Hivi TV za Mewe ni nzuri kweli?

The dumb Professor

JF-Expert Member
Dec 10, 2023
660
1,401
Nilikuwa ninacheki Tv ya kununua, nikashangaa Mewe ni Tv cheap sana.

Yani Hisense,LG, TCL inch 55' kariakoo wanauza around 1.2M halafu Mewe yenye sifa hizo hizo wanauza laki 8.

Sasa nikajaribu kuwauliza wauzaji ila wakasema kuwa hazitofautiani hata ubora ni jina tu.

Wanasema Mewe wako vizuri na Wana guarantee ya miaka 2. Quality ya picha ni sawa tu na hizo Hisense na uzuri wanatumia Android ambayo ni Bora kuliko Vidaa ya Hisense. Pia Mewe wanayo mpaka option ya Double glass.

Sasa nmeona Kabla ya kufanya maamuzi ya kuchukua hii Tv nije kwa wajuzi humu maana humu ndo ndo chimbo kuu la maarifa unbiased.

Hizi Tv za Mewe zikoje?
 
Tv nzuri ni Samsung ila LG mwanzo inakua poa Ila badae itaanza kuonyesha vibaya, Hisense nayo nzuri Ila ni hadi uipatie, alafu hiyo mewe sijui hata
 
Nadhani kabla hujanunua fikiria endapo itapata hitilafu yoyote je utaweza kupata kifaa (spare) cha ku-replace?
Maana hizi kina Hisense sijui TCL spare zipo zinapatikana
 
Back
Top Bottom