nzuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    JamiiForums Tanzania Naomba mnisaidie dawa nzuri ya kutibu maumivu ya goti

    Habari ndgu zangu niliumia mazoezini December 2022 goti likavimba baadae nikaenda hospital nikafanya vipimo kama x ray,MRI ya goti ikabainika nimepata impacted Trabecular fracture on medial tibia condyle nikatibitiwa Kwa kupewa dawa kama Diclofenac gel, Cartiflex na steroids injection uvimbe...
  2. JamiiForums Tanzania Katiba ya Tanzania ni nzuri, lakini ya Kenya ni bora zaidi kuliko ya Tanzania

    Inasemekana, Naibu Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Kenya, Jenerali Ogolla, alitumwa kuzuia Ruto asitangazwe kuwa mshindi wa kiti cha Urais Kenya, lakini azma hiyo haikufanikiwa. Viongozi wa Tume ya uchaguzi hawakuuogoopa Ujenerali wake. Waliiheshimu na kuisimamia Katiba yao kikamilifu...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Uwindaji wa Tembo Endulen Umedhoofisha Diplomasia na Kenya

    Habari wadau! Kuna jambo hili linalalamikiwa sana na Serikali ya Kenya kila kukicha serikali imeweka pamba masikioni. Kuna uwindaji wa Tembo wakutisha unafanyika Endulen (kwa wasiojua Endulen ni pori la wanyama lililoko mpakani kati ya Amboseli National park na Tanzania upande wa huko West...
  4. JamiiForums Tanzania Mipango ya kumzika mfalme Charles ineaendelea.Hali yake si nzuri.

    Sisi wote ni wa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea. Nani anayefuatia kushika kiti chake kwa mujibu wa itifaki ya ufalme wa Uiengereza. King Charles’ health ‘not good,’ funeral planning underway: Report
  5. JamiiForums Tanzania How come stand ya wilaya iwe nzuri kuliko ya mkoa

    Mfano ni stand ya Mangaka iliyopo nanyumbu ni kali kuliko stand za songea, Mtwara, Lindi.. Serikali inakuwa inaonaje kuipa wilaya kipaumbele ilihali watu wengi wako mkoani na mzunguko uko mkoani.
  6. JamiiForums Tanzania Sehemu gani inafaa kufungua fremu ya Biashara ya nafaka kwa Dar es Salaam?

    Za jion wana jamii, Naimani mko powa wote Naombeni ushauri kidg kuhus location nahitaj kufungua biashara ya nafaka. Sasa ningependa kujua sehemu imbayo inamzunguko mkubwa wa watu na ambayo biashara hii itafit NB: kwa sasa nataka kuanza rejareja ila mbeleni nitauza na jumla kutegemeana na...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Best place to stay in Kigoma/ Sehemu nzuri za kufikia

    Nategemea kutembelea mji wa Kigoma mwanzoni mwa mwezi wa tano mwaka huu. Kwa mwenye uzoefu na mji wa Kigoma, naomba kufahamishwa sehemu nzuri ya kufikia na maeneo ya kutembelea kwa wiki tatu nitakazo kaa kule. Naenda kupumzika likizo.
  8. JamiiForums Tanzania Hospital nzuri ya wagonjwa wa kisukari

    Habari wakuu, Mzazi wangu anasumbuliwa na ugonjwa wa sukari moyo na figo …kwa siku za karibuni hali imezidi kubadilika anashindwa hata kutembea ,,akila pia anatapika... Nimefikia hatua ya kubadilisha hospitali labda madaktari wanatofautiana tratment na ujuzi Kwa anaejua hospitali naomba...
  9. JamiiForums Tanzania Naishi na Mwanamke Nisiemfahamu, Nahitaji Namna Nzuri ya Kumuacha

    Habari ya Asubuhi Wanajamvi, Poleni na Majukumu ya Weekend na Mliofanikiwa Kwenda Sehemu za Ibada, Mungu Awabariki. Nirudi kwenye Mada Kuu Mnamo J Nne Nilikutana na binti ambae Tulikua tunachat kwa Mrefu tu kwenye Dating Apps, Basi Kama Ujuavyo tumekutana Outing za Hapa na Pale, Stories Mbili...
  10. JamiiForums Tanzania Natafuta furniture kwa bei nzuri

    Habari nilikuwa naomba kuuliza wapi nitapata furniture kwa bei nafuu kidogo! Nimewapigia lifemate wameniambia bei yao inaanza 5m🤣🙌🏽. Naombeni muongozo!
  11. N

    JamiiForums Tanzania KERO Mazingira ya Kituo cha Daladala cha Kivukoni upande wa Kigamboni hali sio nzuri

