ofisi

  1. J

    JamiiForums Tanzania Kawaida akiwasili Ofisi za Makao Makuu ya UVCCM Dodoma

    KAWAIDA AKIWASILI OFISI ZA MAKAO MAKUU YA UVCCM DODOMA 📍UVCCM TAIFA 16 Septemba,2024 Mwenyekiti wa UVCCM Taifa ndugu Mohammed Ali Kawaida (MCC) Akiawasili ofisi za makao makuu UVCCM Taifa kwa ajili ya kuongoza kikao Cha Kawaida Cha kamati ya Utekelezaji #KijanaNaKijani...
  2. J

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Meza na Kiti chake(Vya ofisi)

    Nauza meza na kiti vya ofisini, vimetumika mwezi mmoja tu. Nimevinunua jumla laki 5 na nusu. Naviuza laki 3 tu sababu nina hama mkoa nimepata uhamisho wa kikazi, sifungui tena ofisi. Kama una vihitaji nicheki Whatsapp au simu kawaida 0767891122. Vipo Kijitonyama.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Tazama katika Picha, Ofisi ya CHADEMA Mkoani Mbeya

    Ndugu zangu Watanzania, Tuseme nini muelewe ya kuwa CHADEMA ni chama cha kitapeli na ubabaishaji? Tuwaonyeshe nini muelewe ya kuwa CHADEMA ni genge la wasaka Tonge na wachumia tumbo? Tuongee na kuzungumza nini muelewe ya kuwa hiki ni chama cha madalali wa kisiasa tu wasio na mipango wala...
  4. milele amina

    JamiiForums Tanzania Ninaomba kupata mwongozo wa kutembelea ofisi za JamiiForums, kama mwanachama wa JF.

    Ninaomba kupata itaraibu mzima, wa kutembelea Ofisi za Jf. Ni muda mrefu sana,Nina hamu kufika na kuzungumza nao,na kuwaeleza mambo mawili matatu. Je, kuna mtu maalum wa kuwasiliana naye kabla ya kufika ofisi za Jf?
  5. T

    JamiiForums Tanzania Je unatafuta Furniture na mionekano inayolingana na Mtindo wa Nyumba au ofisi Yako?!

    Habari za leo! Ikiwa umewahi kufikiria jinsi nyumba yako inaweza kuwa na muonekano wa kipekee na kuvutia, Afro Eco Wood Designs ndiyo jibu unalotafuta. Tunatoa huduma ya kudesign furniture na muonekano wa maeneo ya nyumba na biashara kwa kutumia mbao , ambapo tunachukua mawazo yako na...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Huduma ofisi za serikali tumerudi awamu 4. Mitano tena HAPANA.

    CCM Kwa katiba iliyopo bado mtaiba kura na mgombea wenu atapita. Ushauri wangu kuwenu serious basi badilisheni gia angani huyu mama akacheze na wajukuu Kizimkazi, hali siyo kabisa serikalini. Magufuli sikuwahi kumpenda lakini kusimamia utendaji wa serikali alikuwa very smart pamoja na madhaifu...
  7. Rightman

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Mhe. Waziri wa nchi ofisi ya raisi (TAMISEMI), Mhe. Mohamed Mchengerwa

    YAH: MADAI MBALIMBALI YAKIWEMO POSHO YA KUJIKIMU WATUMISHI AJIRA MPYA, MALIPO YA LIKIZO NA MALIPO YA SAFARI ZA KIKAZI KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA NGARA Mhe Waziri wa TAMISEMI, kumekuwa na changamoto na usumbufu mkubwa sana juu ya stahiki mbalimbali za watumishi katika Halmashauri ya Ngara...
  8. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Ofisi za mkuu wa wilaya ya Chalinze ziko wapi?

    Naomba nielekezwe ofisi za mkuu wa wilaya ya chalinze Sio za HalmashaurI ya wilaya,bali mkuu wa wilaya
  9. Supercomputer

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio sifa za kazi

    I)Kama Kuna wi-fi ii)Hubadilishi nguo za kazi iii)kuna breakfast asubuhi Taja sifa zingine za kazi
  10. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Ofisi za Makao Makuu ya Simba

  11. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Ili ushinde kesi kirahisi, tafuta mwanasheria anayeshinda mahakamani kwenye ofisi za makarani.

