ofisi

  1. ChekoFagia

    JamiiForums Tanzania Kuna mdada nafanya naye kazi ofisi moja, nampenda lakini naogopa kumwambia — nifanye nini?

    Mimi ni mfanyakazi katika moja ya ofisi hapa mkoa wa Arusha. Tunafanya kazi ambayo siyo ngumu sana, mara nyingi ni kutumia kompyuta na kushughulikia majukumu ya kila siku ya ofisi. Ndani ya mazingira haya ya kazi, kuna mdada mmoja ambaye tumekuwa tukifanya kazi pamoja kwa muda sasa. Kwa mwanzo...
  2. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania UJENZI wa OFISI ya MAKAMU wa Rais jengo kama hekalu la mfalme ni matumizi mabaya ya fedha, mtu WA mazingira OFISI ya Nini? Nchimbi hakupanda mti juzi?

    Ile OFISI inayokarabatiwa ya MAKAMU wa Rais ni kuchezea fedha za UMMA, MAKAMU wa Rais Tanzania ni OFISI ya kutulizia mijitu nguri michokonoko dhidi ya WENZAo ndio maana kupewa KAZI zinazo usu mazingira TU Sasa mtu WA mazingira OFISI kama Ile ya Nini? Nchimbi kwa Nini hakupanda miti juzi?
  3. emmarki

    JamiiForums Tanzania Ofisi na karakana za SIDO Dar naomba kuelekezwa zilipo

    Wakuu, Naomba kuelekezwa mahali zilipo karakana na ofisi za SIDO Dar es Salaam. Natokea Kimara, kwa usafiri wetu wa daladala nipande za kwensa wapi hadi nifike. Msaada tafadhali
  4. H

    JamiiForums Tanzania Karibu kusoma Jarida la Ofisi ya Waziri Mkuu, Toleo la Nne la Januari 2026, linalopatikana kupitia tovuti ya www.pmo.go.tz.

    Karibu kusoma Jarida la Ofisi ya Waziri Mkuu, Toleo la Nne la Januari 2026, linalopatikana kupitia tovuti ya www.pmo.go.tz. #WaziriMkuuNchemba #PMNchemba
  5. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ndani ya muda mfupi kutoka Sasa ofisi ya chief Prosecutor wa ICC itatoa taarifa ya kuanza Kwa uchunguzi Kwa mauaji ya MO29

    Hello guys Napenda kuwapa good news, kutoka kwenye vyanzo vyangu vya kuaminika. Kesi iliyofunguliwa ICC na Intelwatch, Madrid Bar Association na Human right Institute Kwa Samia na viongozi wengine inaenda kuanza. Kumbuka ni kuanza Kwa kesi, including investigation. Siongezi maneno but within...
  6. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Aise nimeumia,hata la OFISI za UMMA kuamia Dodoma? Sawa mama yupo zenji yeye SI ni Rais?

    Mmeyabana ga mengi ya Rais Magufuli na Nyerere hata la kuamia Dodoma nalo pia?
  7. jiwe angavu

    JamiiForums Tanzania Nashauri OWM-Tamisemi ifungue ofisi za kanda watumishi wa umma chini ya Tamisemi ni kama mayatima

    Solidarity forever. Kumekua na malalamiko mengi sana ya watumishi wa umma hasa waliochini ya OWM-TAMISEMI kunyimwa stahiki zao na haki zao za msingi kama fedha za kujikimu,uhamisho,fedha za likizo n.k Hii hupelekea kukosa msaada kutoka kwa waajiri wao ambao wengi hawao hawawajari wala...
  8. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Ofisi moja kuwa na wanawake waliobarikiwa tume ya maadili iko wapi?

    Mdada wa usafi sio haba Secretary balaa tupu Cashier homa ya jiji Mhasibu another trouble Afu tume ya maadili wapo kimya kama mabubu wenzao takukuru hawaoni kama vipofu
  9. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo ashiriki katika ufunguzi wa Ofisi ya CRDB Dubai

    Mgeni Rasmi ambaye ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo akipokepelewa na viongozi wa Serikali pamoja na uongozi wa Benki ya CRDB katika hafla ya uzinduzi wa kihistoria wa Ofisi ya Uwakilishi ya Dubai, tukio linaloashiria upanuzi wa...
  10. Fbn

    JamiiForums Tanzania Hivi hamjagundua ofisi za kusifia "mama", mkubwa wao anapelekwa nje?