    Tunaopata tabu ni Sisi Wananchi, kwa hali hiii jamani tafadhali halizetu mbaya, Abiria tunakanyaga matope ili tuingie kwenye Daladala. Hali ni hatari kwa mlipuko wa magonjwa, hii inatia kinyaa hata kupita eneo husika, na mvua hizi zinazoendelea tutarajie hali kuzidi kuwa mbaya. Mamlaka za Dar...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri juu ya huu ugonjwa na wapi naweza kupata huduma nzuri ya matibabu

    Habari wana jamii, Ninasumbuliwa na tatizo la miguu kukaza kuanzia unyayoni mpaka kiunoni na hata mgongoni kiasi kwamba nakosa balance, siwezi kusimama au kutembea muda mrefu mpaka nitumie nguvu kubwa mno pia kukimbia siwezi nikikimbia kidogo tu miguu hukaza na kubana. Naombeni ushauri tatizo...
  13. JamiiForums Tanzania Inasikitisha mno, hali siyo nzuri kabisa kuhusu wastaafu

    Benki ya Standard Chartered iliamua kufanya utafiti wa maisha halisi ya wastaafu wapatao 100.. Kutoka kwenye ajira za Serikalini, Mashirika ya Umma na Makampuni binafsi kwa muda wa miaka mitano (5) wakapata na matokeo yafuatayo: 1. Wastaafu 49 kati ya 100 (49%) walikuwa tegemezi kwa ndugu zao...
  14. JamiiForums Tanzania Nafanya delivery ya kuweka Playlist ya nyimbo za dini kwenye Flash ambayo utasikiliza kwa siku tano hujamaliza

    Nafanya delivery ya kuweka Playlist ya nyimbo za dini kwenye Flash. Ukiplay playlist nzima utasikiliza kwa siku tano hujamaliza. Sifa ya Playlist Ni nyimbo zote nzuri sana pengine hujawahi kusikiliza. Kwakweli utaburudika utaabudu kufurahi na kupata amani ya moyo wako. Piga hii namba...
  15. JamiiForums Tanzania Jiji ni barabara nzuri, nje ya hapo ni vijiji

    Najua kwa hakika kabisa kwamba, kupanda hadhi kwa maeneo, mfano mji kuwa manispaa na manispaa kuwa Jiji Kuna vigezo vyake. Mfano , idadi ya watu, Pato la eneo husika, na sababu nyingine nyingi za kisiasa ambazo sijui kwa hakika zinaingiaje kwenye kupandisha eneo hadhi. Sababu zao zinaweza kuwa...
  16. JamiiForums Tanzania Gari nzuri na dereva kutoka Dar mpaka ifakara

    Habari Tarehe 4 April Nina safari ya kwenda Ifakara na mgeni wangu. Tunaenda ifakara,kutembelea baadhi ya project tunalala na kesho yake kurudi. Nahitaji usafiri 4 wheel,dereva mzoefu na bei ya kwenda na kurudi jumla. Tutakua watatu au wawili. Mwenye kuweza nicheki Dm au comment nikucheki.
  17. JamiiForums Tanzania Inasemekana hii ndio gari nzuri ya kuanza nayo maisha.

    Kwa sisi wazee wakungaunga mtonyo wajuzi wanasema ist ndio gari nzuri ya kuanza nayo maisha. Wajuzi wameenda mbali na kusema ulaji wa mafuta wa gari hili ni mdogo sana. Hata service zake ni uhakika.
  18. D

    JamiiForums Tanzania GPA ya 3.9 ni nzuri kwenye fursa za kazi?

    Nilikua naomba kuuliza kama GPA ya 3.9 kama ni nzuri kwenye fursa za kazi
  19. JamiiForums Tanzania Ni kweli mpira tumecheza vizuri kocha kafanya kazi nzuri ila quality ya wachezaji ni mbovu

    Kwa namna wachezaji wa simba walivyokuwa wanacheza ni wazi kabisa kocha hapa hatuna deni nae shida ni quality ya wachezaji wenyewe ni ya kuchechemea. Magoli 7 ya wazi yamekoswa yani alhy amepiga shoot moja na hilohilo limekuwa goli. Wachezaji wa simba mnawatukanisha sana viongozi wenu isee na...
  20. JamiiForums Tanzania Hivi TV za Mewe ni nzuri kweli?

    Nilikuwa ninacheki Tv ya kununua, nikashangaa Mewe ni Tv cheap sana. Yani Hisense,LG, TCL inch 55' kariakoo wanauza around 1.2M halafu Mewe yenye sifa hizo hizo wanauza laki 8. Sasa nikajaribu kuwauliza wauzaji ila wakasema kuwa hazitofautiani hata ubora ni jina tu. Wanasema Mewe wako vizuri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…