nzuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Kampuni ipi ya solar nzuri zaidi kwa malipo ya awamu

    Habari wakuu Nahitaji solar panel na TV yake, inayofanywa malipo kwa awamu. Nyumba ya Vyumba vitatu piga 0713 039 875
  2. Shamkware

    JamiiForums Tanzania Cozi ngapi za tofari zinafaa kusama kabla ya rinta kwa standard nzuri ya ujenzi!

    Habari za leo wajenzi na wajuzi, ningependa kujua hili katika ujenzi ni cozi ngapi za tofari zinafaa kusimama kabla ya ya rinta je cozi 10 au 11 ipi nzuri hasa kiujenzi. Pia ni size gani ya madirisha huwa ni nzuri na inayopendeza kwenye nyumba ya kawaida tu ya kuishi!. (yaani madirisha yawe na...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Napendaa mambo ya modeling sana na natamani nifike mbali lakini bado sijapata connection nzuri ili niweze kutimiza ndoto zangu

    Hello naitwa Jenipha napenda sana mambo ya modeling lakini Bado sijapata connection au njia rasmi ya kuweza kutimiza ndoto zangu nahitaji msaada wenu. 0713776534
  4. Kop0

    JamiiForums Tanzania Msaada wa shule nzuri ya boarding kwa mtoto wa kike

    Habari, kama kichwa cha habari. Msaada wa shule nzuri kwa mtoto wa kike boarding O level. Nataman sana za kikatoliki kwa anaejua. Pia na connection naomba tafadhali. Asante.
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Hotel mpya na nzuri Dar es Salaam

    Naombeni kunitajia hotel nzurii na mpya za hivi karibuni hapa Dar es Salaam bei iwe affordable na sehemu iwe imetulia nawakilisha.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Ni Vpn ipi nzuri kwa kupata free internet?

    Nilikua naomba kuuliza ni Vpn gani nzuri ambayo watu hutumia kupata free internet?
  7. Ndama Jeuri

    JamiiForums Tanzania Hotel au Lodge nzuri Mbagala Dare es salaam

    Husika na kichwa hapo juu! Kwa wenyeji wa Mbagala Dare es salaam. Naomba msaada wa kupata huduma tajwa hapo juu ya kulala kwa gharama ya chini ya 100,000 kwa siku, isizidi 100,000/= location ilipo na mawasiliano ni muhimu
  8. The_vision

    JamiiForums Tanzania Nauza laptop yangu hii bado nzuri kabisa

    Mashine inauzwa bei kitonga sana, wahi kabla haijachukuliwa Device: Renovvo Processor - 2.16 GHz RAM - 4GB EDITION - Window 10 pro Version - 22HZ CONDITION: Used like New BEI : 250,000 (njoo tuongee) 0687900668 namba yangu Napatikana hapa chuoni Dar es salaam Tumaini university (DAR TU) mwenge
  9. Dumuzii

    JamiiForums Tanzania Hatimae siku imefika ikiwa na hali nzuri.

    Ni hivi leo naenda kujitafunia mchumba mtu. Lengo la kuwaletea huu uzi ni kuwaasa vijana wa kiume walio kwenye miaka 19 hadi 29. Kuwa msiwekeze kwenye mapenzi jiwekezeni kwenu wenyewe. The more utajiwekeza ndivyo nafasi yako kubwa ya kufuatwa na hawa watoto wazuri inakua kubwa. Japo maboya...
  10. SwahiliFlirt

    JamiiForums Tanzania Ukweli Usiotarajiwa Kuhusu Wenye Roho Nzuri: Kwa Nini Upole Wako Unaweza Kuwa Kikwazo Kwenye Mapenzi?

    Je, Wewe ni Mwenye Roho Nzuri Sana Mpaka Unaumia Kwenye Mapenzi? Hebu Tuongee Ukweli Mchungu! Unajua ule usemi, "Moyo wa dhahabu"? Umewahi kuusikia? Au labda wewe mwenyewe umewahi kuitwa hivyo? Ni sifa nzuri sana kuwa na moyo wa dhahabu, kuwa mtu mwenye upendo, kujali, na huruma kwa wengine...
  11. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Magaidi wanaisha huko Lebanon. Hongera sana Israel kwa kazi nzuri

    Aisee huyu myahudi anatembeza kichapo mpaka Raha nimetoka kufuatilia hapa BBC News aisee magaidi yanaondolewa sio mchezo Mungu ibariki San Israel iendelee kutoa kichapo kwa haya magaidi na uzao wao wote Israel ni taifa teule viva Benjamin Netanyau wavaa kobazi hoi huko lebanon
  12. B

    JamiiForums Tanzania MTWARA:Mtaa gani una nyumba nzuri?

