ni mtu wa kabila lingine watamuwekea...
  20. Kegenya

    JamiiForums Tanzania Kinahitajika chumba cha kupanga karibu na ofisi za Ruwasa-Siha, Kilimanjaro

    Mwenye namba ya dalali wa vyumba /nyumba au anakijua chumba kinachopangishwa; i. kisiwe mbali na ofisi za Ruwasa za wilaya ya Siha, mkoa wa Kilimanjaro. ii. Kiwe self contained
Back
Top Bottom