Maendeleo hayana chama: Jengo la ofisi za CCM mwenge lavunjwa kupisha ujenzi wa stendi ya kisasa ya Daladala

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,904
141,855
Jengo la ofisi za CCM pale mwenge ambalo linafanana kwa ukubwa na uzuri na makao makuu ya Chadema pale Ufipa limevunjwa ili kuruhusu ujenzi wa stendi ya kisasa ya Daladala itakayokuwa mbadala wa makumbusho.

Stendi hiyo inayojengwa na Suma JKT ujenzi wake unaenda sambamba na ujenzi wa barabara ya kisasa kama Japan ya Mwenge hadi Morocco.

Tunawashukuru sana CCM kwa uzalendo wenu.

Maendeleo hayana vyama!
 
Makumbusho wanahakishaje stand wakati watu tumewekeza pale.

Pia wanawkaje stand mwenge karibu na mataa?
Jengo la ofisi za CCM pale mwenge ambalo linafanana kwa ukubwa na uzuri na makao makuu ya Chadema pale Ufipa limevunjwa ili kuruhusu ujenzi wa stendi ya kisasa ya Daladala itakayokuwa mbadala wa makumbusho.

Stendi hiyo inayojengwa na Suma JKT ujenzi wake unaenda sambamba na ujenzi wa barabara ya kisasa kama Japan ya Mwenge hadi Morocco.

Tunawashukuru sana CCM kwa uzalendo wenu.

Maendeleo hayana vyama!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..lilijengwa enzi za chama kushika hatamu.

..hilo lilipaswa kuwa mikononi mwa serikali siyo ccm.
 
Da this country bwana stand ya mwenge ilikarabatiwa ikavunjwa ikajengwa makumbusho nao mwenge Tena? Hivi hii miradi haiko planned watu wanakurupuka tu?Ni kupoteza pesa za walipa Kodi tu
 
Ile ya makumbusho ni ya mwekezaji binafsi na hii ya Mwenge ni ya serikali bwashee!
 
mkuu kumbe mpaka morocco ipo ccm angaliaeni kuna corana huko ikiingia lumumba itawamaliza
 
Back
Top Bottom