nzuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    JamiiForums Tanzania Fahamu aina nzuri ya website au blog kulingana na mahitaji yako pekee

    Habari wakuu, Katika ulimwengu wa kidijitali, kila siku tunashuhudia watu wengi wakifungua website au blog kwa madhumuni tofauti. Hata hivyo, si kila aina ya website au blog inaleta matokeo mazuri. Ili kufanikisha malengo yako mtandaoni, ni muhimu kujua aina bora ya website au blog kulingana na...
  2. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Kama unamiliki Pikipiki jifunze namna nzuri ya kuitumia hapa.

    Pakia abiria na mizigo mingi kwa kutumia maarifa haya https://www.youtube.com/shorts/82dihdK1Fuw
  3. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Ziwe nzuri zisiwe nzuri je imekuwaje zimevuja?

    Hili limeniacha hoi sana, linapokuja swala la kuvuja kwa jezi tena kwenye taasisi kubwa kama ya Simba na Jrutty. Hapa tuseme kuna watu ndani ya simba hawana vifua? Au kuna watu ndani ya simba ni YANGA? Au tuseme zimefujishwa kusudi ? Au sio mbaya?
  4. ngara23

    JamiiForums Tanzania Ipi ni AI nzuri kutumia kati ya Deepthink na ChatGPT?

    Hizi ni artificial Intelligence ambazo zinatamba Kwa Sasa? Kwako wewe mdau ipi Iko better?
  5. FUTURE HUNTER

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa simu nzuri kwa bajeti ya shilingi milioni moja

    Salaam Wakuu, Naombeni mapendekezo ya simu the best kwa bajeti isiyozidi tsh milioni moja [1,000,000]. Nilikuwa natumia samsung a52 5g kwa bahati mbaya kioo kimeenda. Vigezo navyozingatia ni storage (8+256) and above ,powerful chip, camera nzuri,kioo,fast charge capacity muonekano.Nimekuwa...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Jezi mpya za Simba zimevuja, Kama ni kweli ndio zile ni nzuri sana ila bado watu wabaya hawajafa ndani ya timu yetu na tujiandae kudhalilika tena

    Baada ya wao kutoa jezi mbovu, zinizi na ubora wowote, inasemekana jezi mpya za Simba zimetoka, wanaozipost ni washabiki wa Yanga pamoja na mwandishi kanjanja İbrahim Ambokile. Kama kweli zile ni jezi za Simba nimezipenda na nitazinunua za rangi zote, ni jezi zenye Quality ya kutosha, yule Ali...
  7. I

    JamiiForums Tanzania 🔥 Je, SSD Yako Ina Afya Nzuri? Hivi Ndio Namba Zinavyosema

    🔥 Je, SSD Yako Ina Afya Nzuri? Hivi Ndio Namba Zinavyosema Wengi hudhani SSD (Solid State Drive) ikishafanya kazi basi haina matatizo—lakini ukweli ni kwamba, kila SSD ina maisha yake. Kila namba unayoiona kwenye SMART data au software ya monitoring ni kama kura kwenye uchaguzi: inakueleza...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kampeni ya nishati safi kwa wote na anayosema Polepole kuhusu vitmbulisho vya NIDA

    Ni jambo jema kutumia nishati isiyochafua mazingira na kuumiza watumiaji. Tatizo la wanasiasa wetu kila wanachokipigia debe nyuma yake wanasukumwa na faida binafsi. Watu wanahoji yafuatayo: 1. Kwanini nishati safi suala la matumizi ya gesi linasisitizwa zaidi huku umeme ukiachwa? 2. Kwanini...
  9. Royal Son

    JamiiForums Tanzania Mashine ya Umeme ya Kunyoa (Electric Shaver)

    ✨ Mashine ya Umeme ya Kunyoa (Electric Shaver) ✨ ✅ Unyoaji safi bila maumivu ✅ Rahisi kubeba – inatoshea mfukoni ✅ Betri ya kudumu, chaji mara moja tumia muda mrefu ✅ Muundo wa kisasa na rangi mbalimbali 💰 Bei: Tsh 30,000/- 📍 Arusha Mjini 📞 0721 235 0159 (Piga/Wh
  10. Daby

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa Reality TV Shows: Share reality TV shows nzuri

    Wale wenzangu ambao kila upatapo muda unakimbilia section ya reality TV shows pita hapa. TV shows zangu mara nyingi naangalizia Netflix, DSTV[app] na Showmax. My favorite so far: 1. Young, famous & African -hii tupo season ya tatu sasa. 2. Temptation island 3. Too hot to handle 4. Forever...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Wakuu sehemu nzuri Dar ya kuchill, kuangalìa mpira na chakula

    wakuu niko dar ni mgeni wa jiji naombeni mnambie sehemu nzuri kuchill kula na kuangalia mpira asanteni
  12. Hharyson

