ofisi

  1. T

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna ofisi ina urasimu na usumbufu kushinda ardhi?

    Wakuu Nimefanya maombi ya hati ya ardhi mwaka wa pili unakatika. Kutoka dawati moja kwenda lingine faili linaweza kutumia miezi mitatu! Nyie experience zenu zikoje na hizi ofisi za ardhi?
  2. Curtain_mastertz

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Pazia kwa Ajili ya Nyumba na Ofisi

    Habari Wadau.Mimi ni Mdau na nimebobea kwenye Fani ya Utengenezaji/Ushonaji wa Pazia aina zote.karibuni sana Niwahudumie.0782016528
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Ulega akabidhiwa ofisi na Waziri Bashungwa, Wizara ya Ujenzi

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amekabidhiwa rasmi ofisi na aliyekuwa Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ambaye sasa ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kufanya uteuzi na mabadiliko ya Viongozi, Disemba 08, 2024...
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Ulega Akabidhiwa Ofisi na Waziri Bashungwa, Wizara ya Ujenzi

    WAZIRI ULEGA AKABIDHIWA OFISI NA WAZIRI BASHUNGWA, WIZARA YA UJENZI. Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amekabidhiwa rasmi ofisi na aliyekuwa Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ambaye sasa ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia...
  5. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tetesi: Freeman Aikael Mbowe kesho atatangaza rasmi kugombea uenyekiti CHADEMA wakati wa ufunguzi wa ofisi ya CHADEMA Kinondoni

    Kesho CHADEMA watafungua ofisi yao pale Kinondoni ambapo mgeni rasmi atakuwa mwenyekiti wa chama hicho na mtafuta hela wa chama hicho Freeman Mbowe. Mbowe ametafuta platform hiyo ili amjibu vizuri sana Tundu Lissu. Wengi wamemshauri asikae kimya, Yale yote yaliyosemwa na Makamu wake ayatolee...
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Bashungwa Akabidhiwa Ofisi na Masauni, Wizara ya Mambo ya Ndani

    BASHUNGWA AKABIDHIWA OFISI NA MASAUNI, WIZARA YA MAMBO YA NDANI. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amekabidhiwa ofisi na aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni ambaye Sasa ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), leo...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Innocent Bashungwa akabidhiwa Ofisi ya Wizara ya Mambo ya Ndani na Hamad Masauni

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Innocent Bashungwa, amekabidhiwa ofisi na aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhandisi Hamad Masauni, ambaye Sasa ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), leo tarehe 13 Disemba, 2024 jijini Dodoma. Makabidhiano hayo yamefanyika...
  8. infor

    JamiiForums Tanzania Msimamizi wa ofisi anahitajika

    Anahitajika kijana mwenye ujuzi na elimu ya masuala ya biashara hususani kwenye sekta ya miamala ya benki na simu. MAJUKUMU -Kusimamia ofisi inayojishughulisha na masuala ya huduma za fedha (Financial services) -Kuandaa ripoti na hesabu za ofisi -Kubuni na kuteleza mikakati ya kuipanua na...
  9. Lonestar

    JamiiForums Tanzania Kwanini PSSSF hawana ofisi wilayani?

    Hivi kwanini PSSSF hawana ofisi wilayani maana kuna watu wanasafiri umbali mrefu kufuata huduma mkoani kwa nn wasiweke mwakilishi hata mmoja wilayani
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Polisi wafafanua tukio la Wakili Lusako Alphonce kukikimbizwa na Polisi katika Ofisi za "Reachout Tanzania"

    TAARIFA KWA UMMA Taarifa iliyo upande wa kushoto inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii, Jeshi la Polisi lingependa kuitolea ufafanuzi ili isiendelee kuleta taharuki ambayo si ya lazima. Ni kweli Askari Polisi walifika eneo hilo kumkamata mtuhumiwa anayejulikana kwa jina la Emmanuel Mweta...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Makumbusho: Polisi wadaiwa kuvamia Ofisi za "Reachout Tanzania", wakidai kumtafuta Wakili Lusako Alphonce, ambaye hakuwa ofisini

    Polisi wenye silaha wadaiwa kuvamia ofisi za Taasisi ya Reachout Tanzania zilizopo maeneo ya Makumbusho jijini Dar es Salaam, wakidai kumtafuta Mwanasheria wao Lusako Alphonce, ambaye hakuwa ofisini. Polisi hao, wakiwa na sare na wengine hawana sare, walitishia kuvunja milango licha ya kuambiwa...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Njombe: Mwenyekiti wa Kijiji kupitia CCM akimbia ofisi baada ya kupokea vitisho