    Kwani wana muunganiko mzuri na makarani na waheshimiwa mahakimu, infact ni timu ya ushindi wa haraka na mapema!. -Wana muunganiko wa karibu mno hata katika kupindisha sheria. # ILALA # KINONDONI # TEMEKE -Intelegency! -Tutaendelea kuanika zaidi hapa!
  12. H

    JamiiForums Tanzania Ofisi za TRA wanasumbua kusaini au kugonga mihuri kupokea barua

    Habarini, Kumekuwa na tabia ya baadhi ya ofisi za serikali hasa naadhi ua ofisi za TRA kupokea barua na kukataa kugonga mhuri wa received kwenye barua ya pili anayobaki nayo mteja kwaajili ya kumbukumbu zake kwa madai wamekatazwa kufanya hivyo hadi mteja aje na dispatch book. Hivi hii...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Dar: Ofisi nyingi za Serikali za Mitaa hazina vyoo, Viongozi na Wananchi wanateseka, Mamlaka chukueni hatua hii ni aibu

    Wakati Serikali na wadau mbalimbali wakisisitiza umuhimu wa jamii kuwa na vyoo bora ambavyo vinaweza kuepusha baadhi ya magonjwa yakiwemo ya milipuko, upande wa ofisi nyingi za Serikali za Mitaa hazina vyoo kabisa huku kati ya ofisi zenye huduma hizo baadhi vyoo vyake hivipo katika hali ya...
  14. Wordsworth

    JamiiForums Tanzania Ofisi za Madereva wa Serikali ni zipi?

    Hakuna ofisi maalum ya madereva wa serikali (wakiwemo wa halmashauri na wizara mbalimbali) kutumia wakati wanasubiri mabosi wao watoke ofisini au kwenye mikutano ya kujenga taifa? Naona kama wanachoka sana, wengine utawakuta wanawasubiri mabosi wakiwa wamejibanza kwenye vibanda vya karibu vya...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Nani anafahamu kampuni au ofisi inayomilikiwa na Nape au Makamba? Kama hawana ofisi watakubali kuishi bila kazi ya uteuzi?

    Viongozi wengi wa kisiasa Tanzania hasa wa chama tawala hakuna kumbukumbu zao za kumiliki biashara wala ofisi au kampuni. Mfano Nape na Makamba tofauti na kazi ya ubunge qwalipaswa kumiliki kampuni na ofisi kwa ajili ya kuanza kufanya kazi kipindi hiki ambacho wametambuliwa. Kukosa ajira ya...
  16. Desierto

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelimishwa kuhusu hii ofisi yangu TRA wanataka niwe na leseni.

    Wameahidi tar 1 watakuja kunifungia kama sitakata leseni ya biashara ambayo gharama yake ni 80 Na mm kwa sasa sina mpango was kukata leseni sababu sina huo uwezo kwa sasa kazi yangu ndo kama unavoiona hapo.
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aagiza Mtoto mwenye ulemavu wa mguu apatiwe Mguu wa Bandia kwa gharama za Ofisi ya Rais

    Rais Samia Suluhu Hassan akitoa maelekezo kuhusu mtoto mwenye ulemavu wa mguu kufanyiwa mchakato wa kupewa mguu wa bandia kwa gharama ya Ofisi ya Rais. Ametoa maelekezo hayo kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Tunduma Mkoani Songwe, Mariam Chaurembo wakati aliposimama kuzungumza na Wananchi wa...
  18. MIMI BABA YENU

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan azindua Jengo la kisasa la Ofisi za Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi

    HABARI PICHA: Matukio mbalimbali wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Jengo la Ofisi la Jeshi la Polisi Mkoani Katavi. Jengo hilo litakuwa linatumiwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi pamoja watendaji wake wote walio chini yake ndani ya Mkoa...
  19. Cantona fundi mkuu

    JamiiForums Tanzania Ofisi za crown FM zpo wap?

    Wakuu naomba kuuliza ofisi za crown FM radio zpo wapi? Nikaombe Kaz na mm ya photographer na videographer na uandaaji wa vipindi Mwenye kufahamu anokuze .. ,🙏🙏
  20. W

    JamiiForums Tanzania Nigeria kusitisha matumizi ya Plastiki katika ofisi za Serikali

    Nigeria imetangaza kusitisha matumizi ya plastiki leo Juni 27, 2024 katika ofisi za serikali kama hatua ya awali kabla ya kusitiza matumizi ya kitaifa kuanza Januari 2025 Kulingana na tafiti zilizofanyika na Shirika la (US Agency for International Development) zinaonyesha kuwa Nigeria ni...
Back
Top Bottom