    Kwa waliowahi kuishi au wenyeji wa Mtwara ni maeneno gani ambayo ukienda unaona kweli hapa ni ushuani kuna mijengo mikali mikali au sehemu ambazo kuna vyumba vizuri vya kupanga? Maana daah kuna mitaa nimepita kutafuta vyumba mpaka nimevunjika moyo kuhusu kuishi huu mkoa, vyumba havina...
  13. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Tukiachana na Masuala ya kutekana , hali ya kiusalama mitaani sio nzuri, Serikali iingilie kati .

    Matukio ya uhalifu ni mengi sana ,mengine yanaripotiwa na vyombo vya habari , mengine tunakutana nayo kwenye mitandao ya kijamii lakini kuna mengine hayaonekani popote . Tunakoelekea watu wataogopa kufanya biashara na shughuli zao Watu wanaofanya shughuli zao usiku wataogopa kuendelea nazo...
  14. emmarki

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa supplement nzuri ya varicose vein

    Mama ni mtu mzima kidogo anaeleka miaka 65. Ana shida mishipa ya miguuni inauma sana na kutokezea kwa juu. Hospital kaenda kaaimbiwa ana shida ya mishipa kuvimba (varicose veins). Matibabu yake ni either upasuji ambayo kwake yeye anaogopa kulingana na umri wake. Naomba kufahamishwa food...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Ukiachana na Samsung na LG, ni TV gani nzuri na imara?

    Habari wajameni, Sisi low income earner tuko na changamoto sana ya kutaka vitu vizuri na imara at affordable price,, btw kila mtu anapenda vitu vizuri mazee. Sasa basi, ukiachana na brand Tajwa hapo juu, Hisence imekuja kwa kasi sana mtaani na kuonekana ni TV nzuri at affordable price...
  16. Nyarupala

    JamiiForums Tanzania Shule nzuri kwaajili ya tuition pre-form one kati ya makambako au iringa

    Natumaini wote ni wazima na weekend inaenda sawa. Msaada tafadhali shule iwe ya bweni🙏
  17. Damaso

    JamiiForums Tanzania Royal Oven hongereni kwa huduma nzuri ila mapungufu yapo.

    Customer service au huduma kwa mteja ni sehemu nyeti sana ya biashara yoyote duniani, ni kioo cha mwanzo cha biashara iwe inafanya kuuza bidhaa au kutoa huduma. Kuna baadhi ya makampuni ili wakupatie ajira basi lazma uwe na vigezo kama uso usio na chunusi, uso nyororo na mwenye umbo namba nane...
  18. Kaka mwisho

    JamiiForums Tanzania Kati ya hizi gari, ipi ni nzuri Kwa mizunguko hapa mjini.

    Kati ya hizi gari ipi ni nzuri na Bora Kwa mizunguko ya hapa mjini.
  19. kipara feki

    JamiiForums Tanzania Camera nzuri kwa ajili ya live streaming

    Nakuja kwenu wana jukwaa ili kunishauri camera nzuri kwa ajili ya live streaming kwa bajeti isiyozidi milioni mbili, ambapo nitakuwa nafanya live streaming kwa zaidi ya masaa matatu Chief-Mkwawa Reuben Challe
  20. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Unaizungumziaje hotuba nzuri, muafaka na muhimu sana ya Kitaifa na Kimataifa ya Rais Samia?

    Rais alihutubia Taifa Jana.. Ilikua ni hotuba ya kuponya na kutibu maumivu ya fikra na kuleta ahueni na matumaini mapya mioyoni mwa waTanzania. Ni hotuba nzito na ya kimamlaka, ya kiongozi mkuu wa nchi mwenye nguvu sana, na yenye maelekezo muhimu mazito na ya maana sana kwa nchi, mataifa na...
Back
Top Bottom