    Barua za vitisho zilizosambazwa na watu wasiojulikana zimesababisha taharuki kubwa katika ofisi mbalimbali za kata ya Ruhuhu, wilayani Ludewa, mkoani Njombe. Kwa mujibu wa kituo cha habari cha Kings FM, barua hizo ziliripotiwa kubandikwa usiku wa kuamkia Desemba 3, 2024, kwenye ofisi za...
  13. Emilio Mzena

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Diamond yupo mbioni kuzindua jumba lake la kifahari pamoja na ofisi mpya za Wasafi Media

    Za ndaaaani kabisa Msanii Diamond Platnumz yupo mbioni kuzindua jumba lake la kifahari pamoja na ofisi mpya za Wasafi Media. Ikumbukwe ofisi za sasa za Wasafi Media ni za kupanga. Hivyo mwana anataka uzinduzi wa Mjengo wake mpya ambao utakuwa gumzo jijini uendane sambamba na ofisi za Wasafi...
  14. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania Ofisi za TRA nchi nzima kuwa wazi Jumamosi ya tarehe 30.11.2024

  15. Panctuality

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa zilipo ofisi za Tume ya Maendeleo ya Ushirika (TCDC) Dodoma

    Habarini wenyeji wangu. Kwa mwenye kuzijua ofisi za Tume ya maendeleo ya Ushirika TCDC Dodoma anielekeze na kama una chombo cha moto kama boda boda anipeleke asubuhi hii majira ya saa mbili.
  16. kwa-muda

    JamiiForums Tanzania Kumbe ni Obama aliyeiomba Qatar iwape Hamas ruhusa ya kuweka kambi yao na ofisi huko

    Historia bwana tamu sana. Leo wakati natazama vintage mwadada Palki akanirudisha mwaka 2007, ambapo hamas ilishinda uchaguzi na nchi zote zikakataa kutambua serikali yake isipokuwa Turkey na Qatar. Mwaka 2011, Obama akaomba Qatar iwapatie hamas ruhusa ya kuweka ofisi zao Doha na isaidie...
  17. DolphinT

    JamiiForums Tanzania KERO Kituo cha Daladala Mbezi Mwisho hakina mpangilio wa huduma: TANROADS, Jeshi la Polisi, DED Ubungo na Ofisi ya RC ujumbe huu unawahusu

    Kituo cha Daladala cha Mbezi Mwisho ni mojawapo ya vituo vikubwa na vyenye umuhimu mkubwa Jijini Dar es Salaam. Kituo hiki kinapokea abiria kutoka maeneo mbalimbali ya jiji na pia kinahudumia abiria wanaosafiri kupitia Stand Kuu ya Mabasi ya Kimataifa ya Magufuli. Pamoja na umuhimu wake mkubwa...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Hivi Serikali ilipohamia Dodoma ilikuwa ni Majengo na Ofisi lakini Watawala walibaki DAR?

    Leo nimeona WATAWALA wana wahi kwenye eneo la MAJANGA kariakoo, ni kwamba wanaishi hapa hapa DAR es Salaam au waliletwa kutokea Dodoma? Kama bado wapo Dar es Salaam, nani alienda Dodoma? na Kwanini wao bado wanaishi Dar es Salaam badala ya kuwa Dodoma? PIA SOMA - LIVE - Live Updates Kuporomoka...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Juliana Masaburi Atoa Rai Ofisi ya Waziri Mkuu, Mifuko 71 Iwafikie Vijana Mikoani na Wilayani

    JULIANA MASABURI ATOA RAI OFISI YA WAZIRI MKUU, MIFUKO 71 IWAFIKIE VIJANA MIKOANI NA WILAYANI Akizungumza katika Kongamano la Fursa za Kiuchumi kwa Vijana Mkoani Mara Wilaya ya Tarime lililofanyika tarehe 14 Novemba, 2024 katika Ukumbi wa CMG, Mbunge wa Viti Maalum Vijana Tanzania, Mhe. Juliana...
  20. NYOLODO

    JamiiForums Tanzania Nauza pochi kali, ofisi yangu ipo Kawe Ukwamani

    Wakuu kwema? Mzee wa machimbo leo chimbo mimi mwenyewe. Naweka mfululizo wa pochi kali ninazoleta kutoka china mimi mwenyewe Ofisi yangu iko kawe ukwamani. Frem mpya za Lugalo Mikoani utatumiwa kwa uaminifu mkubwa kabisa Mawasiliano: 0628731833/0778321833
Back
Top Bottom