Tanzania tuitakayo Ofisi ya CAG ipewe mamlaka kamili Kama chombo kinachojitegemea na kujitosheleza Kama ilivyo TAKUKURU. Yaani wawe na mamlaka ya kumfikisha mahakamani na kumfungulia mashitaka kiongozi au mkuu wa taasisi baada ya kujiridhisha alifanya/amefanya ubadhirifu. Hii itaondoa dhana iliyopo kwa Sasa kuwa Ofisi ya CAG Haina meno.