    Baada ya kutolewa ndani ya ofisi za Rais na sasa anapelekwa nchi fulani. Tokea kutangazwa mshajiuliza wale chawa waliokuwa kila kona kumtetea mama na serikali yake kama wamezimika sasa na kuendelea kupungua. Bado hamjashtuka tu huyu bwana mapete ndio mwenye hiyo taasisi.
  11. R

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Tunataka kero ikifika ofisi ya serikali ipatiwe ufumbuzi, wanaopuuza watatolewa kazini

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza katika mkutano na madereva pikipiki, bajaji na machinga wote leo Januari 8, 2026 katika ukumbi wa Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, amesema serikali inataka wananchi wanapofikisha kero zao katika Ofisi za serikali zipatiwe ufumbuzi...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Rais wamejishau kuwa X imefungiwa hapa nchini? X haiurusiwi kisheria

    Wanatumia x ili kupasha habari watu kimakosa.
  13. elite wastes

    JamiiForums Tanzania Elite wastes kufungua ofisi kinyerezi

  14. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Ofisi za UNRWA zafungwa rasmi huko Israel kisa kujihusisha na Ugaidi!!

    BREAKING: ISRAEL yazifunga rasmi ofisi za UNRWA huko Israel.!!!! Bunge la Knesset liliidhinisha sheria inayohitimisha shughuli za UNRWA nchini Israel. Shughuli zitakazo sitishwa ni kama zifuatazo- • Maji, umeme, gesi, mawasiliano ya simu, na kupunguzwa kwa benki • Kinga ya Umoja wa Mataifa...
  15. De Opera

    JamiiForums Tanzania Kuanzisha Ofisi ya Betting

    Wakuu, heri ya xmass na mwaka mpya? Natumaini mnaendelea vizuri! Naomba kwa anayeweza kufahamu namna ninaweza kuanzisha ofisi ya betting, kama wakala au inakuaje. Sina ufahamu kuhusu hii. Nipitie wapi, nahitaji nini, vigezo, na mambo mengine yanayoweza kunifanya nikamilishe hii. Ninayo frem...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kwa kizazi hiki kinachosoma kwa kutumia Artificial inteligent lazima mabumunda yajazane kwenye ofisi za umma

    Yaani upuuzi mtupu. Unakuta kijana anapewa swali na mwalimu wake. Anatumia simu kwa akili mnemba ili kupata majibu. Taifa linazalisha mabumunda. Ndio maana uwezo wa kuperfom umepungua sana. Ofisi zimejaza mabumunda tupu.
  17. Holota

    JamiiForums Tanzania Msaada - interview ofisi ya bunge

    "Habari za kila mtu, naomba msaada wenu. Nimeona mwezi wa 5 kuna watu walifanya usaili wa nafasi ya Afisa Usimamizi wa Fedha Daraja la II kwenye Ofisi ya Bunge. Je, mtu anaweza kunipa ufafanuzi au kushiriki uzoefu wake kuhusu mtindo wa usaili, maswali au maandalizi yanayohitajika? Asanteni mapema!"
  18. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kuna ID nyingi mitandao ya kijamii na zingine zinazotetea utawala huu ukiwajibu ukweli utajua ni ghost na zina ofisi

    ID nyingi kwa sasa zipo makusudi na tena walivyo jisahau zina majina ya kwao sana kutetea mtawala ,ukitaka kugundua we replay comment uwezi jibiwa ila kuna ID fake ambazo ujifanya ndio wapo wanapinga utawala mpaka zitangazwe na hizo wanapoona comment wanaingia DM wakiomba ujifanye kuwa pamoja...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Kero gani umewahi kukutana nayo katika ofisi za umma?🇹🇿

    Watanzania wengi wanategemea huduma mbalimbali kutoka kwenye ofisi za umma—iwe ni kupata vyeti, leseni, mikopo, huduma za afya, elimu, ajira n.k. Lakini bado yapo malalamiko mengi kuhusu namna huduma hizi zinavyotolewa. Tuchambue kwa pamoja: Je, kero zipi umewahi kukutana nazo katika ofisi ya...
  20. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba akabidhiwa rasmi ofisi na waziri mkuu mstaafu Kassim Majaliwa

    DKT. MWIGULU AKABIDHIWA OFISI RASMI Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba leo Novemba 17, 2025 amekabidhiwa Ofisi na Waziri Mkuu Mstaafu Kassim Majaliwa, Mlimwa Jijini Dodoma Novemba 17, 2025. Viongozi waliohudhuria hafla ni pamoja na Naibu Waziri Mkuu Mstaafu Dkt. Doto Biteko, Makatibu...
Back
Top Bottom