nzuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Faana

    Msaada: Lodge nzuri Ngerengere

    Naomba msaada kwa anayeijua vizuri Ngerengere, nina wageni wanataka kwenda huko je kunapatikana lodgings nzuri? Bei gani? Je upatikanaji wa chakula upoje? Na umbali gani kutoka stesheni ya sgr? Natanguliza shukururani
  2. W

    USB cable zipi za kuchajia simu ni nzuri kwenye maduka ya mtaani ?

    nahitaji kwenda kununua usb type c cable ya kuchaji simu, naombeni ushauri wenu
  3. Kisesetusese

    Wadau wa Elimu naomba kujua shule nzuri ya wasichana iliyopo Arusha

    Iwe na sifa hizi. -Ada nafuu -Elimu Bora -Isiyo na makuu -Iliyotulia -Watoto wa hali zote -kidato cha 1-6 Nk My take. Hizi shule tunazopeleka watoto zinachangamoto nyingi, ukute shule walimu hawajitumi. Lkn kuna shule walimu wanafanyakaz ya Mungu. Hizi shule zenye walimu wa aina hii kumtumikia...
  4. Bwege2030

    Uhalisia ni kwamba,humiliki chochote hapo ulipo,ile gari Yako uliyonunua hivi karibuni siyo Yako,nyumba nzuri uliyojenga siyo yakwako humiliki kitu

    Umiliki na Usajili wa Mali Wapenzi wageni, mabibi na mabwana, leo tunakusanyika kujadili mada muhimu inayohusiana na umiliki na usajili wa mali. Katika ulimwengu wa kisasa, neno "usajili" limekuwa na maana pana, na linaweza kuhusishwa na masuala mengi, ikiwemo usajili wa magari, nyumba, na hata...
  5. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Wakuu kati ya kampuni hizi za sola D.light, MySol, SunKing na nyingine unazozijua ipi imara na mzuri?

    Inshallah mwakani nitakuwa porini kwenye shughuli za ufugaji na kilimo. Naomba Kwa wanao jua nitahitaji mambo wa solar Kwa ajiri ya mwaga,kutotoreshea vifaranga na burudani kidogo si unajua porini Tena. Mimi binafisi nilinunua mtambo wa mySol Kwa mkopo kama m3 na ushee mtambo wa kati na ipo...
  6. C

    Wireless access point nzuri

    Habari wana jamvi poleni kwa miangaiko na kwa yanayoendelea nchini. Bila ya kuwachosha niende moja kwa moja kwenye point. Naombeni wadau wa taaram wa mambo ya tehama kuanzia mfumo mpaka vifaa nisaidieni ni wireless access point ipi nzuri ambayo ni kiifunga kwenye point inaweza kusukuma mawimbi...
  7. music mimi

    Msaada: Natafuta digital camera na printer nzuri kwa ajili ya biashara ya passport size photos

    Wadau wa technology. Naomba msaada wa mawazo yenu, najua mpo wenye experience ya kutosha kwenye hivi vifaa. Nataka kununua digital camera na printer mahsusi kwa ajili ya kazi ya picha za passport. Nahitaji kwa ajili ya kutoa passport za haraka zile za dakika 3. Nachoitaji ni kusaidiwa jina...
  8. Lord Denning

    Sina kumbukumbu kama amewahi kutokea Mwanasiasa mwenye akili nzuri na smart nchi hii kama Tundu Lissu

    Mpende mchukie The guy is truly gifted. Huyu jamaa sio wa sayari hii. Sidhani kama Tanzania imewahi kupata mwanasiasa smart na aliyejaaliwa akili kubwa kama huyu. Akiongea. Hata uwe kilaza wa namna gani lazima utamsikiliza na kumuelewa. Akiwasilisha hoja hata uwe unamchukia na haumpendi kiasi...
  9. USSR

    BIHARAMULO: Wadau wa maendeleo kukabidhi tuzo kwa DC Advera na mbunge Chiwelesa kwa kazi nzuri .

    WADAU WA MAENDELEO YA WILAYA YA BIHARAMULO WAMEANDAA TUZO MAALUMU KWA VIONGOZI WETU .Mh,Mkuu wa Wilaya ya biharamulo SACP ADVERA BULIMBA na Mhe mbunge wa biharamulo Eng Ezra John Chiwelesa. Tangu SACP Advera Bulimba awasili biharamulo mji umetulia na kutoa wasaa kwa kila mkazi kufanya shughuli...
  10. Setfree

    Marekani ina katiba nzuri na mfumo mzuri wa uchaguzi, lakini vurugu na risasi havikomi — Kwanini?

    Marekani ni taifa linaloheshimika duniani kwa kuwa na katiba ya kihistoria yenye kuheshimu haki za binadamu, pamoja na mfumo wa kidemokrasia ulio imara. Chaguzi za Marekani huendeshwa kwa uwazi na uhuru mkubwa. Licha ya hayo yote, bado katika Taifa hilo kubwa duniani, tunashuhudia matukio ya...
  11. screpa

    Perfurmes gani nzuri kwa bei ya elfu10 hadi elfu30?

    Perfume gani za bei hizo za 'mtanzania' ambazo walau ni standard na bei wanayoimudu wengi?
  12. W

    Nataka kununua mashine ya kufulia nguo, ni mambo yapi niyazingatie ?

    Bajeti yangu ni shilingi laki 7,nahitaji kununua mashine ya kufulia nguo Ni mashine ipi nzuri pamoja na model yake Mashine ambayo hata ikiharibika spea zimejaa na mafundi wengi wanaziweza
  13. Bpk

    Ipi ramani nzuri kati ya izi mbili apa chini

  14. Bpk

    Ipi ramani nzuri kati ya hizi mbili hapa chini?

  15. Bpk

    Ipi ramani nzuri kati ya izi mbili apa chini

  16. Pro Mwl

    AMANI IWE JUU YENU......NAOMBA KUELEWESHWA KUHUSU TOYOTA COROLLA FIELDER NA RUMION IPI NZURI ZAIDI BONGO, ULAJI WA MAFUTA, VIPURI NA UIMARA

    AMANI IWE JUU YENU......NAOMBA KUELEWESHWA KUHUSU TOYOTA COROLLA FIELDER NA RUMION IPI NZURI ZAIDI BONGO, ULAJI WA MAFUTA, VIPURI NA UIMARA
  17. MaT2B

    Niko na 510K Natafuta Simu Nzuri, Nisaidieni Kabla Sijaingizwa Mjini DSM Na Wingbacks.

    Watalamu wa tech nipeni suggestions. BRands kama Samsung na Xiaomi. Chief-Mkwawa ,
  18. Yoda

    Matumizi ya pombe kupungua kwenye nchi ni habari nzuri au mbaya?

  19. R

    Nina perfume nzuri sana bei mserereko hutojutia

    Perfume nzuri za Dubai nicheki au tutembelee sinza karibu na wanyama hotel 0769618684
  20. U

    Nashauri John Heche akamatwe haraka na kushtakiwa kwa . matamshi hatarishi yanayoharibu tashwira nzuri ya taifa na Rais wetu

    Wadau hamjamboni nyote? This is so serious, the man should be taken into jail Ni mtu anahatarisha Usalama wa ndani na kuharibu tashwira nzuri ya Rais wetru, he's so deadly dangerous judging by his statements . the law enforcement agency should do the needful before it's too late. It's now...
Back
Top Bottom