Nchi zinazotuzunguka - Kenya, Uganda, Rwanda, Congo, Zambia, Malawi, Mozambique.
Wengine tukisafiri nje basi nightlife huwa inapewa uzito sana.
Tukifika kwenye miji ya watu huwa tunapenda kufanya upopo.
Unatoka club A unaingia club B,
Totoz kama zote zinamulika.
Ukija kucheki muda unakuta...