Serikali yoyote halali na yenye kujiamini, haiwezi kupoteza muda na heshima yake kuvamia ofisi ya mitandao kama ilivyotokea kwa ofisi za JF.
Kwanza, nalaani kitendo hiki cha kichovu na kizwazwa, na pia, naitaka serikali ilaani kama kweli aihusiki.
Pili, naitahadharisha serikali kuwa isipokuwa...
Hata kama ni serikali wafuate utaratibu wa kuingia kwenye ofisi za watu na sio kuvamia hovyo hovyo tu
Nashauri mwanasheria wa JF afungue kesi zidi ya wavamizi hao
Taarifa ya Ofisi ya Waziri Mkuu:
Kwa bahati mbaya, hii inazungushwa zaidi na magaidi wa Hamas ambayo hawana jipya.
Vita vinaweza kumalizika mara moja kwa masharti yaliyowekwa na Baraza la Mawaziri la Usalama:
1. Mateka wote waachiliwe .
2. Hamas wanyang’anywe silaha.
3. Ukanda usiwe na...
Ili suala tulishwahi kusema hapa ila linafichwa sana. Jana mweshimiwa Polepole alitaja kuhusu mitandao ya kijamii watu wameajiliwa wakiwa na ID nyingi kila mtandao wakiendeleza ajenda zao.
Moja yao wapo hapa JF.
Yani utasahangaa UZi umeanzishwa halafu sekunde wanakuja kujibu kuunga hoja wakina...
Aliyekuwa Katibu Mwenezi, ACT-Wazalendo Mkoa wa Dar es Salaam, Monalisa Ndala amesema ameiomba Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa ichukue hatua kali na za kinidhamu dhidi ya chama hicho kutokana na kuvunja Katiba ya chama na Sheria ya Vyama vya Siasa.
Mbali na hilo amesema amewasilisha...
Binafsi ni mdau wa makazi yaliyopangwa na kupewa matumizi kulingana na mpango wa eneo husika.
Kifupi uwa ninahisi kero kupita sehemu ambazo zina ujenzi holela, kwa mantiki hiyo nimekuwa nashawishika kununua maeneo yaliyopimwa. Nilifanikiwa kununua eneo Dodoma (mtumba) na kufanya malipo...
Waratibu: NN, JM, LN na ‘wazee wa kazi’
Na recruitment ya IT Experts wengine kutoka CoICT ya UDM iliyofanywa mapema Juni imeenda mbali kuhakikisha ushindi wa kishindo.
Lakini, kwani kuna uchaguzi? Mbona zinatumika pesa nyingi bila sababu?
DKT. MWIGULU NCHEMBA ASISITIZA UWAJIBIKAJI KWA WATUMISHI OFISI YA HAZINA NDOGO KIGOMA
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, ametembelea Ofisi zilizo chini ya Wizara ya Fedha Mkoani Kigoma na kuzungumza na Watumishi wa Taasisi hizo kuhusu mambo mbalimbali yanayohusu shughuli za maendeleo...
Waziri wa Mambo ya Nje Gideon Sa’ar ataondoka leo (Jumanne) kwa ziara ya kidiplomasia barani Afrika, ambapo atazindua Ubalozi wa Israel nchini Zambia. Akiwa nchini Zambia, Waziri Sa’ar atakutana na Rais Hakainde Hichilema, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mulambo Haimbe, na...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, sio lazima apendwe na kila mtu — hiyo ni kawaida katika uongozi. Lakini ni LAZIMA aheshimiwe na kila raia bila kujali tofauti za kisiasa, kiimani au mitazamo ya kijamii.
Kuongezeka kwa lugha za matusi, kejeli na dhihaka dhidi ya...
Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kutoa ushauri kwa Mkurugenzi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) kufuatilia utendaji wa baadhi ya Watendaji wake wa Tawi la Dodoma akidai hawana huduma nzuri na wamekuwa wakimzungusha muda mrefu anapofuatilia stahiki zake, ufafanuzi...
TikTok inakabiliwa na mgomo mkubwa wa wafanyakazi nchini Ujerumani hasa katika ofisi yake ya Berlin Kufuatia uamuzi wa kampuni hiyo wa kuwafuta kazi takriban wafanyakazi 150 kutoka idara ya "Trust and Safety" na "Live". Wafanyakazi hawa walikuwa wakihusika na usimamizi wa maudhui na usalama wa...
Video hii inakuonyesha makumi ya kina mama wakiwa wameacha watoto na waume zao wako kwenye foleni ya mgao wa rushwa angalia video hii sungura anamla sungura !!
Leo tarehe 3 Agosti 2025 nimepita kwenye Ofisi za CCM Wanging'ombe hapa Mkoani Njombe, nimekuta baadhi ya Wanafunzi wakiwa nje ya Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Wanging'ombe.
Sijajua nini hasa ambacho kinaendelea lakini imenishangaza kidogo kuona Wanafunzi wakiwa nje ofisi hiyo...
Habari wakuu wa JamiiForums,
Kwa heshima na taadhima, napenda kushiriki nanyi taarifa njema kwa wale wote wenye magari na ambao wamewahi kupata huduma kutoka Jerry Spare Parts & Services, kampuni inayopatikana Makumbusho, Dar es Salaam. Kama sehemu ya shukrani kwa wateja wao waaminifu, kampuni...
THE CIVIC UNITED FRONT(CUF- Chama Cha Wananchi-Cuf
CUF- Chama Cha Wananchi imepata ushindi kwenye Kesi iliyofunguliwa na ACT- Wazalendo ya kudai Ofisi ya CUF Wilaya ya Kilwa kwamba ni mali yao waliyopewa na Seleman Bungara (BWEGE).
Mahakama jana Julai 30,2025 imetupilia madai hayo (Madai Na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.