    JamiiForums Tanzania Unahitaji nyumba nzuri na hii ni moja ya design kali yenye 4 bedrooms, fit on 900sqm plot. Call us kupata huduma 0624004650

    HII DESIGN INA; 1. ENTRACE LOBBY TO LOUNGE ,DINNING, OPEN KITCHEN WITH STORE AND LAUNDRY 2. 4BEDROOMS (WITH CLOSET),ALL SELF AND MASTER BEDROOM HAVE RELAXATION PATIO SISI TUNAHUSIKA NA UJENZI + DESIGN + USHAURI CALL/WHATSAP +255624004650 TUNAPATIKANA SINZA DAR ES SALAAM
  13. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Samia au mtoto kwa kikwete walikuwa wana nafasi nzuri ya kushinda uraisi kwa haki sio kwa njia hii wanayoitumia

    Katika uhalisia samia alianza vizuri na alikuwa na njia zote za kujenga akubalike kama raisi ambapo hata tungeweka tume huru angeshinda lakini amefanya makosa na amechagua njia mbaya inayomchafua kwenye sura za nchi na za kimataifa njia mbaya sana. Mtoto wa raisi mstaafu kikwete pia alikuwa na...
  14. PLOII

    JamiiForums Tanzania AsanteStars kwa kazi nzuri; Ila mashabiki tunazingua kiukweli watu wamekaa mavitambi hata kushangilia hakuna shame upon us

    Habari zenyu bhana najua hazina majotooo ! Kiukweli vijana wanapambana though kuna makosa mengi especially kwenye eneo la striking mostly huwa hamna utulivu mzuri wa kujenga mashambulizi pia middles zinapaswa kuwa na utulivu na kusogea mbele kwa speed. All in All vijana wanaubonda Hongera sana...
  15. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania NYUMBA MPYA INAUZWA,IPO KUNDUCHI BEACH DARESSALAAM TANZANIA,NI NYUMBA NZURI SANAAA,NA IMEJENGWA KWA UBORA SANA,BEI NI BILLION 2 PESA ZA KITANZANIA

    #houseforsale Nyumba ya gorofa tatu ground floor 1) 1 bedroom en-suite 2) kitchen with separate dish washing room 3) kitchen pantry 4) laundry room 5) computer room 6) entertainment room 7) combined dining room area and sitting room area 8) separate sitting room 9) common toilet first...
  16. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania Kwa mwanaume, biashara gani ni nzuri kumfungulia mapenzi wako?

    Toa sababu na maslahi yapi kwa familia Yako 👇👇👇
  17. M

    JamiiForums Tanzania Tiba ya Mshipa kwa Mzee wa Umri miaka65 hospital Gani nzuri kufanya operation

    Habar wadau msaada wenu,Mzee wangu Umri miaka65 Leo umemkamata Mshipa wakorodani moja kuuma na nyonga kuachia,ikabid awahishwe hospital akapatiwa sindano Mshipa ukapoa, Sasa nauliza tiba yake huwa ni nin,naje hospital Gani nzuri kufanya matibabu
  18. M

    JamiiForums Tanzania Teknolojia ni nzuri ila imechangia sana kuwe na ongezeko la Gen - Z kujitenga na jamii

    Kijana anaweza kukaa ndani siku nzima bila kutoka kwenda nje kujichanganya, tena sio nje tu hata humo humo ndani ya nyumba hatoki kujichanganya na wenzake. Laptop na simu zimekuwa bei rahisi sana na zenye teknolojia ya juu sana, Internet zimeshuka sana bei ukiwa na elfu 70 unatumia internet...
  19. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Eti mwanamke anaweza kumkubalia mumewe akimuomba kuzalisha kwa mwanamke mwingine mwenye sifa nzuri sana

    Eti kwa mfano mwanaume alikuwa na ex wake waliopendana ila akazinguaga mwanamme wakaachana na mwanamke alikuwa anampenda Sana huyu mwanamme yaani Sana alijitoa ila jamaa akaleta mawenge.sasa baadae jamaa akapata mke mwingine na wakazaa ila baada ya kama Miaka mitatu wamekutana tena na ex na...
  20. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Zawadi nzuri kwa demu wako ni Simu nzuri, Saa nzuri au Fedha sio nguo za ndani.

    Sasa wewe endelea kumnunulia nguo za ndani, atazivua mbele yetu na kututunuku bila shida yoyote ile.
Back
Top Bottom